Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Ukishajiapiza kwamba huwezi kutoa assist ndani ya JF, basi utapeli utakaa mbali nawe...

Hapa huwa kuna wazee wa buku 1, buku 2, buku 5, buku 10...

Halafu kuna wale wachuchu matapeli wa mapenzi...

Halafu on top of em all kuna masela matapeli pia wa mapenzi hadi wakamfanya binti wa watu mwenye sweta rangi ya TZ aweke uzi hapa...
 
Huyo jamaa ni member wa JF ??
Nimechanganya madesa mkuu! 😅😅
Kuna mwana jf alileta tangazo lake kuwa anatengeza website inakuwa na custom domain name kwa 35000/- .yeye anatengeza kwa kutumia themes na plug-ins za WordPress.
Kama ni hivyo basi bei ni reasonable. Vilevile niliona hiki ni kitonga kwa sababu hizo themes na plug-ins ni kulipia ili yeye tayari anazo ni kupachika tu .😅😅
Nikafanya malipo website ilikaa hewani siku mbili halafu ikapotea nikaja kulalamika kwenye uzi wazi kuna mdau akanifuata pm kuwa na yeye kapigwa hivyohivyo..😅😅
 
Mwachiluwi aisee alisoma huruma yangu akaanza mizinga kama yote..!!

Akaanza oooh dada sijala nna siku tatu na sijui nafanyaje? Mara pap napata pm ya shost angu naye kapigwa mzinga wa pesa na mwachi ili akapeleke fomu ya maombi ya kazi..!!

Nikajua hapa tayari kumekuchaaa jogoo lishawika chimwaga 😹

Alivyoona nimemshtukia akaanza kunichukia na maubuyu hanipi tena..!!
 
Sasa mbona huyo chali alikua anapost mavyakula ya kutosha 😁
 
Mwachiluwi aisee alisoma huruma yangu akaanza mizinga kama yote..!!

Akaanza oooh dada sijala nna siku tatu na sijui nafanyaje? Mara pap napata pm ya shost angu naye kapigwa mzinga wa pesa na mwachi ili akapeleke fomu ya maombi ya kazi..!!

Nikajua hapa tayari kumekuchaaa jogoo lishawika chimwaga 😹

Alivyoona nimemshtukia akaanza kunichukia na maubuyu hanipi tena..!!
Dah ,ahsante Lamomy mkinga wewe
 
Ulimpataje? Hapa ndo patamu sasa...
Kikosi kazi cha kilingeni
The witch doctor who helped 'prove' that zombies a.jpeg
 
Hahaha,
Dogo lilikua linapost mara linakangaa chapati,sambusa,mandazi mara linapika pilau😁

Kumbe njaa kali tu
Unashangaa sambusa?

Wenzio tulikuwa tunapostiwa sehemu kali za down town za kulia bata kijana yupo huko..!!

Na mipira ya kwendea kama yote..!!

Deep down apeche alolo, sasa hivi ndo kapata sehemu analinda baada ya kukimbia mgambo hapo ruvu..!!
 
Back
Top Bottom