Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Unashangaa sambusa?

Wenzio tulikuwa tunapostiwa sehemu kali za down town za kulia bata kijana yupo huko..!!

Na mipira ya kwendea kama yote..!!

Deep down apeche alolo, sasa hivi ndo kapata sehemu analinda baada ya kukimbia mgambo hapo ruvu..!!
Bado mimi tu kuanza kuwapiga vizinga huko pm maana nmechoka kufake life sasa 😂😂 nikija pm usinikatae tajiri
 
Ukishajiapiza kwamba huwezi kutoa assist ndani ya JF, basi utapeli utakaa mbali nawe...

Hapa huwa kuna wazee wa buku 1, buku 2, buku 5, buku 10...

Halafu kuna wale wachuchu matapeli wa mapenzi...

Halafu on top of all kuna masela matapeli pia wa mapenzi hadi wakamfanya binti wa watu mwenye sweta rangi ya TZ aweke uzi hapa...
Halafu on top of all kuna masela matapeli pia wa mapenzi hadi wakamfanya binti wa watu mwenye sweta rangi ya TZ aweke uzi hapa...🤣🤣
 
Moyo gani huo? Hebu utume kwenye bus🤸🏽‍♂😆
c3dd217f-d5bc-4d9c-bd2d-23fa6345593a.jpeg
 
Mojawapo ya matukio ambayo sitakaa niyasahau ni la kupigwa na mgonjwa wangu kilingeni Msata😂❗😂❗
Wallah nilipigwa kiboya Sana!
Yule mwana sijui alipata wapi namba yangu ila akasema anatokea Shinyanga na angependa kufika Kilingeni Msata kwa ajili ya tiba za kiroho

Tukawasiliana almost a week na akanitumia 30K ya shukrani hata kabla ya kufika kwenye matibabu😀🙌🏿❗
Siku ya siku akaanza safari yeye na jamaa zake wawili wanaoenda Dar kuuza madini😂❗ walikuwa na self drive Pajero intercooler🤪
Basi kesho yake mishale ya mchana siku ya Ijumaa jamaa akanipigia akaniambia wamepata breakdown maeneo ya Ubena Zomozi
Walikwepa basi wakaingia kwenye shimo, tairi, rim shockup rack end na lower arm vyote kwishney pamoja na sample guard 🙆🏿‍♂❗😀

Kwa haraka gharama ni kama 2.6M.. Hapo sasa nikaanza kutengenezwa

Jamaa akadai wao wana 1.5 hivyo niwaongezee wataweka mzigo wao bond au hata kuwatafutia wateja watanilipa na commission🤪😂❗

Na akasema nisiwape cash bali kama kuna mtu anayeuza vipuri niwaunganishe naye halafu vipuri viletwe Msata na gari wataivuta mpaka Msata kila kitu kifanyikie hapo🤣🙌🏿❗

Nikaingia mkenge nikampigia jamaa yangu Ilala wa vipuri akasema atapata vyote kwa 2.2M

Nikamrudia jamaa nikampa na namba ya mwanangu ilala nikaendelea kuagua wagonjwa wangu😂❗

Jamaa baada kama ya dakika 20 akanirudia.. Kwanza akanishukuru Sana kwa kumuunganisha na mtu sahihi.. Changamoto wao wakawa hawana pesa kwenye simu hivyo nilipe advance 1M kisha vifaa viletwe, by then noo watakuwa wamefika❗

Halafu baada kama ya dakika tano nikapigiwa na namba ngeni.. Nikasalimiwa kwa heshima sana na kuombwa hiyo advance ya vipuri nitume kwenye namba hiyo kuna gari inaenda Moro itaenda navyo😀❗

Sikuwa makini na ubize wangu nikatuma hela! Nikamtumia msg mgonjwa wangu tapeli na akanishukuru kwa wema wangu mkuu🤣🙌🏿😂❗

Masaa mawili baadae mwanangu wa vipuri ananipia kuwa anataka kufunga mapema hivyo kama biashara ipo nifanye haraka🤣🤣🤣❗

Sikutaka hata kujihoji zaidi nikajua tu hapa tayari❗❗❗Nikampigia mgonjwa wangu hola! Namba haipatikani

Kumweleza mwana scenario mpaka nikatuma 1M akaishia kunipa pole kubwa😃❗
Mganga kapigwa mchana kweupe siku ya ijumaa weekend loading.❗❗❗
kuna mwanamke mmoja kwenye haya ma group ya watsap
aliomba nimuazime elfu 20
kwa sababu niliona ni jambo lililo
ndani ya uwezo wangu,nikaamua
kumpa hiyo elfu 20.
cha kusikitisha hiyo elfu 20,maskini
hakuwahi kuilipa na hata attendance yake
kwenye group ikazidi kupungua
sasa sijui alikuwa anaona aibu au vipi
ila aliniwazisha sana kuhus hali yake
kiuchumi, kwamba upo tayari uue mahusiano
mazuri kwa sababu ya kielfu 20 tuuuuu.

wewe mwanamke wa kirangi unafeli big time
 
Back
Top Bottom