Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Mojawapo ya matukio ambayo sitakaa niyasahau ni la kupigwa na mgonjwa wangu kilingeni Msata😂❗😂❗
Wallah nilipigwa kiboya Sana!
Yule mwana sijui alipata wapi namba yangu ila akasema anatokea Shinyanga na angependa kufika Kilingeni Msata kwa ajili ya tiba za kiroho

Tukawasiliana almost a week na akanitumia 30K ya shukrani hata kabla ya kufika kwenye matibabu😀🙌🏿❗
Siku ya siku akaanza safari yeye na jamaa zake wawili wanaoenda Dar kuuza madini😂❗ walikuwa na self drive Pajero intercooler🤪
Basi kesho yake mishale ya mchana siku ya Ijumaa jamaa akanipigia akaniambia wamepata breakdown maeneo ya Ubena Zomozi
Walikwepa basi wakaingia kwenye shimo, tairi, rim shockup rack end na lower arm vyote kwishney pamoja na sample guard 🙆🏿‍♂❗😀

Kwa haraka gharama ni kama 2.6M.. Hapo sasa nikaanza kutengenezwa

Jamaa akadai wao wana 1.5 hivyo niwaongezee wataweka mzigo wao bond au hata kuwatafutia wateja watanilipa na commission🤪😂❗

Na akasema nisiwape cash bali kama kuna mtu anayeuza vipuri niwaunganishe naye halafu vipuri viletwe Msata na gari wataivuta mpaka Msata kila kitu kifanyikie hapo🤣🙌🏿❗

Nikaingia mkenge nikampigia jamaa yangu Ilala wa vipuri akasema atapata vyote kwa 2.2M

Nikamrudia jamaa nikampa na namba ya mwanangu ilala nikaendelea kuagua wagonjwa wangu😂❗

Jamaa baada kama ya dakika 20 akanirudia.. Kwanza akanishukuru Sana kwa kumuunganisha na mtu sahihi.. Changamoto wao wakawa hawana pesa kwenye simu hivyo nilipe advance 1M kisha vifaa viletwe, by then noo watakuwa wamefika❗

Halafu baada kama ya dakika tano nikapigiwa na namba ngeni.. Nikasalimiwa kwa heshima sana na kuombwa hiyo advance ya vipuri nitume kwenye namba hiyo kuna gari inaenda Moro itaenda navyo😀❗

Sikuwa makini na ubize wangu nikatuma hela! Nikamtumia msg mgonjwa wangu tapeli na akanishukuru kwa wema wangu mkuu🤣🙌🏿😂❗

Masaa mawili baadae mwanangu wa vipuri ananipia kuwa anataka kufunga mapema hivyo kama biashara ipo nifanye haraka🤣🤣🤣❗

Sikutaka hata kujihoji zaidi nikajua tu hapa tayari❗❗❗Nikampigia mgonjwa wangu hola! Namba haipatikani

Kumweleza mwana scenario mpaka nikatuma 1M akaishia kunipa pole kubwa😃❗
Mganga kapigwa mchana kweupe siku ya ijumaa weekend loading.❗❗❗
Daaah pole sana aiseeee!!
 
Kuna huu utapeli wa michongo hapa jf unaset jambo na mtu vizuri inaonekana kwa mwanzoni mmelewa na njia yenu ni moja siku ya siku unamcheky mwana hapokei simu wala hajibu txt
Ni kupetezeana muda
 
Mojawapo ya matukio ambayo sitakaa niyasahau ni la kupigwa na mgonjwa wangu kilingeni Msata😂❗😂❗
Wallah nilipigwa kiboya Sana!
Yule mwana sijui alipata wapi namba yangu ila akasema anatokea Shinyanga na angependa kufika Kilingeni Msata kwa ajili ya tiba za kiroho

Tukawasiliana almost a week na akanitumia 30K ya shukrani hata kabla ya kufika kwenye matibabu😀🙌🏿❗
Siku ya siku akaanza safari yeye na jamaa zake wawili wanaoenda Dar kuuza madini😂❗ walikuwa na self drive Pajero intercooler🤪
Basi kesho yake mishale ya mchana siku ya Ijumaa jamaa akanipigia akaniambia wamepata breakdown maeneo ya Ubena Zomozi
Walikwepa basi wakaingia kwenye shimo, tairi, rim shockup rack end na lower arm vyote kwishney pamoja na sample guard 🙆🏿‍♂❗😀

Kwa haraka gharama ni kama 2.6M.. Hapo sasa nikaanza kutengenezwa

Jamaa akadai wao wana 1.5 hivyo niwaongezee wataweka mzigo wao bond au hata kuwatafutia wateja watanilipa na commission🤪😂❗

Na akasema nisiwape cash bali kama kuna mtu anayeuza vipuri niwaunganishe naye halafu vipuri viletwe Msata na gari wataivuta mpaka Msata kila kitu kifanyikie hapo🤣🙌🏿❗

Nikaingia mkenge nikampigia jamaa yangu Ilala wa vipuri akasema atapata vyote kwa 2.2M

Nikamrudia jamaa nikampa na namba ya mwanangu ilala nikaendelea kuagua wagonjwa wangu😂❗

Jamaa baada kama ya dakika 20 akanirudia.. Kwanza akanishukuru Sana kwa kumuunganisha na mtu sahihi.. Changamoto wao wakawa hawana pesa kwenye simu hivyo nilipe advance 1M kisha vifaa viletwe, by then noo watakuwa wamefika❗

Halafu baada kama ya dakika tano nikapigiwa na namba ngeni.. Nikasalimiwa kwa heshima sana na kuombwa hiyo advance ya vipuri nitume kwenye namba hiyo kuna gari inaenda Moro itaenda navyo😀❗

Sikuwa makini na ubize wangu nikatuma hela! Nikamtumia msg mgonjwa wangu tapeli na akanishukuru kwa wema wangu mkuu🤣🙌🏿😂❗

Masaa mawili baadae mwanangu wa vipuri ananipia kuwa anataka kufunga mapema hivyo kama biashara ipo nifanye haraka🤣🤣🤣❗

Sikutaka hata kujihoji zaidi nikajua tu hapa tayari❗❗❗Nikampigia mgonjwa wangu hola! Namba haipatikani

Kumweleza mwana scenario mpaka nikatuma 1M akaishia kunipa pole kubwa😃❗
Mganga kapigwa mchana kweupe siku ya ijumaa weekend loading.❗❗❗
We Mzee wewe😂😂😂💔
Kuishi kote Hadi South ila umetapeliwa kuliko hata mtu ambaye hajafika hata Malawi.
 
Mara ya mwisho kutapeliwa/kuibiwa ilikuwa mwaka 2000 Ubungo Stand ,walinipiga KANYABOYA ,nilinunua Kiwi kumbe ndani waliweka LAMI.

kudhulumiwa mara ya mwisho ilikuwa April -2024 ,nilidhulumiwa laki na elfu 10 ,kuna mtu aliniomba kisha atanirudishia mwisho wa mwezi ,sasa ni miaka miwili na nusu hajarudisha na kila siku naona naye wala hakumbushii kitu na mimi sijawahi kumuuliza ,najua kashajipunguza mwenyewe kwasababu hata akipata dharura ambayo inahitaji elfu 10 hawezi kuniomba...Na ndipo aliponifunza mambo ya kumkopesha mtu.
 
Ilikuwa miezi miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025,ndugu mwana JF a.k.a anajiita "mtib...." alipost atatoa huduma ya kuuza vitabu alivyoviandika,nilimpa pesa anitumie hiko kitabu.Dah.! Chenga zikawa nyingi akagoma kurefund, kila niangaliapo post zake zinatonesha kidonda cha elfu 15 yangu.
 
Nimechanganya madesa mkuu! 😅😅
Kuna mwana jf alileta tangazo lake kuwa anatengeza website inakuwa na custom domain name kwa 35000/- .yeye anatengeza kwa kutumia themes na plug-ins za WordPress.
Kama ni hivyo basi bei ni reasonable. Vilevile niliona hiki ni kitonga kwa sababu hizo themes na plug-ins ni kulipia ili yeye tayari anazo ni kupachika tu .😅😅
Nikafanya malipo website ilikaa hewani siku mbili halafu ikapotea nikaja kulalamika kwenye uzi wazi kuna mdau akanifuata pm kuwa na yeye kapigwa hivyohivyo..😅😅
Aisee hata mimi nilitandikwa kwenye hili😂🙌🏿🙌🏿🙆🏿‍♂
 
Back
Top Bottom