Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Tuliisha tapeliwa kwa akili na furaha tele.. Nasema kwa akili na furaha tele sababu yule dogo 🤣🤣 alipiga big brain zote Akiwemo Ruge wa clouds.. boss wetu wa kihaya nshomile Maxence (dogo hana adabu yule🤣🤣🤣) nandy na mmewe na sisi Wa JF tuliokua kichwa ngumu.. Shout out kwa sir jeff Don Ontaa...
Si aliwapa maarifa lakini ya kutredi fedha za kigeni (Long & short) 😂😂
 
Alishtakiwa kwa kosa gani?
 
Siwezi kusema nilitapeliwa, ila naamini mhusika itakuwa bado hajapata hela ya kunirudishia.

Ila kusema kweli, amenikwaza.

Atakapoona ujumbe wangu, nitafurahi atakaponitafuta japo kunitoa wasiwasi kwamba Babu hela yako nitakurudishia siku fulani
 
Atakapoona ujumbe wangu, nitafurahi atakaponitafuta japo kunitoa wasiwasi kwamba Babu hela yako nitakurudishia siku fulani..🙇🏿‍♂
 
Back
Top Bottom