Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,455
- 65,588
Asante, ila kwenye vitu Watanzania tunakwama ni suala la uaminifuPole mzee mwenzangu
Watanzania wengi sio waaminifu
Asante, ila kwenye vitu Watanzania tunakwama ni suala la uaminifuPole mzee mwenzangu
Sema jeff kuikosoa gavoo huku ana vimeo vile vya Forex, nilijua tu ni suala la mudaYuko behind the bars
Itapendeza akifanya hivyo, itarudisha uaminifu na kujenga mazingira ya kuaminiwa wakati mwingineAtakapoona ujumbe wangu, nitafurahi atakaponitafuta japo kunitoa wasiwasi kwamba Babu hela yako nitakurudishia siku fulani..🙇🏿♂
Nilidhani angekuwa mwaminifu kutokana na jinsia kinzani, kumbe uaminifu haupimwi kwa jinsia siku hiziKama ni jinsia pinzani.. Anua tanga mkuu...🤣
🤣 kwa kweli hii imeisha.Kama ni jinsia pinzani.. Anua tanga mkuu...🤣
Ni kweli tunajiharibia sanaAsante, ila kwenye vitu Watanzania tunakwama ni suala la uaminifu
Watanzania wengi sio waaminifu
Kabisa, nisiseme sana nikaonekana nakosa kuheshimu faragha, lakini sio jambo zuriNi kweli tunajiharibia sana
Aaahhhh kwenye hilo eneo hata tapeli wako Mwachiluwi anasubiri sana. Ex mwenyewe alikua anakula shuleNani anakupikia sasa?
Huogopi kuungua mikono? 😹😹
Akulipe bwana, kama amekwama anatakiwa aseme sio kujikaushaKabisa, nisiseme sana nikaonekana nakosa kuheshimu faragha, lakini sio jambo zuri
Unapoaminiwa, basi nawe unapaswa kurudisha uaminifu huo
Hii ni India au hapa hapa Bongo? 😃😃😃 Nilishawahi kuona Kahama kuna sehemu inaitwa Kakora kwenye Mgodi wa Barrick, majoka kibao yanaranda randa tu kasoro hiyo mishumaa lakini vibuyi kama vyote
Umesahau enzi za Jamii Empowerment Saccos 🤣🤣😃Kumbe kuna matapeli humu.
Huyu Husninyo enzi za Jamii Empowerment saccos tulikuwa naye, sidhani kama hakuambulia kipigo 😃Usipo makinika...!
Wengine hawajali kuhusu kulipa madeni ya watu, ila amefanya nishindwe kumuamini kabisa wakati mwingineAkulipe bwana, kama amekwama anatakiwa aseme sio kujikausha
Pole sana. Wewe mdau unayedaiwa hebu lipa pesa bwana mtu alikosea kukuamini?Wengine hawajali kuhusu kulipa madeni ya watu, ila amefanya nishindwe kumuamini kabisa wakati mwingine
Natumia busara kutokana na hadhi yake, ila atambue amenikwaza sana
🙏🙏Pole sana. Wewe mdau unayedaiwa hebu lipa pesa bwana mtu alikosea kukuamini?
😁😁😁 hiyo hata mimi niliiona mkuu. Yule aliyopewa buku saba na Mia nane siyoUkishajiapiza kwamba huwezi kutoa assist ndani ya JF, basi utapeli utakaa mbali nawe...
Hapa huwa kuna wazee wa buku 1, buku 2, buku 5, buku 10...
Halafu kuna wale wachuchu matapeli wa mapenzi...
Halafu on top of em all kuna masela matapeli pia wa mapenzi hadi wakamfanya binti wa watu mwenye sweta rangi ya TZ aweke uzi hapa...
Baada ya kumpata ulimfanyaje kaka maana huu uzi umenifanya nicheke kama chiziKikosi kazi cha kilingeniView attachment 3680075