Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Duh... Ule msemo wa Mganga hajigangi.. Ulikuhusu

Unafikiri kwa nini haukuweza kugundua utapeli huo,?

je, alitumia kitu kuongea nawe?

Pole
Na wewe umeingizwa chaka na ujanja wote huo?

Hilo jamaa ni liongo sijawahi kuona....

Imagine hili li Mshana Jr ni lipare la Ugweno. Lingekuwa la Makanya lingeshatudanganya limepata mchumba kwenye ukoo wa Mtume....
 
Kuna dogo nilimpata humu nikampa KAZI ya Uwakala ,Muhimbili na pesa nilimwachia dogo mwingine maana wao walikuwa wanalala Azania ss.Siku Mungu akasaidia simu iliyokuwa na pesa nyinginniliondoka nayo kimakosa,nikasema kesho yake niwahi kumpelekea hiyo simu.Ile nimefika Azania ss naambiwa amewahi Muhimbili.Nikamwagiza dogo ampelekee simu akawa hamuoni.Kupiga simu akawa hapatikani.Tafuta holah nikajua tayari.Nikapiga simu Tigo wakanambia alishatoa hela zote kwenye simu.Huku na huku nikaenda central police wakanipost Sealander bridge.Tukaandikisha pale lakini hakuna msaada.Tukaanza kumsaka,kabla hatujaenda Tanga,tukadrope Bagamoyo,Mzee mmoja akasema mtampata.Kuna sister mmoja wa A town akanipa mchongo.Tukamtega akajaa ,tulikuwa kumkamtia Mlalakuwa hapo.Alibaki na 250k,alikuwa amenunua simu ya 400k.Tukapiga piga sana pale baadaye tukampeleka Sealander bridge baadaye Segerea na kesi ikaendeshwa Kisutu kama mwezi na kitu.Baadaye alihulumiwa miezi sita .Atakuwa alishatoka.
 
Ilikuwa miezi miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025,ndugu mwana JF a.k.a anajiita "mtib...." alipost atatoa huduma ya kuuza vitabu alivyoviandika,nilimpa pesa anitumie hiko kitabu.Dah.! Chenga zikawa nyingi akagoma kurefund, kila niangaliapo post zake zinatonesha kidonda cha elfu 15 yangu.

Mtibeli sio...?
Unaogopa kumchana na evidence unazo...
 
Kuna dogo nilimpata humu nikampa KAZI ya Uwakala ,Muhimbili na pesa nilimwachia dogo mwingine maana wao walikuwa wanalala Azania ss.Siku Mungu akasaidia simu iliyokuwa na pesa nyinginniliondoka nayo kimakosa,nikasema kesho yake niwahi kumpelekea hiyo simu.Ile nimefika Azania ss naambiwa amewahi Muhimbili.Nikamwagiza dogo ampelekee simu akawa hamuoni.Kupiga simu akawa hapatikani.Tafuta holah nikajua tayari.Nikapiga simu Tigo wakanambia alishatoa hela zote kwenye simu.Huku na huku nikaenda central police wakanipost Sealander bridge.Tukaandikisha pale lakini hakuna msaada.Tukaanza kumsaka,kabla hatujaenda Tanga,tukadrope Bagamoyo,Mzee mmoja akasema mtampata.Kuna sister mmoja wa A town akanipa mchongo.Tukamtega akajaa ,tulikuwa kumkamtia Mlalakuwa hapo.Alibaki na 250k,alikuwa amenunua simu ya 400k.Tukapiga piga sana pale baadaye tukampeleka Sealander bridge baadaye Segerea na kesi ikaendeshwa Kisutu kama mwezi na kitu.Baadaye alihulumiwa miezi sita .Atakuwa alishatoka.
Kuna dogo nilimpata humu nikampa KAZI ya Uwakala ,Muhimbili...🥺🤔
 
Na wewe umeingizwa chaka na ujanja wote huo?

Hilo jamaa ni liongo sijawahi kuona....

Imagine hili li Mshana Jr ni lipare la Ugweno. Lingekuwa la Makanya lingeshatudanganya limepata mchumba kwenye ukoo wa Mtume....

Wow upo Dawa
Muda sijakusoma, niliona post ya your Mrs humu nae umembana sana miaka hii kawa mpoleeeee...

Sasa si ndiyo mganga anayeandikaga humu miaka yote humu na anatufundisha mengi au unakataa... Lolote na soma nasubiri a nijibu alimfanya nini tapeli..

Ila imekuwaje unaikataaa.. 😊

Mshana Jr eti au? 🤗
 
Back
Top Bottom