Betason
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 388
- 705
mpk leo nikirudi huko alipo nakula mzigo ila huyo manzi mwenyew kahama huo mtaa ipo siku ataingia kwene 18 zangu tu..Ikawaje.... Ulieendelea kuwa unamla rafiki mtu ama ulikuja kumrudi mtu wako? Je story ikaisha
nyingine hii hapa...
kazi ninayofanya inanikutanisha na watu mbali mbali wa kila aina, sasa siku moja alikuja mama mtu mzima na binti mmoja ivi matata sana..nikamhudumia vzuri sana then baadaye nikamuita yule binti piga story mbili tatu nikachukua namba
kumbe yule ni mama yake mzazi na walitokea mkoa jirani...mwendo wa masaa 3 ivi mpk kufika, zikapita wiki 2 nikamchek nakumbuka ilikua weekend ya pasaka kwahyo nikamuahidi nitaenda kumsalimia akakubali..nlisafiri asubuh na mapema mida ya saa 5 nipo geto kwa mtoto..kapika tukala pasaka vzuri kabisa
story zikaendelea na movie mpk jioni mida ya saa 1 nikamuaga me narudi akasema mda umeenda ishakua usiku, analeta masihara ooh malizia movie,mara subiri kidogo uondoke saa 2, mara akaanza visa kanisogelea nlipokaa kwene sofa, moyoni najisemea hii penalt naipasia nyavu bila hiana..nikaamka nkafunga mlango
nikarudi alipokaa nikaanza chenga za ronaldo..nikambeba mpk chumban piga sana p*mb* na nikalala mpk asubuhi..baada ya wiki 2 ananitumia msg ana mimba, kwa kifupi haya masihara yamenifanya niitwe baba sasa..