The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,835
- 3,294
Daaaa mkuu kama umeniona ivi.ngoja niache tu maana miaka 30 kam ina nihusu
ilibidi mwanzo wa uzi yangeandikwa haya maneno:
DON'T TRY THIS AT HOME.
Maana ukisoma huu uzi una ona wanawake wote wana gongeka ki laini sana. Then una jijaza ma confidence ya kutosha.una enda kwa beki tatu wa jirani...eti umvizie aki ingia bafuni na wewe uingie ukale tunda kima sihara unaishia kupewa kesi ya ubakaji ndiyo utakapo mkumbuka rikiboy na uzi wake.