Sometime Kuishi na mabrother hiv home alaf unademu mkali jau sana maana bro alikuwa akimsifia demu wang mara kwa mara "mdogo wangu una demu mkali kinomaaa yani kwa kazi hii jipige kifua sema wewe ni mshindi"
Baada ya muda kidogo si akamtafuna asee alaf nilipogundua akaniambia mdogo wangu tusigombane kwa ajiri ya mademu basi mi nkamwambia baridi lakini kishingo upande.
Basi tumekaa muda kidogo nimemaliza chuo bro akanipa mchongo ofisini kwake na akanitambulisha kwa secretary wake mkali kinyama alaf ni demu wake kampangia na nyumba mitaa ya tabata. Basi yule demu mbali na ushemej alikuwa mshikaji wang kinoma. Siku moja niko mjini kariakoo akanichek.
Demu: uko wap
Mimi: kariakoo
Demu: nibebee zawadi
Mimi: sawa zawad gani?
Demu: yoyote maana zawad hatuchagui
Basi mimi nikazama mtaa wa kongo/aggrey Nikanunua chupi 3 nkampelekea home kwake na nikamkuta yupona kanga ile kinyumban anachek movie ya Notebook nikakaa akanikaribisha vizur akanipa glass ya wine akazama jikoni kuniandalia msosi baadae kaniletea wakat nakula akachukua ile bahasha ya zawad huku akielekea chumbani mara nikasikia mtu anafurah sana chumbani akisema nzur zimenitosha mie nkamtania toka basi nikuone aaah! Si nikajua utani katoka kweli bwana kavaa bla na moja ya zile chup nikamwaga sifa pale then nkamwambia njoo bhas tule wote akaja nikamlisha kidogo tukakiss nikatomasa tomasa kidogo nikala mzigo usiku kucha



baadae bro nae akajaga kujua na mimi nikamjib bro tusigombane kwa ajir ya mademu




ila yule demu alimfukuza pale na sahv anafanya kaz Airport JNIA