Nakumbuka kuna kipindi nilipanga uswahilini sana, ile nyumba ilijengwa kama guest house yaani hamna sebule ni vyumba tu vinaangaliana na mwenye nyumba alikuwa akiishi hapo hapo yaani mke,mume na mtoto wao wakike ambae ni kama 20yrs hivi, sasa ile nyumba ilikuwa na vyumba 6 na 5 tunakaa sisi wapangaji nikawa nashangaa hawa watu wanalalaje na huyo binti yao.
Siku moja nimechelewa kurudi geto naingia ndani namuona yule binti anatoa godoro ndani analekea nalo kibarazani,ile nyumba ina ka fence ka kizuchi, nikaingia ndani kwangu nikachukua maji nikeanda kuoga kisha nikaona kama ka huruma kananiingia, basi nikaenda hadi kabarazani alipo lala kisha nikamuambia vipi hapa nje na baridi hii na hawa mbu haupati shida kweli, binti akasema ndo hivyo inabidi azoee tu, nikamuambia kitanda changu kikubwa kama unaweza kuja njoo kwangu tunaweza tunakalala pamoja kisha,mzee baba huyo nikaondoka kama dakika 5 hivi naona mlango wangu unafunguliwa na binti akaingia, basi kwanzia hapo akawa ndo kawaida yake ikifika usiku anatoa godoro kisha anakuja geto nikawa najilia tu.
Kumbe maza ake alishashtukaa muda mrefu huu mchezo, siku moja nishakula mzigo nimelala nasikia watu wanabishana maza anataka kugonga ila mzee kama hataki mwisho mama akagonga, nikaona sasa ndoa ya mkeka ndo hii fasta nikamuingiza mtoto uvunguni kisha nikatoka eti maza anataka kuja kusachi ndani kwangu, ahh mzee nikagoma bahati nzuri wapangaji wengine walikuwa wamelala basi maza akasema anaenda kuita polisi waje wakague nikamwambia sawa, maza kweli katoka ila mzee kwasababu alikuwa hataki hilo swala basi akaingia zake ndani kulala basi mimi fasta nikamtoa mtoto akaenda zake kulala barazani baada ya muda maza karudi mwenyewe naona anajiongelesha mwenyewe tu,kwenda kuchungulia kibalazani kamkuta binti yake akamwambia wewe utanieleza vizuri asubuhi.
Basi ikawa ndo mwisho wa kuja kulala geto ikanibidi niaze kupata gharama tena siku moja moja za kwenda guest tukitaka kupasha kiporo hadi nilipo hama pale ndo ikawa mwisho wetu.