Kama nimekosea piah nashukuru naomba anirekebishe mm huwa napokea ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta visa tu mdada, achana na watu wenye frustrations za maisha, hapa kuna visa zaidi ya 3000, means kwenye visa hivi kuna wanawake zaidi ya 3000 pia walio liwa kimasihara,ina maana wote malaya hao??
Kwenye visa vingi vinaelezea mmoja wapo anakuwa anatengeneza mazingira,vingine vinaelezea wote Me/Ke wanatengeneza mazingira na vingine vinaelezea wote mnakuwa mamtarajii inatokea tu!! Huyo anaejiona decent sana atupishe asituharibie uzi wetu, aanzishe wake wa ma decent wenzie!!
Wanawake tunaliwa sana kimasihara ila tukisema tuandike mnasema sisi Malaya duuuh

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kiasi kikubwa wanaume ndio waanzilishi wa kula kimasihara kuliko wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah baharia kazingua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3]Mzee ulitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika malaya ni wengi now days.
Ujasir huo huyo manz kautoa wap kama sio changu mzoefu.
Sasa mkuu ulilipa pesa au mkaendela na relation?
Maana japo kimasihara ila kutoa bure pia haiingii akilin
 
Wale mnaohudhuria marathon vipi hamjawala kimasihara huko? Maana naona wimbi kubwa la wadada siku hizi ni washiriki wa Marathon
Naskia ile nayo ni aina mpya ya watu kutangaza biashara mana sio kwa misambwanda ile inayoshirikigi.

New connection finder in town
 
Chai hiyo mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika malaya ni wengi now days.
Ujasir huo huyo manz kautoa wap kama sio changu mzoefu.
Sasa mkuu ulilipa pesa au mkaendela na relation?
Maana japo kimasihara ila kutoa bure pia haiingii akilin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa wewe mama mtakatifu umekuja kwenye uzi huu wa malaya kutafuta nini??!!! si ungeenda kwenye majukwaa ya dini huko ukaanzishe mapambio

Unaboa sana na unatuharibia uzi, kama wewe ni msafi pita kushoto tu, achana na habari za kuwa-attack watu

Yani kwa jinsi unavyoact hata kucomment kwenye huu uzi umekosea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza punguza hasira, hii jf ni zaidi ya uijuavyo na iache kama ilivyo.. Usije ukaamini kila kinachoandikwa hapa..

Unaweza kumjia juu huyo ajabu yake ukakuta ni mwanaume na si mwanamke kama unavyodhani.

Unatakiwa uwe mpole uisome vzr na staili za watu Wa humu jinsi walivyo hasa kwenye jukwaa hili..
Humu ukikurupuka utajikuta umeingia chaka bovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu kwenye comment yangu tu jaman wanajf hawanipendi kiasi hiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…