Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Asante sana kwa ushauri
Mabaharia tukiwa tunakula matunda kimasihara, tukumbe tu kuwa huu ni mwezi December, huyo anaekubali kuliwa kimasihara anakuwa kajilengesha maksudi ili uwe tegemeo lake mpaka January..hakikisha baada ya kumkula kimasihara yaani kusiwepo na mawasiliano yeyote yale baina yenu..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1291687

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using my 6x6 bed.
 
Najua uzi huu ni wa vijana under 30 au 35 ?! Nimekuwa nikuuona kule juu mara zote una trend! Leo nimejipumzisha nkaona na mimi niuptie! na kweli nimebaini vijana waneleza ya kwao!
Pamoja na ukweli kuwa watu wazima hatupendi vjistori kama hivi,naomba mimi niletee hii kama confession kwa jambo tulilofanya A LEVEL!
Kulikuwa na msichana mzuri sana,mlokole (kadri alivyokuwa anajiita),mwenye haiba ya kiuongozi na kiutawala/mamlaka. Kwa namna ya haiba yake ilivyokuwa ilikuwa ni ngumu sana kwa mtu kujitokeza kumtongoza!
Sijui wazo lile lianza vipi! Ila uliandaliwa Mkakati kwa ustadi na dada akaliwa tunda kimasihara!
Mkakati ule ulihusisha kuchangishana fedha za kuwezesha kumnasa dada yule, na kumteua mwenzetu mmoja ambaye angetuwakilisha kula tunda la yule Iron Lady ! Mojawapo ya Sifa iliyombeba mwenzetu kutuwakilisha ilikuwa naye alikuwa mpolempole fulani hivi!
Baada ya kupatikana kwa bulungutu la fedha kama Sh.30,000/=(early 1990) kijana aliandaliwa kwenda kukamilisha azma yetu.Yule dada by then alikuwa ni kiongozi akiwa Madarasa ya chini na walikuwa na kaofisi kao.
Mojawapo aliyekuwa katika ile Timu yetu Ovu naye alikuwa ni kiongozi,! ,na alihakikish jioni moja Iron Lady haendi EK(Wakati huo ilikuwa ni kipindi cha kilimo)
Bila kufahamu kuwa anaandaliwa kuchezewa,dada alibaki pale ofisini ,na dogo akajitosa na kwenda kulilia tunda! Kwa mujibu wa mla tunda yule dada alilia sana baada ya kukumea mapepo,na kumuuliza ni kwa nini kaamua kumfuata yeye! Jamaa alijieleza kwa ufasaha kuwa anampenda sana! Cha ajabu yule dada alikataa kuyaongela pale na akaomba waende nje ya shule !
Hapo ndipo jukumu mahsusi nililopewa mimi lilipotimia!...Binti akhakikishiwa kuwa kuna gheto karibu kabisa na shule wanaweza kwenda hapo! Awali Timu ilijipanga kuwa kama demu angeitikia angepelekwa mjini Umbali kama KM 10 toka shuleni ,(kwa zile Elfu 30); alternatively mimi nilipewa jukumu la kutoa gheto kama kungekuwa na hitaji (Wakati huo ni mwanafunzi wa kutwa)
Ilibidi jamaa amwelekeze Dada sehemu ya kwenda ,na mshikaji akatangulia!
Bahati mbaya mimi siku hiyo nilikwepa kwenda shamba nilikuwa nasikiiza Mpira [emoji848] Simba na Nyota Nyekundu nafikiri!,jamaa alikuja akanieleza kuwa kondoo anajileta machjinjioni niandae mazingira na niwe shahidi namba moja...Kwa kuwa gheto ilikuwa na vyumba 3 mimi,nilihamia chumba kingine kupisha uharamia ule!
Dada alifika baada ya nusu saa tu ,hoja aliyoanza nayo kuwa ni vipi jamaa atatunza siri ile jamaa alimhakikishia kuwa hakuna mtu yoyote angejua kwa kuwa hata yeye anajiheshimu sana!! Kilichoendelea nilijuta kukubali kuwa shahidi kwa kuwa kile kijumba hakikuwa na ceiling board!
Shughuli ilikuwa wakati wa kutoka kwa sababu mida ile saa 12 jioni pale nje kulikuwa na watu ,kwa kuwa mbele ya ile gheto kulikuwa na duka na muda wa rokoo' ulikuwa umewadia! Walilazimika kusubiri hadi giza liingie ndio watoke . To cut a long story short dada aliliwa kimasihara kuliko tulivyotegemea hata ile Hazina yetu tulikuja kujipongeza kwa kiti moto na Mtukura (ambapo napo tulitenda kosa la kumfundisha ustaadh J kula Haram[emoji1787][emoji1787][emoji1787]),ingawaje jamaa alimpa Iron Lady kiasi cha kutosha kwa mihogo na maandazi ya mama B. kwa muhula ule ....!
Nachukua fursa hii kusitikia kuwa mwana mikakati ya kumuingiza mtoto wa watu kwenye dhambi ,popote ulipo N' tusamehe!
Nimepunguza maelezo ili kujaribu kuficha uhalisi Wangu, wa tukio na wahusika wasije tikisa ndoa zao!
Nilichojifunza mwanaume anaweza mpata mwanamke yoyote kinachotakiwa kujiamini Hata hivyo ni lazima pia mwanamke huyo pia awe na hisia..Suala la fedha ni nyongeza tu!
Hakika sijui usuli wa ule Mkakati wetu ila naamini ilikuwa ni kupingana na hawa watu wanaojifanya ni watakatifu saana na kujimwambafai kuwa wao ni wana Dini zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi nakuhafamu vile wasalimie hapo makao makuu ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wacha na mimi niilete hii!!

Kipindi niko o'level nilikuwa nikisoma Moshi ila kuna msala nilifanya shule ikabidi nihamishwe shule,so nikahamishiwa mkoani Iringa kwa uncle,ilikuwa shule ya day na mimi nlikuwa natokea home kwa uncle,basi bwana kama unavyojua shule za mikoani ukihamia mgeni shobo nyingi madem ata washkaji walikuwa wananikubali sana ukizingatia nilikuwa vizuri sana kwenye mathematics na football winga mmoja hatari sana!!
Basi kuna wana wakawa washkaji, hawa wana wapo 3 wamepanga geto moja kwa sababu kwao ni mbali na shule,na lile geto tulikuwa tukiliita "Old Trafford" mtu akiwa na demu anapeleka pale kutanfuna ila sheria ni moja "lazima aache wana tupige chabo"...
Basi kuna mwanetu akaopoa dem (wale wa kukosea namba)dem alikuwa na sauti nzuri balaa, hakuna aliyewahi kumuona huyo dem ni kuongea nae kwenye simu tu,siku hio jamaa akapanga na dem aibuke aje kumchek jamaa (dem alikuwa anatoka sehem moja panaitwa tanangozi),basi ikabidi tutoroke shule kwenda kumpokea huyu shemeji yetu maana kila mtu alikuwa na hamu sana ya kumuona kutokana na sauti yake kwenye simu!
Picha linaanza tupo stand pale dem kashuka kavaa tracksut(zile za wakuu wa mikoa wanavaaga jumamosi) dem mweusi tii,anachunusi kubwa hatari alafu zimeiva za njanoo mbaya kishenzi,jamaa akataka amkimbie tukampliz sio poa nenda tu, jamaa akamchukua dem mpaka mageton sisi tupo nyuma yao tunacheka balaa mpaka jamaa akaishiwa pozi, tumefika mageton makubaliano dem alale siku moja kesho arudi kwao,sisi tupo dirishan apo tunacheka hatari dem anamshika shika mwana, mwana kajikausha kama sio yeye, jamaa akawa anaombwa mchezo na dem jamaa hataki sisi huku tunacheka sana, tumekaa dirishani pale mpaka saa 7 hola tukasepa!!
Kesho yake ambayo dem ilibidi arudi kwao,dem hataki kwao kakaza palepale magetoni hataki kuondoka dem alikuja na viazi kibao kuja kuanza maisha na mwamba, ilibidi tuingilie kati tutumie nguvu dem asepe!
Hii haihusu kula tunda kimasihara lakini naomba niiweke humu. Hata hainihusu, mimi nilikua mpenzi mtazamaji tu.

Kipindi tupo advance tulikua tunakaa bwenini lakini washkaji kama watano hivi tukajichanga na kupanga geto mtaani kwa ajili ya kugongea tu. Anaevusha anatoa taarifa anaenda kufanya yake. Sharti lilikua lazima uruhusu wana waje kupiga chabo, tulikuaa tunaita deo kipindi hicho. Mwamba mmoja yeye alikua anakaa kwao na pale alikua hajashiriki kulipia na kununua vitu, siku hiyo kaomba room kuna demu kaopoa hana hela ya gesti, tukamkubalia lakini tukampa sharti la kuruhusu deo, kakubali. Basi wana tumekaa nje tunamsubiri aje na huyo dem.
Kweli kaja nae, sio dem, ni mmama, af mnene hatari, tako tako. Jaribu kuimagine wale wamama wa uswahilini wanene wanye matako matako kweli. Yani lile tako lilikua balaa.
Basi wakatusalimia wakazama geto. Tukazuga zuga kama dakika 10 hivi tukawaza kuwa mambo yashakua moto tukaenda dirishani kula deo.
Tukakuta mwamba yupo na suruali shati kavua analipiga romance lile limama, limeshavua gauni, ni minyama tu, na mititi kama yote.
Jamaa kaanza kulivua chupi, jamaa mmoja kanong'oneza 'weka chupi mezani' basi wote tukakazia aweke chupi mezani. Kulikua na meza ya plastiki, zile wanafunzi wanatumiaga magetoni kujisomea. Jamaa akawa anaona soo, lile limaza lisje kuskia, ikabidi aiweke kweli. Tukamwambia ailaze. Kweli kailaza.
Chupi kubwa hatari kidogo ijaze meza upande mmoja hadi mwingine. Tukaanza kucheka. Tumecheka mpaka ikawa soo. Lile maza likasikia likamaindi kinoma. Likavaa likasepa. Jamaa kashindwa hata kulisindikiza. Katoka nje kuzunguka dirishani anakuta wana tunacheka mpaka tumekaa chini. Ikabidi nae acheke tu.
Miaka mingi imepita now kila mtu ana maisha yake lakini kila nkikutana na yule mwamba hii ishu huwa naikumbuka nacheka sana.

Hilo geto lilikua na matukio mengi sana. Kuna siku ule ugumu wa kishule shule nkaopoa demu mmoja mbovu hatari, nkaenda nae mchana siku ya wiki, wana wapo shuleni muda huo, nkapiga viwili fasta nkamtoa, kumbe jamaa anaekaa chumba cha jirani kamuona wakati namtoa. Ile narudi jamaa kaniambia dogo huyo dem ni mbaya sijawahi ona. Bora ungepiga nyeto tu yaishe. Ikabidi nimuombe asiwaambie wanangu manake majungu yake yasingekua madogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baki hivyo hivyo mm za kuliwa kimasihara zipo nyingi sanaa tu trna siyo moja[emoji23][emoji23][emoji23]
yaani huu ni Uongo mkubwa kuwahi kusikika hapa JF, baada ya doctor wa watu kutoa yake naona wanawake mmetamani hizo like 60+ alizopata kutokana na paragraph yake, na mmeanza kujimwambafia.. sasa kwa taarifa yako Demiss tumesha kustukia, acha dhuruma ya kutudindishia mb**oo zetu kwa story za kusadikika[emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]uzi kuusoma mpaka ujificheee aisee.... Ponooo waziwaziiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha[emoji23]...yaani usipokuwa kuwa makini, unajikuta unasimamisha mbele za watu[emoji23]...Dawa ni kuusoma ukiwa peke yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah old trafford
Mzee wacha na mimi niilete hii!!

Kipindi niko o'level nilikuwa nikisoma Moshi ila kuna msala nilifanya shule ikabidi nihamishwe shule,so nikahamishiwa mkoani Iringa kwa uncle,ilikuwa shule ya day na mimi nlikuwa natokea home kwa uncle,basi bwana kama unavyojua shule za mikoani ukihamia mgeni shobo nyingi madem ata washkaji walikuwa wananikubali sana ukizingatia nilikuwa vizuri sana kwenye mathematics na football winga mmoja hatari sana!!
Basi kuna wana wakawa washkaji, hawa wana wapo 3 wamepanga geto moja kwa sababu kwao ni mbali na shule,na lile geto tulikuwa tukiliita "Old Trafford" mtu akiwa na demu anapeleka pale kutanfuna ila sheria ni moja "lazima aache wana tupige chabo"...
Basi kuna mwanetu akaopoa dem (wale wa kukosea namba)dem alikuwa na sauti nzuri balaa, hakuna aliyewahi kumuona huyo dem ni kuongea nae kwenye simu tu,siku hio jamaa akapanga na dem aibuke aje kumchek jamaa (dem alikuwa anatoka sehem moja panaitwa tanangozi),basi ikabidi tutoroke shule kwenda kumpokea huyu shemeji yetu maana kila mtu alikuwa na hamu sana ya kumuona kutokana na sauti yake kwenye simu!
Picha linaanza tupo stand pale dem kashuka kavaa tracksut(zile za wakuu wa mikoa wanavaaga jumamosi) dem mweusi tii,anachunusi kubwa hatari alafu zimeiva za njanoo mbaya kishenzi,jamaa akataka amkimbie tukampliz sio poa nenda tu, jamaa akamchukua dem mpaka mageton sisi tupo nyuma yao tunacheka balaa mpaka jamaa akaishiwa pozi, tumefika mageton makubaliano dem alale siku moja kesho arudi kwao,sisi tupo dirishan apo tunacheka hatari dem anamshika shika mwana, mwana kajikausha kama sio yeye, jamaa akawa anaombwa mchezo na dem jamaa hataki sisi huku tunacheka sana, tumekaa dirishani pale mpaka saa 7 hola tukasepa!!
Kesho yake ambayo dem ilibidi arudi kwao,dem hataki kwao kakaza palepale magetoni hataki kuondoka dem alikuja na viazi kibao kuja kuanza maisha na mwamba, ilibidi tuingilie kati tutumie nguvu dem asepe!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wacha na mimi niilete hii!!

Kipindi niko o'level nilikuwa nikisoma Moshi ila kuna msala nilifanya shule ikabidi nihamishwe shule,so nikahamishiwa mkoani Iringa kwa uncle,ilikuwa shule ya day na mimi nlikuwa natokea home kwa uncle,basi bwana kama unavyojua shule za mikoani ukihamia mgeni shobo nyingi madem ata washkaji walikuwa wananikubali sana ukizingatia nilikuwa vizuri sana kwenye mathematics na football winga mmoja hatari sana!!
Basi kuna wana wakawa washkaji, hawa wana wapo 3 wamepanga geto moja kwa sababu kwao ni mbali na shule,na lile geto tulikuwa tukiliita "Old Trafford" mtu akiwa na demu anapeleka pale kutanfuna ila sheria ni moja "lazima aache wana tupige chabo"...
Basi kuna mwanetu akaopoa dem (wale wa kukosea namba)dem alikuwa na sauti nzuri balaa, hakuna aliyewahi kumuona huyo dem ni kuongea nae kwenye simu tu,siku hio jamaa akapanga na dem aibuke aje kumchek jamaa (dem alikuwa anatoka sehem moja panaitwa tanangozi),basi ikabidi tutoroke shule kwenda kumpokea huyu shemeji yetu maana kila mtu alikuwa na hamu sana ya kumuona kutokana na sauti yake kwenye simu!
Picha linaanza tupo stand pale dem kashuka kavaa tracksut(zile za wakuu wa mikoa wanavaaga jumamosi) dem mweusi tii,anachunusi kubwa hatari alafu zimeiva za njanoo mbaya kishenzi,jamaa akataka amkimbie tukampliz sio poa nenda tu, jamaa akamchukua dem mpaka mageton sisi tupo nyuma yao tunacheka balaa mpaka jamaa akaishiwa pozi, tumefika mageton makubaliano dem alale siku moja kesho arudi kwao,sisi tupo dirishan apo tunacheka hatari dem anamshika shika mwana, mwana kajikausha kama sio yeye, jamaa akawa anaombwa mchezo na dem jamaa hataki sisi huku tunacheka sana, tumekaa dirishani pale mpaka saa 7 hola tukasepa!!
Kesho yake ambayo dem ilibidi arudi kwao,dem hataki kwao kakaza palepale magetoni hataki kuondoka dem alikuja na viazi kibao kuja kuanza maisha na mwamba, ilibidi tuingilie kati tutumie nguvu dem asepe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah, Dah kwamba manzi akataka kuhamia jumla [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom