Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,491
Jaman mm nimeeshangaaa zaidi ya comment 5000 ila Ya kwangu imekuwa nongwaaa halllo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Jaman labda nimekosea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanza punguza hasira, hii jf ni zaidi ya uijuavyo na iache kama ilivyo.. Usije ukaamini kila kinachoandikwa hapa..
Unaweza kumjia juu huyo ajabu yake ukakuta ni mwanaume na si mwanamke kama unavyodhani.
Unatakiwa uwe mpole uisome vzr na staili za watu Wa humu jinsi walivyo hasa kwenye jukwaa hili..
Humu ukikurupuka utajikuta umeingia chaka bovu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app