Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Tarehe 24/5/2013 natoka zangu Nachingwea kuja Dar na basi la Najma baada ya kumaliza shughuli iliyonipeleka ambayo ni ''submission of tender documents za miradi ya maji na barabara'',,tumetoka zetu Nachingwea na basi la Najma likiwa limejaza siti zote isipokuwa siti moja tu pembeni yangu tena ya dirishani,,,.

Tumetembea hadi kufika Lindi mjini,,wakati tunatoka kuchimba dawa pale stand,,namuona binti mmoja yupo na jamaa wanakumbatia na kupigana zile kises za mashavuni kuagana,,,baadae binti anaingia kwenye basi la letu na kuja moja kwa moja hadi kwenye siti ya pembeni yangu dirishani,,tunapeana salam then binti anaweka earphones masikioni akisikiliza nyimbo,,.

Tumeendelea na safari mpk kufika Nangurukulu ili tupate chakula na kuchimba dawa,,,jirani yangu yeye akagoma kushika akidai ataenda kula dar,,.nikamtania msafiri kafiri,,,kula japo kidogo tu,,,Nikashuka chini nikanunua chipsi kuku na chipsi samaki moja pamoja na soda za kopo mbili nikamletea then tukaendelea na safari.Kufika hapo ndo tukaanza story za hapa na pale na kutaka kumjua japo kidogo kama nae anaishi au ni mkazi wa Lindi,,, baadae ndo ananiambia alikuja kwa mpz wake ambae ndo yule aliyemsindikiza stand, na kuniambia anafanya kazi nmb bank, tawi lindi mjini.

Tumeendelea kupiga story sana mpk tukazoeana sana kiasi kwamba tunacheka mpk ananiegemea,,,wakati huo moyoni nawaza namna gani nitapata namba yake ya simu,,,Basi bana tumefika dar muda ya saa kumi na mbili hivi kasoro,,,namuliza unashukia wapi,,ananijibu mi nakaa mbezi beach,,,so naenda hadi ubungo then ndo nichukue usafiri wa daladala hadi kwao,,,namwambia kama hutojali tukifika ubungo twende hadi kimara korogwe nilipopanga then nikuchukue kwenye gari yangu nikupeleke maana kipindi hicho usafiri wa kawe,tegeta ni shida kupanda jioni.

Mtoto kakubali,,,tumefika ubungo tukachukua tax hadi kimara korogwe ambapo ndo nilipopanga ka apartment ka kizushi hivi,,,,tumefika kwangu fresh,,nikamwambia karibu ndani,,,upate japo chochote ilhali tunasubiria foleni ipungue kipande cha mwenge,- kawe,,,,mtoto kanielewa anasema oohh siburi nimwambie bebi wangu kama nimefika salama,,,,,kamaliza kuongea akaanza oohhh hapa unaishi na nani,,,namjibu nipo peke yangu,,,mchumba wangu bado yupo shule anasoma chuo,,akaanza ooohh haiwezekani lazima kuna mtu mwingine tu,,,pamepangika vizuri hivi,,,,haiwezekani,,,,,,nikamwambia kama kuna mtu hapa nisingeweza kukuleta,,,akaanza ooohhh wanaume nyie mara nyingi tu waongo,,,,nikamwambia imekuaje tena,,,,etiii ooohhh hata kule Lindi nimekuta jamaa yangu nae ana mambo mengi,,,mara najua tu atakuwa ana mwanamke huko,,,,nikamwambia acha kufikiria vitu vibaya wewe sio fresh,,, enjoy your love na jamaa,,,akaguna mhhh,,,,

Mara oohh mwanamke wako ana bahati sana unaonekana mstaarabu na mkarimu sana,,,,moyoni nikasema ungejua ungeomba tuondoke tu,,,,..

Nikamuagizia ndizi na mbuzi choma kutoka bar ya karibu miti mirefu,,,kwenye friji kulikuwa na saint Ann,nikamtolea ili wine kidogo achangamke huku tukipiga story mbili tatu,,huku mimi nikimlia timing ya kumla,,,

Baada ya muda anadai eti naomba nitumie bafu lako kuogea then nijiandae tusepe,,,nikamjibu wewe tu uchague bafu la public au chumbani kwangu,,,,alivyokuwa mjanja akachagua la public maana alijua tu akitoka kuoga lazima apite sitting room ambayo mimi nipo,,so lazima nione nyamanyama zilizofunga mwilini mwake,,,, katoka kuoga tu nikamtania naomba tu nije nikupake mafuta,,,,etiii akaa ukinipandisha genye,,,nikamwambia wewe tulia mi nakupaka tu mafuta,,,,etii aku mi sitaki huku anapotelea chumbani,,,,mi nikawa kama najishauri hivi niende au nisende,,,,mara nasikia sauti sasa mbona haujiiii,,,,moyoni nikasema usinichezee wewe,,,,,Nimetinga ndani chukua lotion anza kumpka mtoto mgogoni ilhali huku mbele kajifunika,,,,,nikashuka hadi makalioni,,,palaini kwelikweli,,,,kuja kushuka hadi miguuni ndo nikajua binti genye zake zipo miguuni maana nilivyoanza kupaka mafuta huku nafanya uchokozi flani naona mtoto anaugulia huku anakuwa kama kasinzia hivi,,,nikasema hapa hapa simuachi,,,,toa taulo lote tupa kule,,,,kitumbua hichi hapa halafu kisafiiii,,,,,nikasema lazima deki nilipige tena kwa ustadi haswa,,,,piga deki sana huku mtoto anatekenya masikio yangu kwa vidole vyake,,,,,kuja kustuka kidevu chote kimelowa na utelezi,,,,,nilimla yule mtoto na vile tena msafiiii,,,,,,jamaaa yake piga sana simu,,,,,mimi nakula tu mzigo,,,mtoto yupo siwezi pokea hizi simu,,,,,,akakiloea sana hasa nikipiga deki,,,utasikia bebi penzi lako tamu sana lazima nilipiganie,,,siwezi kuliacha unanipa vitu sijawahi kupewa huko,,,,,,mwishoni nikampeleka kwao kesho yake mchana,,,,,
Penzi letu liliendelea mpk kuja kuwa my wife na kunipatia mabinti wawili wazuri mapacha
This is legendary aisee! [emoji23][emoji119][emoji119]
Tupo kwenye huu uzi since the beginning till the end of time.
#Free Rikiboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edna popote ulipo nakusalimia.

Kijana mpole mshika dini safi, sina makando kando, naaminika kichizi, nikiwa nyoya (kidato cha kwanza), kama kawaida napiga buku tukiwa na Michael msela wangu mlokole safi asiye na ila maisha yanasonga bila gogoro.

Nikiwa shule ya msingi nilikuwa naupiga mwingi sana, baada ya kumaliza tukiwa tunasubiri matokeo, nikajikuta nakabiliwa na maumivu ya goti la kulia kila nikicheza, nikaona huu ni ufala, mpira bongo afu kijijini, wa kuja kuniona huku nani? Nijatundija daruga, ila mapenzi yangu kwenye soka hayakuisha.

Tunaingia 4m 1 naendeleza harakati ila kwa upande wa kamati mbali mbali za kimichezo, ikiwemo kuwa miongoni mwa wanakamati ya ushindi. Nikiri tu kuwa hapa ndo mara ya kwanza nauona mpira ukipigwa kwenye ungo, plus maluwe luwe kibao, hapa si mahara pake, nitayasimulia pahali husika.

Basi bana, siku ya siku tuna gemu na wanakijiji wa kijiji cha nne toka mahali shaule yetu ilipo, mida ya saa 7 fuso likatenga shule, majina ya wanao kwenda yakasomwa alwatan nimo, baada ya taratibu kukamilika, ngoma ikaamsha, haoo!!

Tumefika ukapigwa mwingi, shiringi ikasimama, matokeo tasa, aroundi saa 12 tunaza safari kurudi, sasa ishu ikawa tumekwenda wachache ila kumbe kuna wenzetu pia walilianzisha asubuhi kwa hiyo tukawakuta, time ya kurudi tukawa nao, gari ikawa na mzigo mzito, halafu ni usiku na ile njia ni ya vumbi na si rafiki.

Tumo kwenye gari, fujo nyingi, mida ya giza giza wana wakaanza kubambiana, sasa zile kelele hata kama mtu anapiga kelele serious watu wanachukulia masikhara tu, mie mgeni kwa hiyo sina mazoea kivile na watu wengi, watu wanasukumana ovyo tu hii hasa ilichangiwa na myumbo wa gari kwa sababu ya barabara.

Nikiwa ninatumia mkono mmoja kushsika bomba huku mkono mwingine ukiwa unailinda nokia 1100 yangu iliyokuwa mfukoni, ghafla nikashikwa ule mkono ulioko kwenye bomba kucheki alonishika ukizingatia na lile giza sikumtambua kabisa, ila akaanishtakia tu "huuyu hapa ananisumbua" nikageuka kumcheck jamaa alosontwa, akanigeuzia mgongo kwa hiyo sikujisumbua nae, sasa nikawa na vitu viwili vya kuangalia, kiemeo changu na huyu manzi.

Tumeendelea na safari ikafikia pahali huyu manzi akaachia ule mkono akaniambia nimshike maana kachoka, kwa kuwa sikua vizuri nikatafuta balance kwa kusogea pembeni kabisa nikaeg=meza mwili wote kwenye bodi ya gari wakati huo mazi tuko nae bampa to bampa, hspa nikapata fursa ya kumshika kwa mikoo yote miwili, baada kama ya dk 10 ile mitikisiko ya gari na mgusno wetu, mara mnara ukasoma, yeye alisimama akaniegemea kwa ubavu wake wa kushoto. Mnara uliposoma akaufeel nikaona kila mara @nainua uso kunitazama.

Tumeendelea na safari, tukafika kijijini wanafunzi wa njiani wakaanza kutelemka hiyo nika kama kwenye saa 21 kasoro, tumesongaaa, nikafika kituo changu ile nateremka, mazi nae akateremka, pamoja na watu wengine, pamoja na kuwa mnara ulikua unasoma ila baada ya kuteremka, wazo la kumpotezea lilitamalaki, sasa ile nimepiga hatua kama 5 hivi nikiwa namshikaji wangu Michael na wana kadhaa, nikashikwa mkono, kugeuka ni yule manzi, nikasimama akaniambia nimsindikize kwao, nikamuuliza ni wapi? Kanijibu madukani. Nikamwambia mbona huko mbali? Akaniambia, sasa kama hunisindikizi unataka nikalale wapi? Mara Michael akaniita, kumbe alisikia majibizano yetu, jamaa kaniambia wewe njoo nae getto sie tutalala kwa mwana yeye tutamuachia alale kwetu, Kulikua na jamaa etu mmoja sasa ni marehemu.

Tukajikokota mdogo mdogo hadi getto, fika tukaliungurumisha (tulikua tunapika wenyewe) tukala, baadae nikamuelekeza pa kulala, nikamtoa hofu maana mie nalala kwingine, manzi kagoma kulala mwenyewe, bembeleza manzi anadai tangu kuzaliwa hajawahi lala mwenyewe, baada ya Michael kuona sitokei ikabidi anifate, nikampa picha ilivyo, mwamba akanicheka kinoma mpaka nikajiona bwege, hapo ndo akili ikaja sasa. Kwa mara ya kwanza maishani kulala usiku mzima na manzi huku nikiwa najipigia na mahusiano kati ya nyoya na 4m 2 yakazaliwa rasmi.

Wana acheni kutumia muda mwingi kumjibu huyo mwamba hapo juu tufocus kwenye lengo la uzi.
Safi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Booooh boooh yani kiulaini sanaa huu uzi unatibu malazi mengi sana kwa hiyo dawa iongezeke

Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi wilaya fulani morogoro uko ndanii sana kwanza nilipofika sikuamini kama kule ni moro ,nilijua dar moro karibu alafu weekend bata batani dsm weeh nilichoka kwanza ilichukua masaa 12 kufika tuuh ,yani nilitamani nilie mazingira ovyoo sana alafu ilikuwa masika barabara mbovuu kishenzi

Kesho nikaripoti job kishingo upande sana ,wakanionesha mazingira kwa kuwa nilifikia guest ,kuna jamaa akaniambia tukakae geto kwangu kwanza kipindi unacheki mazingira ya kupata nyumba daah nikasema poa tulivyotoka job tukaenda mpka alipokuwa anaishi nikaoga nin jioni misele kama kawaida kitaa lakin mazingira ovyoo ayakunishawishi kabisa

Weekend mi uwa napenda kutoka yani club kama kawa si unajua ukizoea mambo ya chuo nin mitoko kama kawa ,akanipeleka pande fulani bush bush madem ovyoo niliboreka saa 5 tukarudi geto yani nilikonda kishenzi .Ikapita miezi kadhaa nikanunua vitu nikaamia kwangu na kazi ikawa inaendelea

Kuna siku moja mchana nikaenda bank kucheki salary mdogo mdogo sina habari mala napigwa bonge la ngumi la mgongo mmamae nilimind kugeuka nijibu mapigo kucheki kumbe mdada, ila anaonekana kama chizi chizi na gunia lake alafu ana fimbo sasa nikasimama saa ngapi fimbo ilo nikatoka nduki nikaingia bank kwa kuwa haikuwa mbali na pale bank.Nikaingia bank nikacheki balance zangu nikasepa sasa natoka askari akaniambia yule kichaa anakusubiria pale pita kwa uku mkwepe mhmh nikamjibu hapana ngoja nimpe chochote labda anashida .Kweli nafika pale nikatoa noti ya elfu 10 nikampa alifurahi aliruka ruka kagala gala mi nikasepa zangu

Sasa nikajiuliza uyu kichaa niaje mbona ana cheza pale karibu na bank na awamfukuzi aaah buushit nikapotezea .Bana bana toka siku ile akiniona ananikimbilia mpaka uwa namkwepa ,kuna siku tunapita na mshikaji usiku saa 2 kakusanya kuni kawasha moto nikajificha kwa mshikaji saa ngapi asinione alinirukia akatoa ndizi mfukon akanipa , nikampa elf 2 alifurah sis tukasepa njiani mi nikamenya ile ndizi nakula mshkaji alicheka yani we unakula uchafu uyo anaokota dampo kule mi nakutana nae kila siku .Tukaachana mi nikaenda home ,kumbe bana yule kichaa anatufata nyuma nyuma akajua napoishi sas ndio ilikuwa kero nikiludi job yupo nje ya getin ananiita mpenz wangu mwaaah anakimbia.

Weekend moja tukaenda bush part na jamaa angu kulikuwa na kipaimara alialikwa,tulipiga pombe sana dadeki niko chakari sanaa kufika saa 7 nikamwambia aisee jomba twende hom .Kule job kuna mdada nilikuwa namind sema akawa analeta mizinguo ooh mpaka unioe alikuwa anakujaga hom mala moja moja .Ile tunaludi mshikaji akaniambia leo umelewa sana aisee mpaka unayumba utafika hom kweli , nikamjibu nifikishe mpaka pale kwenye njia ya hom alafu we uludi , jamaa akanifikisha pale mi mdogo mdogo mala nashikwa mkono mpenzi wangu kugeuka yule kichaa, nikajikwaa nataka kuanguka akanidaka uku namsikia kwa mbali leo una nin mpenz jamani akanikokota mpaka hom nikafungua mlango yey akabaki nje uku mlango sijafunga mi kwenye kochi tiii .Sasa nikastuka nikaenda kufunga mlango nikamkuta akaniambia unanifungia mpenzi sasa na pombe nikamwambia ingia.Mala nikapepesuka nikampalamia wote chini ,ile chini pale joto joto la mwili tukagusana nikaona alaah na tungi mmboo hiyo nikamgusa chuchu ana cheka cheka tuuh nikapandisha gauni juu alafu lilikuwa chafu kishenzi navuta chupi akanishika mkono mhmh mhmh usifanye hivyo ,mi nikaendelea tukavutana nika win chupi kulee sas akabana mapaja nilishangaa alikuwa na nguvu sana ,si unajua wa jando tunajua wapi pakugusa mapaja yaachie akaguswa sehem 3 ngumu napanua tena nikakuta pwaaa mi uyo alikuwa na vvuzi dadeki ila nikapeleka mmboo ikakubali aisee kchaa kilitulia mbona

Dadeki alinikaba shingoni kwa nguvu mpaka pombe iliniisha ,baadae akatulia na mim nikajikamua lile bao lilikuwa zitoo sana nilihema ile naegemea kochi usingizi pale pale .Nastuka asubuhi lile dem la job linaniita nacheki pembeni hamna mtu kumbukumbu zina nijia dadeki nilijutia nikawaza uyu dem akumwona kweli .Nikaeka mazingira fresh lile dem likaingia tukapiga story mpaka mchana akasepa .Juma3 job jamaa akanivuta pembeni akasema jana umefanyaje sas nauliza kwa nin ,akajibu nanii kamwambia dem wangu, kafika kwako kamkuta yule kichaa ana toka ndani kwako alafu kavaa shati lako

Iliniuma kwa sababu ilienea sana kazini yani niloona bonge la noma ,Ila nikajiuliza maana machache nakumbuka alivaa chupi alafu ndani akuwa ovyo kama nilivyofikiria .Ikapita wiki 3 jamaa akaniambia mbona yule chizi simuoni tena shem wangu yule nilimind sema utani nin.Nikamwambia lakini mtam yani jamaa akasema tukitoka twende tukamcheki ,tulivyofika pale hamna uchafu wala nin tukawauliza wale maaskari wakasema ana karibia mwezi hawajamuona tena pale.

Wazee hii itaendelea.................. hofu itakuwa ndefu mnoo maana kuna kisa kingine mbelee yake xoooooo stay waiiiiiiiiit

Mr jjjjjjjj
Dah endeleza

Afu pia mkuu naomba hzo sehem 3 muhin za kumshika mamz aliyebana mapaha had aachie....natanguliza shukran??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JINSI NILIVYOMLA DEMU WA MSHKAJI KIMASIHARA

inahusiana na kile kisa cha kwanza

Baada ya kurudi chuo maisha yaliendelea kama kawaida. Pale chuo nilikuwa na rafiki yangu mmoja wa shida na raha nikipata shida yyte alikuwa hasiti kunisaidia nami pia kwa upande wangu hivyo hivyo

kilichofanya tukawa karibu zaidi na huyu jamaa ni alikuwa anasoma class moja na yule Girlfriend wangu so chochote kinachotokea class jamaa alikuwa ananiambia

huyu jamaa yangu alikuwa na demu wake ambao walikuwa one of the best couples pale chuo na kila mtu alikuwa anawajua naye pia alikuwa anasoma darasa1 na jamaa

sasa kipindi tunaelekea kumaliza masomo chuo imebaki kama miezi miwili, mambo yalikuwa si shwari... jini mkata kamba alikuwa kashaingilia kati mapenzi ya hawa wawili kila siku ni ugomvi mimi nikiwa msuluhishi wao kila mmoja ananishtakia kwa muda wake

kipindi hicho kwangu kwenyewe hali siyo shwari mamaa kachomoa betri na mitihani inakaribia... nimechnganyikiwa hapo sielewi moja wala mbili najikaza kiume natamani tu tumalize chuo nisepe zangu.

sasa kipindi jamaa hayuko sawa na demu wake alikuwa ananiambia mambo mengi mara huyu demu mi simtaki ila sikuwahi hata siku moja kumpigia mahesabu shemej yangu.. basi shem ndo nikawa sehemu yake ya kujifariji akija kunililia nampa pole nyingi maisha yanaenda

kumbe kile kitendo kikawa kinamteka taratibu mara shem akaanza kuniletea vijizawadi mara nguo mara atume watu waniletee pesa mwisho wa siku akaamua kunifungukia amependa nnavyomjali anataka anipe anachokataa jamaa.. mh! haikuniingia akilini kabisa nikamchomolea nikaanza kujiweka mbali naye.. mtoto ndo akaongeza gia sasa sms kila baada ya masaa mawili na simu za kutosha ikafika kipindi ikawa kero kwangu nikaanza kumtamkia hata maneno makali ili akate tamaa lkn wp

siku ya siku nipo zangu aout musele txt ikaingia shem "upo wapi" nikamjibu nipo zangu out, kanambia nisubiri basi nakuja siyo mda nataka kuonana naww nikamwambia usijisumbue shem mbona mi nishageuka nakaribia getini mtoto akamind sana akijua nimefanya makusudi tu..

basi kufika chuo ghafla tu mashine ikasimama balaa dk45 nzima bila sababu kama nimekula viagra, nikawaza hizi shida zote za nn lakini natunukiwa papuchi ya bure nakufa na ukame?(hapo nna mwezi kama wa6 hv sijaona ndani kama nna gundu watoto wote wananipiga chaga).. nikachukua simu nikamtxt mtoto, vp unafanya nn kanambia yupo tu room, nikamtxt jiandae basi tutoke mtoto kafurahi kanambia poa

wakati baharia bado navaa dk mbili tu mtoto kanitxt ananiambia kashavaa anatangulia nje nikamwamvia pw tangulia nakuja. mzee mzima nikavaa chapu nikatoka zangu kidogo txt inaingia njoo guest flani chumba namba6 utanikuta mzee mzima natembea hapo mnara unasoma 5g mikono ipo mfukoni muda wote

Basi mwendo kama wa dk20 nikawa nimeshafika guest moja kwa moja hd chumba namba6. nafungua mlango nakutana na mtoto ananisubiri kuingia tu nikapokewa na romance namimi sikuwa nyuma kichwa cha chini kimeshapata moto nimepania kuua

Huku na huku mtoto nikamsaula akabaki na chup 2 Hamad! hivi huyu jamaa yangu ana akili kweli anaanzaje kumtenga mtoto mzuri namna hii hips hips mtoto chuchu saa6.. nikasema basi acha nijilie vyangu kumchojoa chup nakutana na kitumbua kimeshalowa tayari kwa kuliwa hapo ndo akili zikaniruka kabisa

sikutaka kumchelewesha nikamuweka sawa mtoto miguu yake nikaikunja hadi kifuani peleka sana moto hapo namlaani jamaa anachezea chakula watu tuna njaa za miezi kichupa kimejaa hadi kinamwagika... piga sana mtoto wa watu analia 2 kwa raha nilipiga mpaka nasikia kiu midomo imekauka nakuja kumaliza hoi tukalala mtoto ananiambia tu asante za kutosha. tumekuja kushtuka saa11 nanusu jioni nikamwambia amka uvae utangulie mi nakuja nyuma akasema poa, kavaa akasepa namimi nikavaa nikatoka zangu

Bwana bwana kumbe muda wote namkojolea mtoto wa watu habari zilishafika chuo kitambo jamaa kasikia amepagawa(kumbe kumkataa kote jamaa bado anampenda alikuwa anafanya kama revenge demu wake aumie tu). mi nimefika zangu hoi naskilizia vp jamaa kaskia mara naskia makelele jamaa anashout "humu ndani tunaishi na masnitch wabaya sana tutakuja kuuana" nikaona hili sasa balaa hata sijaskilizia utamu vizuri nakutana ba kesi!

basi ikawa ndo mtindo wake kila siku anashout tu ila haji kuniface sometime anaingia room tupo watu kibao anakaa anaanza kuongea mafumbo watu wanacheka balaa hapo mi sina amani najisemea tu hapa akizingua tunauana wallah! utaskia "mi sikubali wadau yaani hizi wiki haziishi lazima nimpake mtu mafuta nimkate marinda" wadau nao utaskia kwani nani huyo tukusaidie tu kumkata marinda? Dah! nilijuta aisee wiki zilizobaki chuo niliziona nyingi ila thank god tuliishia kuchimbana mkwara tu siku zikaisha tukasepa urafiki ukiwa umekufa
namimi nna hasira za kutishiwa kukatwa marinda na washkaji

kufika home niliona nimetua bonge la mzigo aisee

Baada ya miezi mingi sana kupita naona simu inaingia namba ngeni kupokea kumbe jamaa bwana kaamua kunipigia ananambia usijali mwanangu sisi wanaume hayo mambo mengine ya kupita tu hahah nilicheka sikuamini

Demu wake naye alinicheki ananambia yupo huko Rock city amenimiss anataka turudie mechi nikamwambia poa(nani asafiri hadi kanda ya ziwa kufuata papuchi)
Npe no za hyo dem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom