Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mm nashangaaa jaman waume za watu nimetembea nao weng usiombe ukutane na mwenye wivu alafu awe muhaaa wa kigomaa loooh
Saaaana. Dunia inakwenda kasi sana I see. Zamani ukimtongoza demu lazima akuulize umeoa. Siku hizi hilo lipo lipo tu limekaa hewani. Hata akikuuliza ukimwambia ndio nimeoa,bado tu ataliwa tu hivyo hivyo kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke na ni daktari hospital fulani Old Bagamoyo Road....
Wengine hawajali sana hizo detail za kujaza kama ni KE au ME wanachotaka ni ID ya JF tu.
Wengine wameandika wamezaliwa 1920 sasa wewe ukisoma profile yake utaanza kubishana naye kuwa hawezi kuzaliwa 1920.
Ndio maana ya "anonymous" kuwa na ID inayoficha utambulisho wako.
Sasa jina feki halafu wewe unahangaika na details nyingine kwa shughuli gani? Unataka kumpa kitambulisho cha taifa?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app


Umegonga mule mule...nilikuwa na Mawazo kama yako...fake ID ni nini???ni pale Kila kitu Kuhusu wewe ni fekeroooooooooo
 
Hujala ban Hadi muda huu kweli??? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Alikula ban kwa kulalamika dhidi ya tabia za mods kufuta baadhi ya nyuzi.zilizokuwepo humu. Wasingefuta nadhani zingekuwa zaidi ya 7000.

Nami nililalamika sana maana sikuona sababu ya kufutwa. Hazikuwa na kitisho chochote dhidi ya usalama wa mtu binafsi (human security) au usalama wa kikundi/jamii (societal security) wala usalama wa taifa (national security). Naamini walifuta kwa sababu zao za hovyo tu nadhani wivu baada ya kudindisha kwa kusoma pono

Bazazi



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom