Ukiskia kula hasara ndio huku Wanawake sometime muwe mnajiongeza mwanaume kakutumia nauli tena ya gari VIP,umetoka Mwanza unakuja hadi Dar na kashakupanga kabisa unaelewa ulichokifuata ni nini unafika Dar unasema upo period matumizi yote hadi kurudi mwanza 500k no mzigo
Wanawake sometime msipende kutupa hasara wanaume, mwanamke alikuwa ananisumbua mwaka mmoja full usumbufu yupo mwanza, nikamwanbia nimekumiss njoo dar hata siku 2 na akaelewa kabisa anachokifuata anafika nipo period
Nauli nimelipa Vip kwenda na kurudi tu kaki 2 na nusu inakatika na matumizi mengine laki 5 ila kwa alichokifanya siwezi.mrudisha na VIP atarudi na Zuberi no way tusipeane hasara
Na kuna watu wanasema eti sikumwmabia kuwa nahitaji hilo tendo.. hivi uwasiliane na mwanamke tena aseme nimnunulie shanga kabisa na kachagua kabisa rangi ya shanga na kakubali kabisa ntamvalisha wakati wa Tendo bado mnasema alikuwa hajui kafuata nini