Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,550
- 6,513
Hakuna ngwengwe ya siku mbili mkuu wacha kumtisha mtoa madaInaonekana mpira hukuvaa huyo ni "mfalanyaki" aka ngwengwe

Watu kama hawa nikuwafungulia jarida mahakaniDaaah kwahiyo sisi wembamba sana unakuwa unahisi tuna ngoma sio?
Mawazo yako na hofu yako ndio itakuua,ninavyojua mimi baada ya wiki mbili reaction ya virus ndio huonekana,hayo ni mambo mengineKwema wakuu
Kuna demu nimemtongoza mtaani akakubali. Kama wiki imepita nikapewa mzigo ila nilivaa kondomu na haikupasuka. Cha kushangaza kama baada ya siku mbili nikaanza kuumwa na homa kali. Sasa najiuliza ni ngoma au uti maana demu simwelewi ni mwembamba sana
Nakazia mkuuKaka, tunaomba muendelezo
HahahahahahHakuna ngwengwe ya siku mbili mkuu wacha kumtisha mtoa mada
Utakuwa ulitumia energy nyingi sana kuipiga mkuu.Kwema wakuu
Kuna demu nimemtongoza mtaani akakubali. Kama wiki imepita nikapewa mzigo ila nilivaa kondomu na haikupasuka. Cha kushangaza kama baada ya siku mbili nikaanza kuumwa na homa kali. Sasa najiuliza ni ngoma au uti maana demu simwelewi ni mwembamba sana
Yaani nimejisikia vibaya sana ila ndio hivo sina namna.Watu kama hawa nikuwafungulia jarida mahakani
NdioUlipiga denda
KapimeKwema wakuu
Kuna demu nimemtongoza mtaani akakubali. Kama wiki imepita nikapewa mzigo ila nilivaa kondomu na haikupasuka. Cha kushangaza kama baada ya siku mbili nikaanza kuumwa na homa kali. Sasa najiuliza ni ngoma au uti maana demu simwelewi ni mwembamba sana
Si mpaka miezi 3Kapime
Mkuu kwani denda inapitisha ngwengweUlipiga denda
Ungesubiri hata uchangie kuhusu hili kesho. Kitu kizito alichotupiga mtoa mada kilitosha kwa leo, wewe ungesubiri hata kesho.Mkuu huo ni wasiwasi wako tu hakuna ngoma ya haraka hivyo labda uti, sema mimi madem wembamba sana unakuta kipaja kidogo chembamba kama panga kiukweli huwa nakosa nao hisia kabisa by the way sijamzungumzia Hannah
Baada ya wiki mbili tu mzigo unasomaSi mpaka miezi 3
Hata baada ya wiki mbili unapima tu vipimo vya siku hizi ni tofauti na vya mwanzoSi mpaka miezi 3
Kwema wakuu
Kuna demu nimemtongoza mtaani akakubali. Kama wiki imepita nikapewa mzigo ila nilivaa kondomu na haikupasuka. Cha kushangaza kama baada ya siku mbili nikaanza kuumwa na homa kali. Sasa najiuliza ni ngoma au uti maana demu simwelewi ni mwembamba sana
Aisee ngoja nisubiri ndo wiki ya kwanza inaisha keshoBaada ya wiki mbili tu mzigo unasoma
Ni vile vya pharmacy ambavyo naweza pima mwenyewe?Hata baada ya wiki mbili unapima tu vipimo vya siku hizi ni tofauti na vya mwanzo