Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Sio michezo yangu mule
Umepitwa na wakati wewe
Screenshot_20250119-223119.png
 
Ukiskia kula hasara ndio huku Wanawake sometime muwe mnajiongeza mwanaume kakutumia nauli umetoka Mwanza unakuja hadi Dar na kashakupanga kabisa unaelewa ulichokifuata ni nini unafika Dar unasema upo period matumizi yote hadi kurudi mwanza 500k no mzigo
Ugoro kwa masai ni jero tu bro......nauli yako itatumika vizuri au unataka maelezo zaidi,,,we mpeleke viwanja ale vyombo akiamka asubuhi nauli yako na gharama za vyombo atakuta ameshazirudisha uzuri huku sio kwa mabeberu
 
Back
Top Bottom