Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Huyu wala kidole simgusi nilitaka nimrudishe na gari mbovu ila Dem mwenyewe hela ipo ningejizalilisha namlipia VIP ile ile arudi ,nimetoka kubooking katarama hapa kesho anasepa fresh tu ila akisepa biashara imeisha maana alikuwa mkoani analia lia nimuowe na tokea Namfaham.hapa Dar alikuaa ananizungusha zungusha mchezo nikamwambia siwezi nunua gari sijalitest hiyo biashara haipo akaenda mkoani kufanya kazi ila bado ananisumbua sana nikamwambia akubali vigezo vyangu akakubali namtumia nauli anafika Dar nipo Period.. sasa nimemuuliza ulikuja kufanya nini
😆😆😆😆 atakudharau trust me, huyo ukimkazia anajua alternative
 
Weeeee. Ile hamu ya kumsubiri demu ambaye hujawahi mkamua ni noma.

Kama ni mali safi alafu na kahela umetoa lazima roho iwe juu juu. Ila kama kweli yuko P na mwamba ni kambale lazima afosi kuzama topeni.
Ilitakiwa amwambie ukweli kwamba akija kita “happen” ili yule ajue kabisa apangilie siku ambayo haikaribii period.

Sasa anamuacha mtu aje tu hajasem chochote. Wenzake kabla ya kutuma nauli huwa wanahakikisha mwanamke karidhia kutoa papuchi na akituma nauli tu hapo hapo sexting zinaanza utasikia “enhe babe niambie utanipa style gani😂😂😂” yaani mtoto mpaka anafika chupi imelowa.
 
Ilitakiwa amwambie ukweli kwamba akija kita “happen” ili yule ajue kabisa apangilie siku ambayo haikaribii period.

Sasa anamuacha mtu aje tu hajasem chochote. Wenzake kabla ya kutuma nauli huwa wanahakikisha mwanamke karidhia kutoa papuchi na akituma nauli tu hapo hapo sexting zinaanza utasikia “enhe babe niambie utanipa style gani[emoji23][emoji23][emoji23]” yaani mtoto mpaka anafika chupi imelowa.
Alikuwa anajua hadi shanga nimenunua na nikamwambia nitamvaliasha wakati wa tendo na akachagua hadi rangi ya shanga hujiongezi.hapo
 
Ilitakiwa amwambie ukweli kwamba akija kita “happen” ili yule ajue kabisa apangilie siku ambayo haikaribii period.

Sasa anamuacha mtu aje tu hajasem chochote. Wenzake kabla ya kutuma nauli huwa wanahakikisha mwanamke karidhia kutoa papuchi na akituma nauli tu hapo hapo sexting zinaanza utasikia “enhe babe niambie utanipa style gani😂😂😂” yaani mtoto mpaka anafika chupi imelowa.
Ewaaaaa si ndo hapo, sasa kashindwa kumpanga demu kisaikolojia ili ajue akitia timu analiwa, kakaa tu kutoa mihela.
 
Ukiskia kula hasara ndio huku Wanawake sometime muwe mnajiongeza mwanaume kakutumia nauli tena ya gari VIP,umetoka Mwanza unakuja hadi Dar na kashakupanga kabisa unaelewa ulichokifuata ni nini unafika Dar unasema upo period matumizi yote hadi kurudi mwanza 500k no mzigo

Wanawake sometime msipende kutupa hasara wanaume, mwanamke alikuwa ananisumbua mwaka mmoja full usumbufu yupo mwanza, nikamwanbia nimekumiss njoo dar hata siku 2 na akaelewa kabisa anachokifuata anafika nipo period

Nauli nimelipa Vip kwenda na kurudi tu kaki 2 na nusu inakatika na matumizi mengine laki 5 ila kwa alichokifanya siwezi.mrudisha na VIP atarudi na Zuberi no way tusipeane hasara
Shukuru Allah kakuepusha juu ya jambo fulani
 
Kama kaingia period unataka afanye nini? Mle basi, we ni pumbavu!
 
Sasa ungekata tiketi ya ndege 'go and return' si ndipo ungezirai..

Kiukweli nikuchane tu we ni mshamba.. tena shamba boy la karne...

We unaelewa hali yako taabani, ndio maana basi la VIP kwako unaona kama amepanda dreamliner? au private jet... halafu unavimba kumtoa mwanamke Mwanza ili umgonge, kafika kakunyima uchi umemfungulia uzi...

Kwa hali yako ya kiuchumi ungetafuta mwanamke katika mazingira yako, wapo wengi...

Halafu si kila mwanamke unayemsaidia utake reward ya uchi...
 
Back
Top Bottom