The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,926
- 4,938
InshallahWanawake hawatabiriki mkuu...No formula unachofanya unatandika mkeka wako unatulia ukitiki inshaallah.
InshallahWanawake hawatabiriki mkuu...No formula unachofanya unatandika mkeka wako unatulia ukitiki inshaallah.
[emoji23][emoji23][emoji23] Huyu bro jamaaa anachekaIla we jamaa ni miyeyusho sana wewe daah [emoji23][emoji23][emoji23], yan umekomaaa kweli ani
Bosi wangu huyo, pia anajua sana kunyonya mare, kama hana meno kumbe yapo.Na ukiwa unapiga mashine, kingereza kingi sana.Ameshanitunuku mara 2 huyo.Ulibugi sana imekuwaje siku ya kwanza hadi ya nne haukufanya kitu au ulikuwa domo zege
Bongo muvi.Hiyo ya kufuta namba imenikumbusha mbali sana. Wakati niko chuo kuna pisi moja ya kishua nilikuwa jirani nayo sana. Tulikuwa kundi la group assignment. Alikuwa na anajiheshimu sana pia mimi alikuwa ananiheshimu na kuchukulia kuwa na kaka yako. Baba yake alikuwa ni mtumishi mkubwa kabisa katika awamu ya mzee wa Lupaso. Pisi hiyo ilikuwa ina kaa nyumbani inaletwa Chuo kwa gari mimi nilikuwa nimepanga na jamaa jirani na chuo. Alikuwa na mazoea ya kuja mara kwa mara geto kwetu na hii ilitulazimu kudumisha usafi wa hali ya juu sana. Maana mnaweza kuwa darasani akaomba ufunguo akasema anaenda kupumzika geto...
Kuna kipindi mzee wake alisafiri kwenda nje akamletea simu kali kwa kipindi kile, nokia double screen kipindi hicho hakuna smart phone, ile pisi ikanipa simu aliyokuwa anatumia awali noki 3210 aka jeneza. Hii ndiyo ilikuwa simu yangu ya kwanza kumiliki. Kwangu mimi ilikuwa ni kwa ajili kupokea tu maana sikuwa na uwezo wa kuweka airtime. Airtime yenyewe ilikuwa ghali sana 1000 unatumia dk mbili tu.
Tuliendelea kuwa karibu na ile pisi kiasi cha jamaa yangu kuanza kuhoji nini mustakabali wetu. Kuna siku nikatupia maneno ya kutongoza pisi ikaniambia Lube please you should behave... Sikukata tamaa mana watu karibia kozi nzima wanajua mimi nakula mzigo. Kuna siku nikamuibukia waziwazi akaniambia if you insist I will stay away from you.... Hapa ikibidi nirushe majeshi nyuma nikaanza kumkwepa kiaina.
Siku moja akanipigia simu nikapokea na kujifanya siitambui namba... Akaniuliza umefuta namba yangu... Nikamwambia wewe nani kwanza? Akasema ni mimi S.... Nikamwambia ok karibu... Akaniuliza kwa nini umefuta namba yangu.... Nikamjibu I decided to stay away from before you stay away frome as I cant avoid missing... Akaniuliza kwa hiyo ukifanya hivyo ndiyo unakuwa sawa? Nikamwambia niko sawa au siko sawa it is none of your business.
Akasema Lube what has come between us? Nikamwambia nothing wrong.
Akasema, No please I dont like the way you behave, please be fair.... I want to meet you this evening... Nikamuuliza, je hicho ndicho ulichonipigia kuniambia? Akaniambia no please we need to sort out this please then nitakuambia nilichokusudia kukuambia. Nikamwambia nitakuwepo geto. Akaniuliza Mark (yule jamaa yangu si jina halisi) yupo hapo? Akili ikajichaji fasta nikamwambia Mark hayupo kaenda kwa sista wake atarudi Mtaa X atarudi kesho jioni... Akanambia Ok Im coming soon...
Baada ya hapo ikabidi nimpange Mark kuwa S anakuja soon na mimi nataka nimalize mchezo leo leo. So please give me a space. Nikampiga exile ya kwenda kwa jamaa wengine.
Saa moja baadaye S alitinga getoni kawaka ile mbaya... Alipoingia tu room chumba kizima kilinukia. Alienda moja kwa moja kukaa kitandani maana humo ndani kulikuwa na meza na viti viwili.
Baada ya kukaa akaniuliza mbona umefuta namba yangu? Nikamjibu nilishakueleza mbona, kwa hiyo hicho ndicho kimekuleta hapa? Akasema of course ni hicho wewe unadhani ni jambo dogo?
Nikamwambia una si jambo dogo. Ila dogo kuliko uliloniambia ni behave or you will stay away from me. Muda wote tunaongea mimi nilikuwa nimekaa kwenye kiti nimetazama ulekeo mwingine. Akaja nyuma yangu na kuinama kisha akainua uso wake kwa mikono. Nilipata msisimko wa ajabu sana.
Nikamwambia S tafadhali unanipeleka mbali sana na hutoweza kunisaidia. Akauliza nini siwezi kukusaidia? Nikamwambia unajua kabisa the way I feel for you and you are aggrevating my passion.
Alichojibu Im here for you... do what can make you happy.
Nilimwambia S I really love you, but .... I can not do anything against your will. I know you are forced to do to please me. Nikainuka nikawa naelekea mlangoni ile nashika mlango nifungue akanishika mkono na kunigeuza, tukawa tumekaribia...tunatazama....
Itaendelee saa moja jioni....
chaiKuna hii niliwahi kwenda kwa demu kuzagamuana siku ya kwanza, nikaishia kula na bonus shosti yake.
Tulifahamiana kwenye usafiri wa umma. tukapiga story mbili tatu. mwishoni kumbe tunashukia kituo kimoja. Nikaomba namba nikapewa. Tukawasiliana hapa na pale show ikapangiwa siku. Yeye amepanga na ni single mother. Wakati nampanga nikamwambie twende lodge. akakataa, akasema hiyo hela ya lodge bora nimwongezee alaf niende kwake pako safe. akanihakikishia hana mtu maana baba wa yule mtoto aliye naye hayupo Tanzania. Alifahamiana naye kipindi huyo baba alikuja kufanya kazi Tanzania ndo ikatokea akapata mimba so baba muda wake umeisha amesharudi kwao.
Nikajilipua nikaenda mida ya asubuhi. Ile nafika aliponielekeza naona wadada watano hivi wako wanapiga story, wawili wanasukana. Basi mara kile kikao kikavunjika. Mhusika akanyanyuka na mwenzake mmoja wakaja kunipokea. mwingine akasepa. wakabaki wale waiokuwa wanasukana,. Basi nikaongozana na hawa wawili hadi rum, kumbe yule mwingine ni jirani na milango yao inatazamana, katikat hapo ni corridor nyembamba sana. Nilikuwa nimebeba matunda kwenye kimfuko mkononi na kibegi changu kidogo begani. so mmoja kapokea mfuko mwingine kibegi. Kufika, basi yale matunda wakayachukua wakaanza kugawana pale. Huyu jirani nikaona kama mwenyeji tuu, uchangamfu 100%. Kumwangalia vizuri jirani ni pisi kali hatari kuliko hata mwenyeji. alafu amejivalia kanga tu hapo anajipitisha pitisha. Mambo ya matunda yalipoisha jirani akasepa zake kwake. sisi tukaendelea. Show ikabamba sana. Round ya kwanza mtoto alikojoa wakati mm bado kabisa, nilitumia mbinu zote kuhakikisha nisikojoe haraka, sasa yeye alifika kilele akapiga kelele, akanikamata kwa nguvu ikawakama vurumai anahema kwa nguvu baadaye akajibwaga puuuuh. huku jasho likimtoka. Baada ya muda akanyanyuka alinipiga busu tamu sana nikamwambia rudi hapa unaenda wapi mm bado, akashangaa. Kabla hatujaendelea akasema tukage maana tumesweat sana. Tukaenda tulivyorudi shughuli ikaendelea, round yake ya pili ikawa ndo yangu ya kwanza. sema nikajitahidi kwenda na spidi yake this time tukaja kumaliza pamoja sasa kwa purukushani zile na mm stim ikawa imeshapanda utamu ulikolea hatari tulikamatana vurumai hizo kitanda hakikutosha mtoto alipiga kelele na mm hata sielewi nilifanyaje tukajikuta tumepiga teke kuna ndoo zilikuwa karibu na kitanda na juu yake kulikuwa na vyombo vikaparanganyika makelele hadi nje. Kumbe jirani alikuwa anatusikilizia tuu.
Baada ya pale tukapumzika kabisa. Akasema njaa inamuuma kama vp tupike ila hana mboga. Nikasema kama zipo karibu kalete tupike nikampa hela. Alipotoka kwenda dukani si akamuaga jirani. Alivyopotelea tu jirani kaja ananichangamkia nikimwangalia uso kwa saikolojia yangu niliona kabisa kuna kitu anataka ila anaogopa kusema. Nikamuwahi kumuomba namba eti shemeji. Akaniandikia namba alafu akarudi zake kwake. nikambip. baada ya muda mwenyeji karudi akaandaa msosi ambao tulikula wote na yulle shemeji jirani. Kipindi mwenyeji anaandaa msosi kumbe nilikuwa nachat na shemeji jirani bila mwenyeji kujua, nikichombeza anaitika, akawa ananisifia kuna mda ananiambia baba taratibu basi usije ukamwua jirani yangu. Kila nikimchombeza naona anaitika, akili ikahamia kwake kabisa.
Baada ya kujiridhisha pasi na shaka kuwa abdalla kichwa wazi akili imehamia kwa jirani (ukizingatia ni pisi kali kuliko mwenyeji), baada ya msosi nikafanya drama flani ionekane nimepigiwa simu ya dharura ili nisepe pale, na kweli nilifanikiwa. nilipotoka tukaendelea na chat hapa na pale. Nikafika sehemu nikatafuta pa kupata kinywaji, nikapumzika. Nikawa namwambia shem nimepumzika sehem x, napata kinywaji kidogo. akasema kama vipi aje anijoin tupige story kidogo, nikasema poa. kabla hajaja nikatafuta sehem wanapouzazile juice za booster. alipofika akaagiza kinywaji, baadaye chipsi, nikamwambia vp sasa unaniachaje?akasema anatamani nimuonjeshe hicho kipigo nilichomfanyia jirani yake. Basi nikalipia msosi na vinywaji, nikatafuta msaada wa mhudumu kupata room nikajipigia show hadi usiku. Aisee nilikuja kujuta kwa nini nilianza na yule wa kwanza maana huyu wa pili alinifanyia mambo ya Tanga almanusura nisahau kurudi kwetu.
Umeupiga mwingi ni lazima tushinde vishawishiNimekoswa koswa kuliwa kimasihara na jirani yangu….Mimi ni me, shemeji yenu amesafiri sasa hizi apartment zetu za kupanga kuna kabint jirani ambako mara kwa mara kanakujaga shemeji yake akiwepo(shemeji yenu ana urafiki na dadaake) ……naona baada ya kufahamu shemeji yake amesafiri kakaanza kunitembelea mara hoo Concoo umesahau kufunga mlango…..nkakazuga nkakapotezea …mara ya pili kamenikuta nachek movie seblen kakanishika mabega na kuniangalia kwa macho kamelegeza…….nkazuga nmemaliza kuchek movie nasepa……mara ya tatu kamekuja ndan tuu nkatoka nje nkaanua nguo na kukaambia kuwa me nasepa kakimaliza kalichofuata kafunge mlango nkatoka nje kuwasha gari na kutokomea……nahitaji kujipongeza kwa hili maana kameshika adabu saiz hakana shobo tena …..wana masihara nakaribisha matusi yenu!!!
Endelea kujisifia kwa kutuangusha.Nimekoswa koswa kuliwa kimasihara na jirani yangu….Mimi ni me, shemeji yenu amesafiri sasa hizi apartment zetu za kupanga kuna kabint jirani ambako mara kwa mara kanakujaga shemeji yake akiwepo(shemeji yenu ana urafiki na dadaake) ……naona baada ya kufahamu shemeji yake amesafiri kakaanza kunitembelea mara hoo Concoo umesahau kufunga mlango…..nkakazuga nkakapotezea …mara ya pili kamenikuta nachek movie seblen kakanishika mabega na kuniangalia kwa macho kamelegeza…….nkazuga nmemaliza kuchek movie nasepa……mara ya tatu kamekuja ndan tuu nkatoka nje nkaanua nguo na kukaambia kuwa me nasepa kakimaliza kalichofuata kafunge mlango nkatoka nje kuwasha gari na kutokomea……nahitaji kujipongeza kwa hili maana kameshika adabu saiz hakana shobo tena …..wana masihara nakaribisha matusi yenu!!!
Hii match si wezi ishinda labda nife alafu nifufukeNimekoswa koswa kuliwa kimasihara na jirani yangu….Mimi ni me, shemeji yenu amesafiri sasa hizi apartment zetu za kupanga kuna kabint jirani ambako mara kwa mara kanakujaga shemeji yake akiwepo(shemeji yenu ana urafiki na dadaake) ……naona baada ya kufahamu shemeji yake amesafiri kakaanza kunitembelea mara hoo Concoo umesahau kufunga mlango…..nkakazuga nkakapotezea …mara ya pili kamenikuta nachek movie seblen kakanishika mabega na kuniangalia kwa macho kamelegeza…….nkazuga nmemaliza kuchek movie nasepa……mara ya tatu kamekuja ndan tuu nkatoka nje nkaanua nguo na kukaambia kuwa me nasepa kakimaliza kalichofuata kafunge mlango nkatoka nje kuwasha gari na kutokomea……nahitaji kujipongeza kwa hili maana kameshika adabu saiz hakana shobo tena …..wana masihara nakaribisha matusi yenu!!!
😂😂😂nimecheka hadi nimepaliwa😂
hongera
Wewe mshamba...nini kinachekesha?nimecheka hadi nimepaliwa[emoji23]
hongera
Jiraniii, ...kimasikhara kataka🤣Uliunganishwa tu sijui,
Ukiona mtu kaliwa ujue kataka,hakuna kimasikhara,
Umenielewa[emoji16]
Asilimia 97Waliopo kwenye huu uzi ni vijidogo[emoji23],
Jamaa kaokotwa kwani amepangwa akapangikanimecheka hadi nimepaliwa😂
hongera
mizinga inayofuata hatoaminiJamaa kaokotwa kwani amepangwa akapangika
Anajiona shujaa lkn huyo mwenye mtaji wake hapo kati ndio mjanja😂mizinga inayofuata hatoamini