The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,926
- 4,938
Uko sahihi kaka lakini ujue ni approach ipi inawork best.Sasa wengnne usipowashobokea mpm ukiremba utajikuta ushachelewa
"Ukisubir embe liive, wenzio twala na chumvi"
Ukianza vishobo shobo ndio anaanza na mizinga hapohapo sianajua unachotaka.
Ni sawa na machinga akikufata mwenyewe bei asilimia kubwa unaweza mshusha, ila ukimfata hata akikupiga ni sawa sababu umeonesha shida