Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,822
Wewe mshamba...nini kinachekesha?nimecheka hadi nimepaliwa
hongera
Wewe mshamba...nini kinachekesha?nimecheka hadi nimepaliwa
hongera
Jiraniii, ...kimasikhara kataka🤣Uliunganishwa tu sijui,
Ukiona mtu kaliwa ujue kataka,hakuna kimasikhara,
Umenielewa![]()
Asilimia 97Waliopo kwenye huu uzi ni vijidogo,
Jamaa kaokotwa kwani amepangwa akapangikanimecheka hadi nimepaliwa😂
hongera
mizinga inayofuata hatoaminiJamaa kaokotwa kwani amepangwa akapangika
Anajiona shujaa lkn huyo mwenye mtaji wake hapo kati ndio mjanja😂mizinga inayofuata hatoamini
Hujui maisha ya uswazi wewe. au nikupe namba uendechai
KivipiWaliopo kwenye huu uzi ni vijidogo,
Miguu yooote ni PM namba zakeMtoto mali safi, ananyea mbali, anapiga na miguu yote anataka now, ahaha alafu nigame mjin kweli ? Vijana mkikamata malizen yoote
Uwanja wa mpira 😂Mwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.
Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi..
Kuna jirani yetu Tabata alishafanyiwa hivyo mwaka 2004.....hakuna jipya.Mwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.
Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi..
Basi huruma iliniingia nikaenda kumlipia
Baba huruma endelea tuHuruma iliniingia nikamtumia Hela ya kulipia na ya chakula
Kwamba mwangwi...akasema hiiiii mwangwi ukajibu tena hiiiMwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.
Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi
Mwezi wa kwanza, wa pili, wa tatu akamuamini yule mlupo akawa anamwacha geto anakuta demu kapika,kafua, kadeki.
Mwezi wa nne jamaa yuko zake mishe demu akakodi kirikuu akasomba mazaga yote geto akatokomea kusiko julikana.
Jamaa kufika geto alikutana na mwangwi.