Wako wapo wapi ?? Ni wivu tu.

Kwan unadhan sio wivu?

Alafu bahati mbaya, nmekuzidi Kila kitu, yaan Kila kitu nimekuzidi ,Sasa wivu unazidi Mara 100[emoji23][emoji23]
Ulichonizidi sana sana ni kuandika ujinga na kutongoza wanawake wabovu ili uje utambe humu ila hakuna kingine,,

Hakuna dr anaeweza kufanya haya lbda mtunza maiti.
 
Unaenda kuliwa kimasihara.... 😀
 
Baada ya hapo huyo mwanae alipata kazi?
 
Ulichonizidi sana sana ni kuandika ujinga na kutongoza wanawake wabovu ili uje utambe humu ila hakuna kingine,,

Hakuna dr anaeweza kufanya haya lbda mtunza maiti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mmeanza kuvurugana wenyewe sasa. Lol
 
Ulichonizidi sana sana ni kuandika ujinga na kutongoza wanawake wabovu ili uje utambe humu ila hakuna kingine,,

Hakuna dr anaeweza kufanya haya lbda mtunza maiti.
😂😂😂😂😂 Weee mchomelea mageti ulojaa stress za Maisha .

Tunza nguvu zako kupambana kuboresha Maisha yako bwasheee
 
Carlos The Jackal punguza utoto usidhani wewe unaishi dunia yako nachoona hujiheshimu na huwaheshimu hao wanawake au ni wale wanawake wasiojielewa kwa mujibu ya sms zako.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Usifanye mambo kua magumu, wee huwajui Wanawake , hawako kama unavyowaza .

Endelea kuwaona ni Malaika Sasa .

Alafu wawe wanakutana na Mtu kama Mimi.

Utafurahi
 
Huwa ninawaambia...kibongobongo Wanawake wanapenda.

Madaktari 100%

Watu wa Bank 90%

Wanasheria 80 %

Wanajeshi 75%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…