Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wako wapo wapi ?? Ni wivu tu.


Kwan unadhan sio wivu?


Alafu bahati mbaya, nmekuzidi Kila kitu, yaan Kila kitu nimekuzidi ,Sasa wivu unazidi Mara 100[emoji23][emoji23]
Ulichonizidi sana sana ni kuandika ujinga na kutongoza wanawake wabovu ili uje utambe humu ila hakuna kingine,,

Hakuna dr anaeweza kufanya haya lbda mtunza maiti.
 
Nipo kijijini kidogo kuona wazee.. naenda mtaani naonana na ndugu, jamaa na marafiki wa kipindi nakulia huku. Ninatabia ya kuja kusalimia atleast mara 1 kwa miaka miwili. Asilimia kubwa hukuta sura mpya maana vijana wanazidi kukua tu.
Nikaonana na jamaa yangu mmoja ana cheo fulani cha kiheshima na alikuwa na viongozi wenzake.
Kati ya hao viongozi mmoja alikuwa mwanamke ambaye ndio boss wa kata huku nilipo na bado mbichi kiasi age kwenye 26 hivi sura nzuri kiasi chake na ni mgeni naambiwa ndio ana miezi miwili tu. Natambulishwa na jamaa yangu na pale nikaombwa namba ya simu na wote wakaichukua. Maisha yakaendelea story za hapa na pale nikaondoka.
Jana napigiwa simu kupokea naulizwa umeondoka nikasema hapana. Wakati huo sijajua nani akaniambia mie kata tulionana juzi ohhh.
Basi akaniambia kama hujaondoka naomba kesho (leo) tuonane. Namuuliza wapi na saa ngapi. Akaniambia nyumbani kwangu na usiku kuanzia saa 2 nadhani ndio muda mzuri. Nikamwambia poa.
Nauliza jamaa fulani hivi bos wa kata ya hapa ameolewa naambiwa hana mume..

Nipo nawaza kuna Masihara inakuja hapa maana hatujaongea lolote.
Unaenda kuliwa kimasihara.... 😀
 
Baada ya hapo huyo mwanae alipata kazi?
Unexpected sex ni tamu sana siku zote hata bila kumumunya maneno!

Hii ya kwangu nadhani siyo kula tunda kimasihara bali ni rushwa ya ngono na matumizi mabaya ya ofisi nilifanya!

Nilikuwa na kawadhifa mbuzi flani hivi sehemu.

Mama mmoja akajichanganya hadi nikashangaa!

Mara ya kwanza kukutana naye, akawa na furaha sana kwa namna alivyonisabahi kwa kucheka cheka hadi nikajishitukia!

Kumbe hatua hiyo alikuwa anasafisha njia ili kujenga mazoea!

Ndiyo siku moja akaja kujiweka wazi kuwa zile nafasi za ajira zilizotangazwa na Halmashauri, mtoto wake asikose na yupo tayari kujitoa kwa lolote!

Nikamuuliza atajitoa toaje?

Baadaye akanizidi vishawishi baada ya kuweka wazi kuwa yeye mwenyewe anajitoa na si kwa ubaya, ni kwa nia nzuri tu.

Na alivyokuwa na msura, nikakubali ili nione kama yaliyomo yamo na itakuwaje!

Kufupisha stori, kuanzia hela ya gesti ni yeye, hela ya Taxi ni yeye, hela ya vinywaji ni yeye, hela ya kuhonga ni yeye na mambo yoote ambayo hufanywa na mwanaume kusherehesha(kuhonga) mwamamke amtakaye alifanya yeye.

Yaani alinitreat kama mtu jobless ninayeishi kwa mtu.

Nikaambiwa ni marufuku kutoa hela yangu katika mchakato huu, ni yeye kama yeye tu na nisijisikie vibaya, nikasema sawa.

Na kweli kila nikitaka kujitutumua kwa kutoa ushirikiano ki pesa, nakatazwa.

Tukaja kwenye sanaa ya kitanda sasa!

Mauno yale ya rushwa yalivyokuwa yanakatwa kihasara, sidhani kama hata mtu wake humkatikia mauno ya namna hiyo!

Ni raha sana kwa mwanaume kumlala mwanamke na kisha hela akupe yeye.

Unapata msisimko mkubwa sana wa ajabu kuzidi lile penzi la kusotea.

Na unafanya kwa ufanisi mkubwa kwa kujiamini vile kwa sababu unafanya bila hofu, umeondolewa stress zote za kudaiwa sijui hela ya kuhonga na gharama zingine zote!
 
Ulichonizidi sana sana ni kuandika ujinga na kutongoza wanawake wabovu ili uje utambe humu ila hakuna kingine,,

Hakuna dr anaeweza kufanya haya lbda mtunza maiti.
😂😂😂😂😂 Weee mchomelea mageti ulojaa stress za Maisha .

Tunza nguvu zako kupambana kuboresha Maisha yako bwasheee
 
Carlos The Jackal punguza utoto usidhani wewe unaishi dunia yako nachoona hujiheshimu na huwaheshimu hao wanawake au ni wale wanawake wasiojielewa kwa mujibu ya sms zako.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Usifanye mambo kua magumu, wee huwajui Wanawake , hawako kama unavyowaza .

Endelea kuwaona ni Malaika Sasa .

Alafu wawe wanakutana na Mtu kama Mimi.

Utafurahi
 
Nina mshikaji alikua mpangaji mwenzangu kipindi nipo chuo kasomea udokta saiv anakaribia kumaliza ile intern yao ya mwaka mmoja.. jamaa alikua anakula madem sio chini ya tatu daily.!! Sijui kama kaacha

Kitu kama huna experience nacho usifikiri ni chai. Hata mimi zamani nilikua na ratiba ya kuingiza dem mpya geto kila siku ila nilikuja kuacha baada ya kuponea chupuchupu kuukwaa.

kuna watu sex ndo kama dini yao na wanaitumikia kikamilifu tena hao madokta ndo usiseme wanakula sana manesi na wagonjwa[emoji1787][emoji1787]

Carlos The Jackal
Huwa ninawaambia...kibongobongo Wanawake wanapenda.

Madaktari 100%

Watu wa Bank 90%

Wanasheria 80 %

Wanajeshi 75%
 
Back
Top Bottom