Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Aisee hii pia ikishanitokea kabisa, na lilikula vihela vya vocha kama siku 5 ivi,, nilipokomaa kula mzigo, ndo likaniambia ukwel kua linatumia picha ya mdogo wake, ila kama nataka kupiga nyuma lipo tayari, Mwanza Ghana, kmmke yule msenge alikua na sauti nzuri balaa, baada ya kuniambia ivyo nikafuta na Namba yake kabisa dadeki.Aisee,ulikutana na shoga,aliwezaje kuigiza sauti ya kike na usigundue