Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Attachments

  • Screenshot_20210624-235731.jpg
    Screenshot_20210624-235731.jpg
    26.2 KB · Views: 104
Mada ni kula tunda kimasikhara alafu ww unatuletea mbwela zako za maukimwi huko utafikiri unaujua hata huo ukimwi. Na unajiona mjanja kwamba huwezi upata. Subili mkeo apate mimba atakuletea majibu.

Kifupi tusitishane na mambo ya ukimwi tutembelee mle mle kwenye masikhara ya mbususu kama vp fungua uzi wako wa njinsi ulivoepa ukimwi.[emoji57][emoji57][emoji57]
Hahahaaah mkuu mbona umekuwa mkali sana.
 
Back
Top Bottom