Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,570
Mkuu umenistua sana aisee... kumbe watoto wa Temu mko humu pia...mkuu upo humu ee unatamba? Umawakilisha mabaharia wa umojaw6
Sura yangu nitaificha wapi mimi? 😂😂😂😂
Lakini mkuu, wewe hujawahi kula kimasihara?
Tuanzie hapo kwanza..😀😀