Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ndugu yangu nimesoma uzi wako na nimesikitika sana kwa wewe kumshuhudia MUNGU uongo. Iko hivi:

MUNGU hakutuumba na kutuwekea "tamaa" ndani yetu. Tamaa ni udhaifu na MUNGU hakutuumba dhaifu. Imeandikwa hivi, "MUNGU alimuumba mwanadamu mkamilifu" Soma Mhubiri 7:29. Pia soma Mwanzo 1:31

Tamaa zinazopelekea watu kufanya zinaa na uasherati ni matokeo ya "ukaidi" wetu na siyo matokeo ya "uumbwaji".

Ndugu unapaswa kuikimbia zinaa na unapaswa kujimiliki na siyo kumlaumu MUNGU ili kuhalalisha maovu yako.
Haleluya!!!
 
Ukiwa unaziba "nyufa" kwenye nyumba, Je, hutaingia chumba hadi chumba ili uone "nyufa" zote na kuziziba?

Jamii Forums ina vyumba vingi na mimi nikiwa kama "fundi" wa kuziba nyufa basi nitaingia chumba hata chumba mpaka nizibe nyufa zote.
Kule porn hub kuna vyumba vingi vya kuziba, ushaenda na huko?
 
Ndugu yangu nimesoma uzi wako na nimesikitika sana kwa wewe kumshuhudia MUNGU uongo. Iko hivi:

MUNGU hakutuumba na kutuwekea "tamaa" ndani yetu. Tamaa ni udhaifu na MUNGU hakutuumba dhaifu. Imeandikwa hivi, "MUNGU alimuumba mwanadamu mkamilifu" Soma Mhubiri 7:29. Pia soma Mwanzo 1:31

Tamaa zinazopelekea watu kufanya zinaa na uasherati ni matokeo ya "ukaidi" wetu na siyo matokeo ya "uumbwaji".

Ndugu unapaswa kuikimbia zinaa na unapaswa kujimiliki na siyo kumlaumu MUNGU ili kuhalalisha maovu yako.
Ndugu kanisa lako liko wapi kwa hapa tanzania
 
Ni stori ndef ila ntajaribu kuifupisha kadri ya uwezo wangu.

Mchepuko nnae mzungumzia. Ni binti flan ivi mrembo hapa mtaani, anaishi nyumba Kama ya 3 kutoka nnapoishi na familia yangu. Pia mwajiriwa ktk mojawapo ya makampuni Aya ya Marehemu mzee Mengi.

Mahusiano yetu yalijengwa na utaratibu wa lift kipind anaenda kazin hasa ule msimu wa mvua mwaa jana maana ofsini kwang na kwake sio mbali Sana.

Kiufupi mahusiano yetu hayakua na kutongozana KABISA. Kuna ibilisi flani ivi alikatiza mbele yetu tukajikuta tushafanya mapenz kwny gari na ndo ukawa mwanzo wa mahusiano.

Kiukweli, bint alionekana kuyafurahia mahusiano na kunipenda zaidi na Mchezo ukawa Ni ule ule. Nkitoka kazin nampitia tunaenda mahali tunapaki tinted juu kisha tunastua kimoja viwili ndo tunaelekea nyumban.

Sasa kwa Hali ilivoendelea nkaona hii sio salama Tena, maana mtaa ule ule inaweza tokea leakage of information nkaonekana wa hovyo pale mtaani na familia yangu kiujumla. Maamuz nlochukua ilkua Ni kumpangishia mbali na pale nyumbani ili niwe huru kumtafuna ipasavyo.

Nikamshauri ilo swala akakubali na nikamlipia chumba na sebule mbali KABISA na nyumban ( umbali km 35 kutoka pale nyumban) Kodi ya mwaka mzima inayotarajia kuisha tar 3 March mwka huu.

Sasa ile kigiza Cha saa moja usiku wa mwaka mpya (January 1,2021), Kama kawaida nkaaga wife naenda kuangalia mpira, akakubali. Ila lengo halisi lilikua ni kwenda kumchakata Yule binti uko kwake.

Na utaratibu wangu ilkua sitaki KABISA kupaki gari nyumba ile maana inawapangaji wengine. NKIHOFIA WANAWEZA UNGUZA PICHA. Ila napaki gari kwnyw baa moja mtaa ule, Kisha natembea kwa mguu umbali wa mita 500 hivi ndo Nafika kwa binti. Sasa Kama kawaida iyo siku mida ya saa 5 usiku nishapiga show tayar, nmetoka nmetembea nmefika kwny gari.

Nkasema ngoja nipige sim nimuage KABISA ili nikishatoka hapo Ni direct moja kwa moja kwa mama watoto home nkapumzike. Ile nmejiegesha kwny bonet ndo nmemaliza kuaga namuandikia sms nzito iliyojaa mahaba tele ili niondoke. Nkaskia mtu ananikwapua simu mkononi, kugeuka nkakuta wife uyu apa.

Dah! Nliishiwa Nguvu aisee, Ile ata sijajieleza chochote nkaona anaita boda boda anapanda na kuondoka. Ikabidi na mm niifatilie ile boda, nkaona inanyoosha njia ya home. Ile nakaribia home, nkapishana na ile boda inatokea home. Akili ikanituma moja kwa moja wife kaenda home.

Sasa hapa inabid nijipange jins ya kupangua hizi shutuma nzito zitakazonikabili ntakapofika nyumbani. Breki ya Kwanza nkampigia mchepuko wagu nkamweleza kilichotokea, akanishauri nikubali TU maana HAMNA Cha kuficha Tena. Akili yangu ikagoma KABISA kuupokea ushaur ule, itakua namrahisishia jaji hukum kwa kukiri KOSA. Akili ikachekecha Tena, Jibu lililokuja kichwani Ni kutumia ubabe TU.

Nkifika tu nyumban Baba nmekunja sura, sitaki niulizwe chochote Wala kujibu chochote. afu nilimalize kimya kimya. Namjua wife wangu, atanuna wee baadae atasahau na maisha yatasonga. Namshkuru nilipofia home nlimkuta kanuna Kama nlivotabiri, na Mimi nkafanya vile vile kama serikali ya kichwa changu ilivyonishauri. Tulienda vile Kama wiki hivi hatusemeshani na simu yangu bado kaishikilia.

Ikabidi nimuombe anipatoe sim yangu maana Mambo yangu mengine yanakwama. Akanirudishia iko salama salmini, ila changamoto Ni kwamba ile NAMBA ya Yule binti imefutwa. Sms na chats zote zinazomhusu TU Yule binti zote zimefutwa. Akili ikanicheza, NAMBA ake ilku kichwan nkampigia nkamuuliza vipi hajakutafuta, akasema hapana.

Aisee nkashusha pumzi na Nkamshkuru sn Mungu kwa ilo maana Ingekua balaa. Kesho yake nko kazin npigiwa simu wife anaumwa kakimbizwa hospital. Kufika nkakuta keshatundikwa drip 3 ila anajiskia nafuu. Nkamsalimia hakunijibu, zaidi zaidi alilia Sana. Nkamuulza bint wa kaz, Nini kimempata mama ako.

Akasema na yeye kashangaa ila mama alkua Safi TU na simu anachati sebleni ghafla akaagiza maji ya kunywa aliporudi akamkuta kaanguka chini anapumua kwa shida. Ndo kuita majirani ndo wamemleta hapa hospitali. Mmh! Aisee nafsi ikastuka nkawaza huenda ikawa wife nae ameshaukwaa ule UGONJWA WETU WA CHAGAMOTO YA UPUMUAJI. Maana hapa katkat alkua na mafua.

Ikabidi nicheki dokta, dokta akanambia uyu presha ilipanda TU Hana tatizo lolote vipimo vinaonyesha Hana tatizo zaidi na leo Leo Kama ataendelea ivo basi ataruhusiwa.

Amani ikarejea, Ikabid Nirudi wodini kuchek maendeleo ya wife. Aliponiona TU naingia, wife akaanza kuangua kilio Sana. Mpaka nesi aliekua anamhudumia akanambia nitoke nje.

Basi nkaenda zangu moja kwa moja home, ila kichwani mawazo kibao
-kwanini wife ameanguka?
-kwanini Amelia Sana aliponiona naingia?
-kwanini hata pole yangu amekataa kuijibu?

Ilpofika usiku, Wife akarejeshwa nyumban moja wa Moja mpk bedroom. This time ikabidi niwe mpole, baada ya dada kumhudumia chakula na kwenda kulala. Ikabidi nimwombe wife anieleze tatizo nn mpk amepelekwa hospitali. Alichofanya ni kunikabidhi TU sim yake na kunambia niende kwny meseji.

Aisee,
WAKUU NLICHOKIKUTA UKO NI CHA KUTISHA.

Ni kwamba kulikua na majibizano makali sana ya maneno Kati ya wife wangu na Yule mchepuko wangu. Kibaya zaidi Ni kwamba mchepuko alkua akimwambia maneno ya kukera,matusi na kujinadi anapendwa Kias kwamba ilikua inamuumiza Sana wife. Kiukweli, nilijikuta nakua mdogo Kama piritoni.

Eti Anamuambia Hadi mbinu zote nlzokua natumia kumuaga wife ili nikale nae tunda. Anamtajia siku Hadi tarehe. Na Kuna picha flani hivi za chumbani tuliwahi piga wote, nyingine tulipiga Zanzibar vacation. Zote akafowadi kwa wife.

Kibaya Zaid kuna hotel Moja ndogo iko Arusha (MERCURY) tuliwai enda kula tunda pale Kwny mizunguko yangu ya kikazi na picha kadhaa tukapiga pale. Eti nazo kamforwadia na kamwandikia kua iyo ni nyumba yake nmeshamnunulia. Yeye wife aendelee kukaa kwenye ilo banda la kuku, yeye anaenjoi kwnyw bangaloo lake.

Aisee Ni mengi Sana alumtumia wife, ila kiukweli yote yanaumiza sana. Wife akaninyanga sim yake na kuendelea kulia kwa uchungu.
Ikabidi nimpoze wife kua ayo anayojinadi kwny chats HAMNA la ukweli hapo na iyo Ni hoteli, Japokua haiondoi ukweli kua nilichepuka na anisamehe kwa ilo.

Aisee, usiku ule niliguafilika Sana khs Yule mchepuko alichokifanya. Alfajiri na mapema nikamfata nyumbani kwake.

Nkamwambia
"KUANZIA LEO MIMI NA WEWE BHASI, HUWEZ KUMTUKANA wife NA KUTAJA SIRI ZETU KWA WIFE ili aumie. Hufai kua na Mimi Tena kwny mahusiano"

Basi baada ya hapo, zikapita wiki 2 bila mawasiliano na Yule mchepuko (japokua alkua anapiga sn sim nazikata na smsm sijibu) amani ikarejea kabisa home. Gafla siku moja nikaitwa baa na rafk angu mmoja TUTAHESHIMIANA Sana kwny bar flan apa mjini. Kufika nkawakuta rafiki zangu wengine watatu pamoja na Yule binti.

Mwanzoni nlitaka Nirudi Ila nkaona ntakua nmefanya utoto, huwez jua wameniitia Nini. Kufika zikaanza stori za kumuombea msamaha Yule mchepuko. Kiukweli Nlikasirika Sana ikabidi niwaaambie TU alichokifanya Yule binti. Na wote wakaafiki mchepuko kazingua na aombe msamaha. Akaomba Sana msamaha, ila nkampa sharti moja TU.

SITAKI TENA KUSKIA AMEJIBIZANA NA WIFE, haijalishi wife amemuanza au lah. Ikiwezekana ablock kabisa No ake, au abadili line asimpate kabisa. Mchepuko akakubali yote Ayo. Na rafiki zangu tukagonga bia Kama kawaida, nkambeba mchepuko kumrudisha nyumban kwake. Kufika kwake, akang'aniza Nile tunda maana Ni siku nyingi kanimis. Bila hiyana, tukalimega nkajimwagia maji na kurudi home.

Siku tatu baadae, ilkua j.pili asbh bado nmelala wife anakusanya nguo ili akafue. Ghafla naamshwa "Baba G Kuna mzigo wako huu apa nmeukuta kwny suruari yako hii" Kuangalia, duh! BIKINI YA PINKI hii apa. Nliishiwa na Nguvu ghafla, nkajitetea kua labda ilkua ya kipindi kile nlichokua na mahusiano na Yule binti. Akakataa kabisa, akasema siku tatu zilizopita anakumbuka amenyoosha hii suruari na nmevaa nmeenda nayo kazini.

Ilo nnalosema sio kweli, inawezekana Kuna mwanamke nmekutana nae uko au huenda nmerudiana na Yule mwanamke. Nkabisha kata kata, basi likaisha juu juu siku ile.

Jumatatu yake Niko kazini, Wife anpg simu niangalie sms Kuna kitua amenitumia. Kufungua sms. Nakuta kaniforwadia screen shot ya chat zake na Yule mchepuko.

Mchepuko anakili kua usiku ule alikua na Mimi. Yeye (wife) hapendwi ni Bora TU atafute mwanaume mwingine au Kama yamemshinda arudi TU kwao maana moyo wangu umekufa na umeoza juu yake yeye mchepuko. Kwake siruki Wala sikoromi amenishika ipasavyo.

Aisee, moyo uliniuma mno ila nkasema ngoja nkifika home nikajiridhishe isije nikafanya maamuz kumbe Ni Photoshop imehusika.

Nkamjibu TU wife shortly "Ntalishughulikia nkifika nyumbani" Usiku Nlipofika TU home, break yakwanza kwny simu ya wife nikajiridhishe. Aisee Ni kweli wamejibiza na ile Ni NAMBA ya mchepuko. Usiku ule nililala na jazba mwili mzima nkingojea kukuche nkamzibue makofi mpumbavu Yule.

Alfajiri na mapema, nkaongoza had nyumban kwa mchepuko. Nkamuuliza "ndo umefanya Nini Sasa, na tulikubaliana Nini" Akasema
"Sasa mi ningefanyaje, si ameyataka mwenyewe" "Mahusiano yenyewe siyaelewi elewi, mwaka sasa kila sku unanificha ficha UTANITAMBULISHA LINI" "Umeshindwa kunitambulisha,Sasa nmejitambulisha mwenyewe. Akubali akatae mi ndo bi mdogo.
Anatakiwa alijue ilo na aniheshimu alimwaga mboga namwaga ugali"

Nkamuuliza "hivi unaakili nzuri wewe? au umelewa?" Akajibu, "Sijalewa nna akili zangu nzuri TU, labda wewe nikuulize ilo swali maana unachokificha akipo rafiki zako kibao wananijua, unahofia Nini mkeo akinijua Sasa"

Akamalizia na bonge la kicheko "ha ha ha ha...ndo nshaongea ivo, baba G upoo?" Aisee hasira zilinioanda ghafla nkamuwasha makofi mawili ya haraka haraka. Akainuka akaanza kurusha matusi, akavuta suruari yangu chini ya mfuko na kuichana. Nikamfata nkamuongezea jingine la Nguvu zaidi mpaka alama za viganja zikaonekana.

Nkaona watu wameanza kusogea kuamulia. Ikabidi niondoke eneo like haraka Sana nsije jaza watu. Nkaenda zangu moja kwa moja mpk home,

Wife kuniona "vipi tena Mbona ivyo jasho na nguo zimechanika" Nkamjibu TU "Kuna mpumbavu mmoja uko nmemfundisha adabu"
Kesho yake alfajir at sijapiga mswaki naskia hodi kubwa. Kufungua maaskari hao. Nkawekwa kwnyw pikipiki yao Hadi kituoni, wife nae akafata nyuma.

Kufika nkakuta mchepuko kafugua kesi nimempiga,nmemdhalilisha, nmemjeruhi na nimemuibia Ela LAKI tano. Maaskali wakataka waniweke ndani, Wife akawaambia "mwanamke muongo uyo Malaya mkubwa..."

Nkamkatisha wife, Nkawaaambia maaskali, "Kwaiyo yeye alkua anatakaje?" Askali akajibu, "Bila shaka unatakiwa ulipe KWANZA izo Ela ulizomnyang'anya afu Mambo mengine ya kisheria yafate mkondo. Vinginevyo MUENDE mahakamani"

Sijakaa sawa, wale rafki zangu walotusuluisha kipind kile na mchepuko wakatokea. Wakamwita Yule Askali nje, Kisha wakamwita Yule binti nje. Baadae Yule Askali karudi akanifata na kunambia inuka uende mkayamalize nyumbani. Kufika nje, namuona yule MCHEPUKO Yuko na wale jamaa zangu.

Wananiita nkaona siwez sogea pale naweza pasua mtu Tena. Nkapanda kwa wife tunaenda nyumbani. Kufika TU nyumbani nkaona wife kafurahi kweli ananisifia. Eti "Sijawai jua mme wangu wanapenda hivi" "Umenifurahusha Sana leo mme wangu, umemkomesha Malaya Yule kivuruge wa ndoa za watu"

"Umemchapa kichapo Cha haja sura haitamaniki" "Asante Sana mme wangu, kwa kusimama kiume kuitetea ndoa yako" Nkamwambia
"Kabla ya yote nisamehe Sana mke wanting, niliteleza pale" Akjibu "Usiwe na wasi nishakusamehe mme wangu, na Leo nna zawadi yako. Unikune mpk kukuche baba G"

Aisee nilifarijika Sana moyoni. Ila nashkuru mungu kumuepuka Yule mchepuko, maana alikokua anaelekea Ni kuniharibia familia yangu.

Niliapa kanisan kumpenda na kumlinga mke WANGU kwenye shida na Raha. Na naongea hivi nikimaanisha kutokana moyoni.

Ila Kiukweli MKE WANGU NAMPENDA SANA Tena , sema tu MICHEPUKO sitoacha maana kinachonipeleka kule sio upendo Bali Ni hulka TU ya kiume tulioumbiwa na mungu kubadilisha ladha tunapopata wasaa kimya kimya bila kuathiri mustakabali mzima wa familia.

sema TU pale niliteleza, mchepuko Yule nilibug KABISA alkua kichw maji.

****ALAMSIK
Aisee, lakini unachepuka vipi na mwanamke Ambaye mnaishi mtaa mmoja!? Ama Kweli za mwizi 40.
 
HII MISHE NIMEIMALIZA WEEKEND HII

Hawa viumbe bhana...huwa hawaelewi wanataka nn..wikiendi iliyoisha nimetoka kumla Workmate mwenzangu(ana bwana ake na wako serious nae)kiutani utani tu kisa USAFI

Mwaka jana mwezi wa 11 niliagiza kausafiri KAPYA ka kunisaidia mizunguko ya town na kuja kazini ktk mkoa huu niliopo(Niliuza kausafiri ka zamani nikaongezea hela)

Sasa miezi kama mitatu iliyopita hapa kazini akahamishiwa dada mmoja ana uzuri wa wastani ila umbo mashallah ila tupo department tofauti..hivyo kuonana mm na yeye ni mara chache sana..huwa tunaonana wkt wa kunywa chai na lunch ndo tunapeana salamu za hapa na pale

Sasa wiki iliyoisha j4 kuna semina iliyokuwa inafanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ambapo ni umbali wa kilometa kama 3 au 4 kutoka Ofisi zetu zilipo..yeye ana gari yake(ist)

Sasa nimeingia kwenye gari nataka kuondoka naona ananisimamisha then akanambia twende wote, anataka apande gari langu kwani hajawahi kulipanda hata siku moja(kagari kangu ni brand ya ulaya na hapa ofisini hakuna mtu yeyote mwenye gari brand ya ulaya zaidi yangu)

Nikamfungulia mlango akaingia..ile kuingia tu akasema aisee simba mteme mbona gari yako ni safi sana kuliko hata gari yangu..akasifia pale mara oooh,gari za wanaume wengi huwa zipo hovyo ndan lkn ya kwangu ni tofauti,inaonekana mm ni msafi sana..nikamwambia najitahidi kidogo kidogo

Alipokosea ni aliposema kuwa inaonekana hata nyumbani kwangu ni MSAFI sana,ana wish hata bwana ake angekuwa kama mm...mm nikajiongeza,nikamwambia karibu nyumbani kwangu weekend upaone...akapotezea mada,tukaishia hapo

Tumefika kwenye semina,imeisha tukarudi nae..ndani ya gari tuliongea stori nyingne tofauti kabisa..tukaishia hapo..na mm nilipotezea kbsa wala sikuhangaika KUKAZIA Mada ya yeye kuja kwangu

Sasa Jumamosi nimechill zangu tu mishale kama ya sa 6 mchana,nashangaa namba mpya..kupokea ni yeye..ananiulizia kwangu ni wapi anataka aje(namba yangu aliiomba kwa mfanyakazi mwenzangu tunaefanya nae kazi department 1)

Nikamuelekeza,saa 8 na dk kadhaa huyu hapa kafika...nikamkaribisha..kama kawaida yake akaanza kusifia pale Usafi na kila kitu na sifa sifa kibao ambazo hazina kichwa wala miguu

Nikaona hapa nikimwacha huyu ataniona boya...nikamfata kwenye kochi nikamshika mkono kama kumuinua flani hvi..nikamwambia "njoo unipe maksi na chumbani kwangu"...akawa anasita sita lkn kwa vile nilikuwa nimemshika mkono ikabidi tu akubali

Kufika ghetto nikamfungulia kabati then nikageuka fasta na kukaa nyuma yake nikawa kama namkumbatia flani kwa nyuma then nikamnon'goneza kwenye sikio lake"nipe maksi basi mtoto mzuri"...ile sauti nadhan ilimsisimua flani akawa kama anajikunyata flani na mm sikuchelewa,nikaanza kucheza nae shingoni..hapo nikaona dada wa watu maskini nguvu zinaanza kumuisha,uvumilivu ukamshinda ikabdi ageuke tu anipe lips zake...

Kifupi tulibutuana mpk sa 11 jioni hata kupika hakupika...baada ya kuoga akaingia kwenye gari lake na kuamsha..kufika kwake akaniandikia bonge la meseji kuwa "it was a mistake na asingependa hii hali iendelee kwani ana bwana ake na wako serious"...mm sikujibu chochote

Jana j3 hatukuonana kbsa(nadhan alinikwepa)...leo tukakutana asubuhi sehemu ya parking hata salamu sikumpa)..nashangaa ananiandikia meseji ya kunialumu eti nimemchunia makusudi hakupenda..sasa najiuliza huyu vipi,si alisema hapendi kilichotokea kwani ana bwana ake!!!

Hawa viumbe hawa...mi namwangalia tu!!!
Anataka kuondoa dhana kwamba umemla kirahisi. Nikama amejishtukia, huyo utaendelea kupiga ila anafanya drama ili usiomwone mrahisi.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Alafu kuna ng',ombe utaisikia inasema olewa uepuke stress na magonjwa
(Bonge la mtusi)
Huoni kama Mke kapata Heshima na Stara hapo! au kama ni wewe ungependa kuwa kwenye hiyo Nafasi ya Mchepuko!
..... ..... ..... ..... ..... ..... ..... .... ...... ......
I Love You My Wife M
 
Mengi nimefupisha,
Uyu uyu mchepuko nliemzaba makofi Kuna kipind aliwahi fua nguo nlizokuja nimevaa ili nisirudi home.

Anadai
"Nmeziona chafu nmeona nizisafishe"

Nkamuuliza,
"Kwaiyo umezifua unategemea ntavaa Nini sasa nkitoka hapa"

Akajibu
"Ooh, kwani unaondoka? Mi nkajua Leo unalala uku mpk kesho!"

Nkamuuliza,
"Kwani nlikwambia leo nalala uku? ,
Kwani ujui natakiwa kurud home kwa wife. Narudije sasa, uchi au?"

Nkaona ananiletea usiku TU uyu, analazimisha nilale kwake.

Fasta nkampigia wife
"Chukua ovaroli,gloves, praizi mbili, kata moja, Lile jinzi gumu gumu na TISHETI YA KAZI. Kuna dili moja nimepata mida hii mpe boda boda aniletee hapa kazini chap"

Boda alipofika kazin ananipigia hanioni, nkamuelekeza ampe mshkaji wangu nishamseti tayari aniletee chap kule kwa mchepuko.

Nkatoka kwa mchepuko, nkaenda zangu kwa rafki angu.

Kufika kwa rafk angu, nkampigia wife msosi muesabu na shemej ako kabisa maana tutarudi mida mibaya na migahawa washafunga. So unajua shemej ako uyu Ni bachela. Msitili kwa leo.

Wife kakubali.

Tumezuga zuga mpk mida ya saa 8 usiku, tukajipaka vumbi kias na top kwny viatu tukaelekea home kana kwamba tumetoka saiti.

NIKAJINASUA KWNY MSALA, MAMBO YAKAENDA VIZUR

Sent using Jamii Forums mobile app
daah chief mlitisha.
 
KAZI IENDELEE PART II
(THE GIRL NEXT DOOR)

Enyi kizazi cha nyoka, wafuasi wa ibilisi na vijukuu vya Farao, nawasalimu kwa jina la kula tunda kimasihara. Mkuu Son of Gamba, kwema? Najua unasoma hapa, unadinda ukiwa wapi? Stop pretending to be holier than the pope himself. Kwakua umekuja Pemba, basi utaishi kama wapemba.

Turudi kwenye mada. Last time niliwasimulia nilivyokula kimasihara tunda la binti mwenye nyumba niliyopanga enzi hizo nikiwa chuo. Baada ya hiyo siku ya tukio, tulipiga mechi kadhaa za marudiano, ila kabinti kakawa kanataka mahusiano serious wakati mimi nilikua napita tu. I was just a f@ck boy by then, nikawa nakapotezea. Malalamiko yalikua mengi, ila hayakufua dafu, i had a bigger fish to fry. Nikawa nakashtua nikiwa na nyege tu, kanakuja najipigia. Nothing more, nothing less!

Siku hiyo natoka gheto mida ya jioni, kwenye uchochoro wa kuelekea public toilet, nakutana uso kwa uso na pisi moja yenye ukali wa wastani ikiwa inaelekea chooni. Kwakua njia ni ndogo, wote tukajikuta tumesimama kila mmoja akimtegea mwenzake apite kwanza. Kwa hizo sekunde kadhaa tulizosimama, nikamscan huyu binti kwa kasi ya 5g. Alikua amevaa kigauni kifupi kinoma, kaenda hewani kiasi na tako la wastani. Baada ya kujishauri, black beauty akapita kuelekea chooni, mimi nikaendelea na hamsini zangu.

Curiousity killed a cat mazee. Nilivyorudi gheto nikawaulizia washkaji kuhusu hiyo pisi. Nikaambiwa ni mpangaji mpya, ni mwanachuo pia yuko mwaka wa tatu. Nikakumbuka bado binti mwenye nyumba yuko kwenye reli (she assumed so) na kila mtu anajua namkaza, kwahiyo itakua ngumu mimi kuidaka hii pisi. Nikasema basi, acha washkaji wakamate. Siku zikaendelea, nikawa sina shobo kabisa na huyu mpangaji mpya. Ni mwendo wa salamu tu, then napotea. Sikujua kama shetani alikua yuko bize anachora ramani ya kunipa hili tunda kimasihara. Wazungu wanasema never say never!

Washkaji zangu walizoeana sana na huyu mpangaji mpya. Kuna mmoja walifikia hadi hatua ya kuangalia porn pamoja kwenye simu wakiwa nje hapo. Story za kipuuzi ndio usiseme. Ikabidi niwahoji, wanangu mnakwama wapi kumla huyu mtoto? Mnapewa penalty, mnataka kupiga chenga maniner zenu, mbona anaonyesha kabisa anataka mtu ampelekee moto? Sikupata jibu la maana ndugu walimwengu. Kusema kweli mimi mademu wa aina hii huwa hawachukui raundi mazee. I dribble past them like Leonel Messi. Sasa bahati mbaya, washkaji zangu wakawa level za Haruna Moshi "boban", kupiga chenga hawawezi, na penalty wanapaisha dadeki zao. Nikajisemea tu, ipo siku!

Siku ya tukio, nimetoka zangu chuo mida ya jioni, nikaikuta hiyo pisi imekaa nje peke yake. Nikamsalimia kama kawaida, then nikamuuliza kwanini amekaa peke yake. Hata sikumbuki alinijibu nini mama amina zangu, nilikua na ugwadu kinoma siku hiyo. Akili ilikua inawaza kufanya matusi tu, ila nakumbuka nilimuahidi kua nabadili nguo then nakuja kupiga nae story. Nilivyoingia gheto nikapitiwa na usingizi dadek. Nikaja kuamshwa na mshkaji giza lishaingia. Akaniambia jirani anakusubiri nje, anasema mbona umemuongopea? Ikabidi nitoke nje, namkuta kweli bado yupo. Nikajisemea kimoyomoyo, "mimi nina nyege, ila jirani anazo nyingi zaidi"

Basi tukapiga story zisizo na kichwa wala miguu mpaka mida ya saa mbili. Akaniaga kwamba anaenda kumalizia kutype research yake. Nikamtania kua asifunge mlango, nitakuja kulala kwake, akasema poa. Najua alikua anatania pia, ila kwa mtaalam wa mipira iliyokufa, hili likawa kosa hahaaaa. Nikamwambia nipe namba yako, nitakushtua nikimaliza kupitia pitia (nilikua na test kesho yake). Akanipa then akasepa. Nikaingia gheto, nikawakuta washkaji wote wapo. Nikawaomba wanisikikize, then nikatoa tangazo, "leo jirani anakazwa". Wale wapumbavu wenye viwango vya Juma Nyoso wakaitikia kwa pamoja, "huweziiiiiiiiiiiiii". Nikawaambia napiga msuli, saa sita kamili naenda kwa jirani. Watu wakasema hata usijali, saa sita tutakushtua sisi wenyewe hahaaa!

Nakumbuka siku hiyo nilisoma page moja masaa mawili mazafanta. Yani kila nikiangalia michoro ya bending moment, naona kama ni watu wanapigana miti asee (nyege mbaya mazee). Mara saa sita hii hapa, alarm kama tatu zikaita kwa pamoja. Washkaji wanajiongelesha tu, "usiku wa deni haukawii kukucha". Nikatoa simu then nikawaambia, WATCH and LEARN ***** zenu. Nikampigia jirani, nikamuuliza umeshalala? Akajibu bado. Nikamwambia fungua mlango nakuja, akasema mlango uko wazi hahaa. Nikaamka kwa mbwembwe kama Mwigulu Nchemba alivyoingia kuwasilisha bajeti. Nilikua nimevaa pensi na t shirt tu, nikaelekea chumba cha jirani, huku nyuma washkaji wanaguna tu kama sabufa za kichina, hawaamini kinachoenda kutokea maniner zao!

Kufika kwa jirani, nakuta mlango umeegeshwa tu. Nikazama bila hata kupiga hodi (nilihofia wale wabinti wenye nyumba watanisikia). Kufika ndani, namkuta binti kakaa kitandani amepakata laptop. Alikua amevaa kibukta tu na t-shirt, mapaja yote hadharani. Nikakaa kwenye kasofa kadogo pembeni ya kitanda (huku tayari nimedinda kisirisiri) nikawa nachezea simu. Nikamuongelesha maneno mawili matatu, nikamuuliza anamaliza saa ngapi kutype, akasema bado kidogo. Nikamwambia basi poa, mimi nina usingizi, shuka langu liko wapi nilale? Binti anashangaaa, akaniuliza hivi ulikua serious unalala humu kwangu? Nikamjibu, "as serious as a heart attack".

Wakati namjibu hivyo, nilikua navua T shirt, nikabaki na vest na pensi. Then nikapanda kitandani upande wa pili nikiwa hata simuamgalii, nikajilaza hahaaa. Mwanangu mmoja anasemaga, wanawake wana mitego, ila wanaume tuna mbinu! Nikawa namuangalia kwa kuibia nikiwa nimejilaza pale kitandani. Naona binti hata kutype kashindwa. Baada ya dakika kama tano hivi, akafunika laptop, akaiweka pembeni. Akaamka, akaenda mlangoni then akaniambia "mi nafunga mlango", wala sikumjibu. Alivyoona kimya, akafunga then akazima taa na akapanda kutandani!

Mpaka kufikia hapo ndugu wafuska wenzangu, nikawa nimeingia fainali, huku shetani kitengo cha uzinzi akiwa ndie man of the match. Kazi ikawa imebaki kwangu sasa kupambania kombe. Nikamwambia shetani, tulia uone ninavyopiga Rabona kama Ricardo Quaresma, bicycle kicks kama Zlatan Ibrahimovich, na "Coup du sumbrelo" kama Jay jay Okocha. Shetani akatikisa kichwa akisema "this bastard is creative, i didn't invent this kind of sin".

Alivyo panda kitandani akatulia, nikamgeukia sasa. Tukaangaliana, nikashika kiuno akaguna. Nikapandisha mkono kifuani akautoa. Nikampandia kwa juu, nikaanza kumshika shika carelessly, akawa ananitoa. Eti ananiuliza unataka kufanya nini? Kama kawaida yangu, huwa sijibu maswali ya kijinga. Na kwenye kikao cha mabaharia, tulikubaliana hilo swali halina jibu. Nikaendelea kumsachi (ndio kupapasa dadek zenu), then nikaanza kuivua bukta yake. Akawa anaresist, kukawa na purukushani then ikawa kama ananikaba hivi. Nikaacha, then nikamuangalia usoni. Nikamwambia unafanya fujo mpaka majirani wanasikia kelele za kitanda, tulia basi (kilikua kinapiga kelele kweli). You want it and I want it too, let's have fun. Sijui ilikuwaje, ila this time nilivyomshika hakugoma.

Nikatoa tshirt yake, then nilipofika kwenye bra, nikashindwa kuitoa (nitawapa sababu siku nyingine). Nikaitoa bukta yake, then akanisaidia kuitoa bra. Nikavua vest na pensi, nikabaki na boxer. Nikamla mate lita kadhaa, lamba sana shingoni. Mtoto anajinyonganyonga tu kama nyoka. Nikanyonya matiti, she had a nice rack na ndipo password yake ilipokua. Nikaendelea kunyonya huku nashuka chini, mara kiunoni, mara kitovuni. Meanwhile, mkono mmoja ulikua unapima oil. Mara niweke vidole kama bastola, mara nivichezeshe kama mpiga kinanda wa Msondo hahaaa. Binti wa watu hoi! (dinda at your own risk)

Baada ya kumuweka binti sawa, nikaingia kwa ile style ya Gwajiboy. Nikala mbususu mazee, sugua sana. Binti anatoa tu macho kama yule profesa wa jalalani. Tulipiga show mpaka mida ya saa kumi na moja alfajiri (sio mfululizo). Nikanyata kwenda gheto kwangu. Nikakuta wale akina Juma Nyoso wamelala kifalafala tu. Hata sikulala, maana nilikua na test saa moja na nusu. Nikazugazuga hapo gheto, kukakucha na maisha yakaendelea. Ukawa ndio mtindo wangu, ikifika saa sita, nanyata kwenda kula tunda kwa jirani.

Wahenga walisema dunia haina siri bana. Binti mwenye nyumba akapata taarifa za kiintelijensia kwamba siku hizi nalala kwa jirani. Mazee, hali ilikua tafrani, mpaka nikawa naishi kama digidigi. Anyway, hiyo ni story nyingine. Now f@ck you all, and have a nice day!
 
Mshamba ww umetisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom