Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Attachments

  • Screenshot_20210624-235731.jpg
    Screenshot_20210624-235731.jpg
    26.2 KB · Views: 96
Mada ni kula tunda kimasikhara alafu ww unatuletea mbwela zako za maukimwi huko utafikiri unaujua hata huo ukimwi. Na unajiona mjanja kwamba huwezi upata. Subili mkeo apate mimba atakuletea majibu.

Kifupi tusitishane na mambo ya ukimwi tutembelee mle mle kwenye masikhara ya mbususu kama vp fungua uzi wako wa njinsi ulivoepa ukimwi.
Hahahaaah mkuu mbona umekuwa mkali sana.
 
Mbna hilo la kwa mpalange ndo habari ya mjini kwa sasa, wasanii wanasujudia wazi wazi ktk tungo zao, hapa JF ndo mada pendwa, huoni au unafiki unakusumbuaa? Msieeeew
Sijawahi kufika kwa mpalange, nahisi inasinyaa ikigusa mbolea
 
Dahhh, manina sana, sheitwani kitengo cha ngono naona hapa kwenye oprass anaongoza kwa point, hivyo kwa mamlaka niliyokasimishwa nina amuru apande daraja na alipwe stahiki zake zote kwa maslai mapana ya taasisi na ustawi wa wafanyakazi kwa ujumla, changudoa mmoja wewe
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom