Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,181
Humu wanawake wazuri wa sura na shape ni wa kuwahesabu mkuu, wengi wana sura za baba zao.I wish hao wanaojifanya kuleta ligi hapo juu watume picha zao, naapa kwa Mungu tutajuta kwa nn tumetumia nguvu kubwa hivi kubishan na mtu sura zaidi babu yake wa miaka 107.
Classic ladies aka pisi hazina pozi za kujimwambafai hivo