syllae
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,793
- 1,926
kwanini wanawake kuolewa mnaona kam bahati,,???Yes. Kwanza mke wa mtu anayejielewa na kujiheshim anagawaje? Ni malaya kwangu nawachukulia. Mke wa mtu umeingia kwenye maagano ya ndoa kwann ukagawe ovyo? Hapo ni unamtusi mumeo hajiwezi. Mungu aniepushie na hii kadhia. Ndo mwanzo wa kusambaziana mikosi na nuksi kuokota okota ovyo. Wengine wameolewa tuu bahati iliwaangukia ila tabja mbovu. Wengine wameolewa tu ili wasionekane wametia aibh kwao kutokuolewa. Wengine ndo kufata mali, wengine ugumu wa maisha. Kwahiyo wengine ni matambara tu asitubabaishe.
nadhan hii kitu ya kuona ni bahati ndo inafanya mpate tabu pindi msipopata mtu wa kuwaoa kwa wakati mnaouona ndo bahati.