Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
OkeeeTutaongea kule.
Ila nimeishia kusikitika sana aisee...halafu humu namo wanakujaza upepo fundi wao





Aisee





Sent using Jamii Forums mobile app
OkeeeTutaongea kule.










Dada umeolewa?Eeh. Ya kila mtu italiwa aisee. Si bora wale sisimizi
NakufananishaOkeee
Ila nimeishia kusikitika sana aisee...halafu humu namo wanakujaza upepo fundi wao
Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Teeeh, mtakatifu bwana. Hivi ujuwe baada ya Suleiman kula utamu ndio akagundua kuwa kumbe ulikuwa upepo, lakini alikula kwanza.
Sema tu mimi sina bahati ya kukubalika, otherwise ningetembeza bakora kama wengine tu.



Kwahiyo watu mnatafuta kuwa Matomaso,kwamba Suleiman alisema ni ubatili lakini hamumuamini ,hadi nyie wenyewe mjaribu mjionee!
Kuna mambo si ya kujaribu,
Hii jaribu jaribu ndiyo iliyowagharimu Adam na Eve wakasababisha ulimwengu mzima tubebe adhabu.
Kumbuka hata nyie mkijaribu Mungu anasema anawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi Cha tatu na Cha nne.
Unaweza usipate madhara wewe Leo lakini mtoto wa kitukuu chako akaja kuhangaika Kwa sababu yako .
Sent using Jamii Forums mobile app


niache bwana!


Na Mwalimu mmoja hapa Mwanza Ilemela.
niache bwana!
Duniani hatuishi milele, na kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe. Kama napatilizwa maovu ya wazazi wangu, ngoja namimi niwabebeshe wajukuu zangu maovu yangu...au unasemaje
By the way, kwanini hii habari tuzungumzie hapa? Ujuwe hiki ni kiwanda, wacha vijana wafurahie uumbaji eti!!




Oh basi umefananisha vibaya Chief.Na Mwalimu mmoja hapa Mwanza Ilemela.
Ok,, duniani wawiliwawili.Oh basi umefananisha vibaya Chief.
Mimi siyo mwalimu na hata huko Mwanza sijawahi kufika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia mabaharia wasipite na wewe kimasihara kwenye huu uzi.Uzi wa wazinzi.
Nawakumbusha tu!
Hayo yote ni ubatili na kujilisha upepo.
Siyo maneno yangu,ni maneno ya Suleiman.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sijazwi , kila kitu nakifanya kwa utimamu wangu tu .Okeee
Ila nimeishia kusikitika sana aisee...halafu humu namo wanakujaza upepo fundi wao
Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Anne kwani wewe hujawahi kupata utamu? Manake kwa kauli zako hizi huenda huelewi hata tunajadili nini
Unajua duniani hatuishi milele Ni kweli.
Na Mungu hajazuia watu wasipate raha.
Mungu ameweka kanuni na misingi yake ya kuifwata ili watu wapate hizo raha.
Shida ni kwamba watu hawataki kufwata hizo kanuni,matokeo yake wamejiwekea njia zao wanazozijua wao.
Ukisema ufanye ili watoto wako wakapatilizwe baadaye kwa sababu tu na wewe ulipatilizwa ya wazazi wako hiyo ni dhambi.
Usilipe ubaya kwa ubaya bali ushinde ubaya kwa wema..Ni maneno ya Mungu,siyo yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app




Asante boss, weekend njema kwako pia.Ok,, duniani wawiliwawili.
Uwe na weekend njema.
Aiseee basi vizuriHapana sijazwi , kila kitu nakifanya kwa utimamu wangu tu .


Anne kwani wewe hujawahi kupata utamu? Manake kwa kauli zako hizi huenda huelewi hata tunajadili nini![]()





Nimekielewa sana ulichoandika. Vipi nijibu sasa, hivi ushawahi kupewa utamu Anne?

