cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,296
Ndio maana nikachagua kukupuuza mkuu... Huwajui wanawake , na sijui km umewah kua na mwanamke au wee ni mwanamje sijui.
Hahaha anayewajua wanawake atanielewa
Hujawah kuambiwa Tuma na yakutolea????
Pesa ya mwanamke niyake yeye.
Ndio maana anakuletea mzigo kwa hela yako, unapiga.nabado unamoa hela
Ni Nature ndivo ilivyo
Ukianza kudate nao, utakuja kuniambia.



hebu relaaaax kwani Dr, usichukulie seriouz sana, naona unatoka kwenye tunachojadili unakuja kunizungumzia mie, Endelea kuenjoy, maisha mafupi haya.





Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
za kimasikhara hizo, wengine tusafishe macho. Lol
, nikiangalia sasa muenendo wake hakna maajabu yeyote,