Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,124
Hii nchi haiongozwi na taratibu za KikweteMbona JK kikwete alikuwa na walinzi wa Dada na walikuwa hawavai hijabu?
Hii nchi haiongozwi na taratibu za KikweteMbona JK kikwete alikuwa na walinzi wa Dada na walikuwa hawavai hijabu?
Anzisha mada za hayo mambo mazito basi..nashauri tujadili mambo mengine mazito zaidi...........suala hili la ulinzi limeshasemwa kuwa si jukumu la raisi kupanga! isitoshe, kwangu mimi, si sifa raisi kuwa na ulinzi legelege; hakuna kiongozi mkuu anaekosa maadui abadan!!!!
Taaluma gani hizo?Taaluma flani zinayo maadili yake.
Exactly!Counter Assault Team huwa wapo...haijalishi kama wamevaa combat au wapo visible ili kila mtu awaone....ila huwa wapo. Rais wa Nchi sio Rais wa Wasafi...
Utaelewa badae.Ni mmoja tuu. Mpaka sasa hatujaona Ulinzi kama wa Magufuli
Watumiaji wa barabara nao wahangaike na misafara yao?Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani![]()
Mgambo.Taaluma gani hizo?
Hata Thomas Sankara alipuuza ulinzi akijua yupo na wanachi.Ni mmoja tuu. Mpaka sasa hatujaona Ulinzi kama wa Magufuli
Msibani watu walikuwa wanalia arudishe bilioni 60.Ulinzi wa JPM uliimarika baada ya kuanza kuwatia adabu majizi. Kumbuka siku moja tu baada ya kuapishwa alitembea kwa miguu toka Ikulu Magogoni mpaka wizara ya fedha.
Ni suala la muda tu.
Dah, Asante sana Mkuu, ujue Leo toka pakuche sijacheka kiasi hiki.. Me mwenyewe nimenunua vi'GB vitatu kwa elfu 10 kila nikifungua video roho inaniuma hatari.Msiwe mnaweka video ndefu kwani mambo ya Ndugulile ni kikwazo kizito
Ungesema Nyani Ngabu hates mama, may be it could sound easier and better..Uyu mama aongezewe ulinzi,sina imani kabisa na wasukuma, siunaona uyu msukuma tayari ameshaanza kuhoji ulinzi wa rais wetu, ana jambo uyu na kundi lake
Mimi namchukia Samia?Ungesema Nyani Ngabu hates mama, may be it could sound easier and better..
Lakini kuwaweka wasukuma wote kapu moja kama haters wa Mama and lovers wa Mwendazake, it's totally wrong...
Millions of sukuma didn't like Jiwe. They hated him more than empty words can describe. He destroyed the lives of many of them..
Mimi niko Mwanza usukumani, I know what I am saying...
SAWA.Ulinzi wake si jukumu lake kupanga hakuna Rais yeyote anaelindwa na manati hata Papa analindwa na Bunduki itakuwa huyu anaetaka kutuamisha yeye ni bora na simple kuliko aliyepita?
sikumaanisha hivyo kiongozi!!!!!!🙏🙏🙏Anzisha mada za hayo mambo mazito basi
Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa.
Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi.
Hao huitwa Counter Assault Team. Hao ndo wapiganaji ikitokea Rais anashambuliwa kwa silaha. Wale wanaovaa suti kazi yao si kupigana na adui. Kazi yao ni kuhakikisha rais yuko salama kwa kumkinga [taking the bullet for the president] au kumuondosha kwenye eneo lenye hatari.
Leo Rais Samia katua kwenye uwanja wa ndege Dar.
Chini naweka video. Lakini kabla yake, naweka screenshots za video zinazoonyesha hao watu wa counter assault walikuwepo na mabunduki yao.
Kuna watu walishaanza kusema eti Rais Samia hana walinzi kama hao kama ilivyokuwa kwa Magufuli.
Pia, Rais huwa hajipangii ulinzi wale mwenyewe. Ulinzi wake hupangwa na wataalamu kulingana na vigezo vingi ikiwemo eneo alipo, hali ya usalama wa eneo kwa ujumla, na mambo mengineyo.
Ona huyu na huo mbunduki wake:
View attachment 1742313
View attachment 1742314
Huyu pia ni mwingine akiwa pembezoni kidogo.
View attachment 1742316
Video hii hapa;
Ulijuaje ni JWTZ? Unafanya nao kazi?Kwa Magu walikuwa soldiers kabisa wa jwtz
Huyu ni tiss wale wa pale magogoni