Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,330
- Thread starter
-
- #61
Nyumbu unafurahisha sana.Kiingereza anachoenda kuongea ni cha kusoma, na kusoma anaweza. Ww sema hutaki aongee hicho kiingereza ili kumfichia aibu Magufuli maana alikuwa hakiwezi. Asiyejua kiingereza huku kwetu kuna uchambuzi wa hicho atakachokuwa ameongea.
Unashindwa kusogea popote kwa ajili ya Kiswahili au unashindwa kusogea popote kwa sababu ya mipango duni ya serikali yako?!Kiswahili ni lugha ya kupigia Majungu na kufanyia ushirikina. Ni lugha duni isiyoweza kukusogeza kokote kwa maana, zaidi ya kuwasiliana na wanyonge a.k.a makondoo wenzako.
Tupeleke watoto shule ...tuache kujificha kichaka cha kiswahili....watoto waweze compete karne hii yenye ushindani mwingi sana
"Odhiambo Cairo" kwa kilugha chetu ni mtu mwenye mtindio wa ubongo.Mpuuzi ni wewe usiejua lugha
Upo sahihi kwa asilimia zote!!Kenya mtaaniu wanaongea Kiswahili, hata kiongozi akiwa anahutubiua wananchi naongea Kiswahili, taarifa ya habari mara nyingi pia wanasoma pia kwa Kiswahili Kikwete alipohutubia Bunge la Kenya alitumia Kiswahili
Tofauti na Uganda, waganda wengi Kiswahili hawafahamu
Nyumbu unafurahisha sana.
Maana wakenya wanakijua Kiswahili, lakini pia hadhira lengwa inawahusu na watanzania ambao nao wanakijua Kiswahili.
Hicho Kiingereza cha kusoma kwenye Karatasi ni kwa ajili ya nani haswa?
Now i know why you are stupid.nitafanya hata wizi wa mchana kweupe kuhakikisha mtoto wangu anasoma shule ya Mtaala wa kiingereza
Itoshe tu kusema kwamba, wewe ni mwezi mchanga.maana kiswahili ni kwa ajili ya ushirikina tu.
Kwa kweli Jiwe alikuwa na wafuasi wehu kabisa . Na kwa jinsi nilivyokusoma hatuhitaji kuendelea na mjadala huna hoja . Period"Odhiambo Cairo" kwa kilugha chetu ni mtu mwenye mtindio wa ubongo.
Huwa tunamuita ODHIAAMBO, yaani tukimaanisha TAAHIRA au mtu mwenye fyuzi chache.
Vyote kwa pamoja.Unashindwa kusogea popote kwa ajili ya Kiswahili au unashindwa kusogea popote kwa sababu ya mipango duni ya serikali yako?!
Kosa letu ni kuwaanzisha watoto wetu elimu ya msingi kwa lugha ya Kiswahili . Halafu tunabadika secondary watoto wakishakuwa na aibu ya kuongea broken English. Ni mpango wa ajabu sanaUpo sahihi kwa asilimia zote!!
Sema wanachonifurahisha Waganda, Kiswahili hawakijui, Kiingereza wanakijua hata kuwazidi Wakenya, lakini huwezi kuwakuta wakileta nyodo za kukijua Kiingereza!!
Itoshe kusema kwamba, wewe ni mwezi mchanga.
Yaani kwenye huu uzi lazima ukalie mti wa basha. Si umekuja kusaka mabwana kinguvu, basi hapa utawapata.Itoshe kusema kwamba, wewe ni mwezi mchanga.
Haswa - yeyote anaye jidanganya kwamba siku moja kiswahili kitachukuwa nafasi ya kiingereza hizi ni ndoto za mchana - kiingereza ni lugha ya kimataifa, lugha ya biashara huwezi kuikwepa au kuidharau - wengi wanao leta hoja za kisiasa kwa kusema eti Kingereza hakifahi ukiwachunguza kiundani ni wale ambao kiingereza kiliwapiga chenga tangu wakiwa shuleni - ndio maana wamekazania kusema eti zabibu ni mbichi kwa kuwa hawawezi kukwea mti wa mzabibu kuzivuna.Hii lugha ya kiswahili haina soko. Kwasabb ilipaswa kubeba teknolojia/maarifa ambayo ndiyo yangevutia watu kujifunza kiswahili
Hivi unafikiri Uganda ni asilimia ipi kubwa wanaojua kiswahili au kiingeleza?Tumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Who is he to you? A God?J. K. Nyerere alishasema
Wewe ni chembechembe za mwendazake zilizobakiTumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Kiingeleza ndio mdudu gani?Hivi unafikiri Uganda ni asilimia ipi kubwa wanaojua kiswahili au kiingeleza?
Pumbafu ww ni nani mpaka umpangie lugha ya kuongea rais wetu?Masalia ya Jiwe mmekua wapuuzi sanaTumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.