Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

mzee mstafuu nae achunguzww mkwwre

Anayo KINGA. Hawezi kuguswa.Halafu tusikimbilie kushutumu marais wastaafu kwa kila kitu. Watanzania sisi wenyewe kwauju wake ndio wa kulaumiwa kwa kuwakingia kifua waovu. Utakuta majambazi yako mitaani mwetu hatuyatajiuyaji eti kwa kuogopa lawama...
 
sio kwamba amekwepa kodi. hayo mkontena yamepita bandari yake bila kulipiwa kodi. maafisa wa TRA hapo kwake ndo wamecheza mchezo. yeye amesimamishwa kupokea mizigo kwa kuwa hakuisaidia serikali kukusanya kodi hapo bandari kavu kwake kama masharti yanavyoelekeza. hapo bakhresa hausiki, ila watendaji wa TRA na wale aliowaamini kuendesha ICD yake! inaonekana hayo makontena yalitoka bila ya kuwa na 'release order' kitu ambacho wangetakiwa kushtuka na kuripoti mapema ila hawakufanya hivyo na ndio maana wanaadhibiwa!
ficha upumbavu wako!
 
ongeleeni hoja dini inaingiaje hapa? Sheria na utaratibu vinasemaje.
 
Kuna siku nilionaga uzi humu uliokuwa unadodosa kuwa,kwa yeye akazidindue hii studio ya rambaramba?kumbe lilikuwa changa la macho!!
 
Ili kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
Mwisho wao umefika warudi tuu Oman

Kwa maneno haya "wagonga vichwa sakafuni ", wewe ni mtu hatari sana uliye na chuki na imani fulani.Haiwezekani kosa la mmoja likawa la wote wa imani hiyo.
 
Nchi ilikuwa haina mwenyewe...mswahili c mtu yeye alikuwa anakula bata tu..viva upinzan maana bila upinzan tungeendelea kupata serikali lege lege

wapinzani ndio wamemchagua magofuli, au
 
Bakhresa analisha karibu robo ya afrika,Ana makampuni Kama mchanga lakini katika list ya walipa kodi hayupo,kazi ni kununua magari ya luxury tu,mtoto wake anatumia mil400 kujenga barabara kwenda nyumbani kwake,ananunua gari lenye thamani ya sh mil 500 kumbe wanatuibia pesa zetu hawalipi kodi,serikali inakosa mapato na kutubana sie walala hoi kwenye paye na VAT za kununua vibiriti ,mafuta ,unga etc Wakwepa kodi wote wazilipe na fidia Juu.
KOSA LA WALIMWENGU HUWA MBAHUKUMU MTU KWA KUSIKIA STORY BILA USHAHIDI NA SIKU MKIPATA USHAHIDI HUWA NI TOO LATE..

Mnangeni sana mzee bakhresa lakini ukweli msioujua ndio unaowafanya mtoe kauli chafu mithili ya kinyesi!
-"hata wayahudi walimhukumu MASIHI kwa habari za kusadikika ila walipougundua ukweli ikawa too late....
.
.
.
.
MZEE BAKHRESA NAAMINI NI MTU SAFI SANA KWA ULIPAJI KODI NCHINI KWA KUTUMIA "MFUMO WA KAMPUNI NDOGONDOGO ALIZO NAZO NA SI as "GENERAL COMPANY"...

"NINAHOFU ANAWEZA KUHAMISHA BIASHARA ZAKE TUKAKOSA HATA YALE MABILIONI AMBAYO HUWA ANAYALIPA..maana hili jambo lilipaswa kufanyika kimya kimya na kwa weledi kwa kumuita na kumweleza kiunda ili kumpa TIME LIMIT ya ulipaji wa deni kama kweli BANDARI YAKE ILI SABABISHA WENGINE WASILIPE KODI.

**Hata marekani haya yapo ila huwa yana malizwa kiutalaam ba maofisa husika na siyo kama sisi hapa ,JAMBO DOGO UNAITA HADI WAANDISHI WA HABARI NA KULISAMBAZA KWA UMMA ILI KUJIOATIA UMAARUFU WA KIJINGA WA KISIASA!

-ALIPASWA KUPEWA HESHIMA YAKE HUYU MR.BAKHRESA"
 
duh we mama chuki tu za kidin huna lolote ngoja bakhresa aje na majibu,unadhani ni gwajima yule

Kweli kuna watu wengine wajinga sana watu wanafanyakazi mtu anafikiria udini ndugu yangu elimu ni muhimu sana kuliko ujinga wako TRA wamekiri na hata Azam wamekiri mpaka wakapeleka check ikakataliwa wamemwambia subiri utalipa pamoja na penult wewe unafikiria udini WEWE JINGA SANA
 
kwanza bakhressa anachafua bandari kwa kubeba ngano kwa kutumia vifaa duni watu wa mazingira wa bandari wanaangalia tu.
 
12billion za kodi zimepotea kwa kuruhusu containeer 54 kupita bila kulipiwa kodi.
 
Najaribu kufikiria for ten years kama mchezo ulikuwa huu jamaa kavuna kiasi gani, Jk naye bila aibu akaenda kufungua ile studio ya azam pale tabata kumbe ni jasho letu.........mbwa kweli hawa watu.

mbwa mwenyewe mwanaharamu wewe.
 
duh we mama chuki tu za kidin huna lolote ngoja bakhresa aje na majibu,unadhani ni gwajima yule

Hivi mkuu unajua kwa nini Nchi za wenzetu Merikani,Ulaya na baadhi ya NCHI za Asia zimepipa hatua kubwa kwenye masuala ya maendeleo? Jibu ni kwamba hawana mchezo na wakwepa kodi,unaweza kufanya makosa mengine ukasamehewa lakini sio ukwepaji KODI.

Marais na Mawaziri wamewahi kuondolewa madarakani kabla ya muda wao kuisha baada ya kugundulika kwamba waliwahi kukwepa kodi siku za nyuma,wanaburuzwa mahakamani na kufungwa bila simile.

Sasa unapo tumbukiza masuala ya DINI kwenye makosa ya jinai unataka tukueleweje? Hii ni vita,hatuwezi kuogopa lawama kama mtu/mfanya biashara anakihuka sheria za Nchi lazima awe exposed ili ijulikane kama ana Uzalendo wa kweli au nae ni wale wake tu. Msiwe mnaleta mambo ya udini kwenye vitu ambavyo ni so obvious kabisa.
 
sio kwamba amekwepa kodi. hayo mkontena yamepita bandari yake bila kulipiwa kodi. maafisa wa TRA hapo kwake ndo wamecheza mchezo. yeye amesimamishwa kupokea mizigo kwa kuwa hakuisaidia serikali kukusanya kodi hapo bandari kavu kwake kama masharti yanavyoelekeza. hapo bakhresa hausiki, ila watendaji wa TRA na wale aliowaamini kuendesha ICD yake! inaonekana hayo makontena yalitoka bila ya kuwa na 'release order' kitu ambacho wangetakiwa kushtuka na kuripoti mapema ila hawakufanya hivyo na ndio maana wanaadhibiwa!

laiti kama Unge rudia kusoma ulichokiandika kabla huja tuma usingetuma hii kitu! !!! wenyewe wanasema proof read the substance! !! hamna hata atakaekuelewa hapa
 
Mbona nasikiaga na muislam swafi na anatoaga sadaka kila ijmaa!
 
KOSA LA WALIMWENGU HUWA MBAHUKUMU MTU KWA KUSIKIA STORY BILA USHAHIDI NA SIKU MKIPATA USHAHIDI HUWA NI TOO LATE..

Mnangeni sana mzee bakhresa lakini ukweli msioujua ndio unaowafanya mtoe kauli chafu mithili ya kinyesi!
-"hata wayahudi walimhukumu MASIHI kwa habari za kusadikika ila walipougundua ukweli ikawa too late....
.
.
.
.
MZEE BAKHRESA NAAMINI NI MTU SAFI SANA KWA ULIPAJI KODI NCHINI KWA KUTUMIA "MFUMO WA KAMPUNI NDOGONDOGO ALIZO NAZO NA SI as "GENERAL COMPANY"...

"NINAHOFU ANAWEZA KUHAMISHA BIASHARA ZAKE TUKAKOSA HATA YALE MABILIONI AMBAYO HUWA ANAYALIPA..maana hili jambo lilipaswa kufanyika kimya kimya na kwa weledi kwa kumuita na kumweleza kiunda ili kumpa TIME LIMIT ya ulipaji wa deni kama kweli BANDARI YAKE ILI SABABISHA WENGINE WASILIPE KODI.

**Hata marekani haya yapo ila huwa yana malizwa kiutalaam ba maofisa husika na siyo kama sisi hapa ,JAMBO DOGO UNAITA HADI WAANDISHI WA HABARI NA KULISAMBAZA KWA UMMA ILI KUJIOATIA UMAARUFU WA KIJINGA WA KISIASA!

-ALIPASWA KUPEWA HESHIMA YAKE HUYU MR.BAKHRESA"
usiwe kichwa cha panzi, demand is the mother of all inventions..! Akiondoka ni anawaachia wengine nafasi ya kujitanua hata kwa Pesa za mkopo kwani hataondoka na soko..! Infact yeye huwa anawahujumu upcoming companies kwa kuuza vitu vyake kwa bei ya hasara ili competitors wake washindwe sokoni na kufa kibudu! Mshenzi Sana, na kwakuwa kapitisha makontena 54 bila kuyalipia kodi, huyu babu ni kibaka kama vibaka wengine Wa mitaani, HAPA KAZI TU..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom