Dhambi mbaya sana, yaani mtu tajiri kama Bakhressa anakwepa kulipa kodi?
Hii ishu inaweza ikawa pia kwa sababu kampuni ni kubwa ni delegates wenye mamlaka ni wengi, kwa kawaida ya watz ukimpa madaraka lazima ajipimie vya kwake mapema na wenzao wa TRA nao wana mawazo kama hayo kwa hiyo deal zimepigwa vizuri tu kwa muda mrefu, hata bila bakhresa kuelewa, yaani ile faida ya kutolipa kodi huenda hata haiingizwi kwenye kampuni yake, ila inaweza akawa anahusika pia, ni A ama B!