Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Najaribu kufikiria for ten years kama mchezo ulikuwa huu jamaa kavuna kiasi gani, Jk naye bila aibu akaenda kufungua ile studio ya azam pale tabata kumbe ni jasho letu.........mbwa kweli hawa watu.

For ten years? More than twenty years jombaa
 
ICD zote huwa na officer wa TRA anayeruhusu mzigo kutoka,mmiliki haruhusu mzigo kutoka.Hapa sioni kosa la Bakhresa labda kama kuna ajenda nyingine.
Kina John Paulo huwa hawakwepi kodi?

iko hivi: TRA wanaruhusu mzigo kutoka kwa 'release order'. mwenye mzigo akishapata release order anaenda upande wa ICD kuendelea na procedures. kwa kesi hii hakukuwa na release order, makontena yalitoka manually kuanzia bandarini mpaka ICD. kosa walilofanya ICD ni kuruhusu mzigo kutoka bila release order. katika masharti wanyopewa ICD ni pamoja na kuisaidia serikali kukusanya kodi. katika ICD yoyoote, getini lazima pawe na ofisa wa TRA, TPA, na ICD, na wakati mwingine walizi! na ndio maana mpaka sasa amelipa bilioni 2 kama alivyosema Bade juzi.
 
Kiongozi kila jambo lazima lina angle za kidini ndani yake? Mi nimeona kinachozungumziwa hapa ni ukwepaji kodi na mahakama zipo kama pana shaka yoyote mahakama itatoa haki. Embu tuache haya makitu ya udini na ukanda kwenye mambo serious ya kitaifa kama haya

Hata mie namshangaa!!! Sijui kwanini anatokwa povu hivyo!!!
 
maguufu unasubiri nini kumkamata mkwere

Amwache mzee wa watu, For ten years alikuwa busy sana
ImageUploadedByJamiiForums1448778971.118485.jpg
 
mh tra wamebanwa wanatafuta kwa kutokea,kwa bakhresa mmechemsha

mpaka sasa amelipa bilioni 2, hukumsikia Bade juzi!? na anapanga kulipa bilioni 12 na fine juu. kosa walilofanya ni kuruhusu mzigo kutoka bila ya kuwa na release order, wametoa kwa vimemo. jamaa hajakwepa kodi, ila ameruhusu watu wengine kukwepa kodi, ieleweke hivyo! mpaka sasa meneja wake anaisaidia polisi!
 
Mshahara wa dhambi mauti, hakuna lisilo mwisho hakuna kurudi nyuma. Wakati umefika watanzania kupata haki zao, tuzidi kuwaombea dua rais na waziri mungu awape uhai mrefu. Ili wafikie marengo yao. Inshalla
 
ushamba ni ule anaoufanya mwenyekiti wa chama chako,wewe kama kweli unauchungu hebu komaa ile ishu ya mkombozi bank kwanza usilete nyege kwenye ishu usizozijua

Chama changu unakijua? Pole sana!! Na mwaka huu mtaisoma namba! Mkwere aliwajaza kila sehem na kuwafumbia macho sasa ni zam ya kurud Oman na kuliwa viboga
 
Ili kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
Mwisho wao umefika warudi tuu Oman

Jifunze kidogo,hapo ndio utafanya magufuli achukiwe na waislam.mkwepa kodi ahukumiwe kwa kukwepa kodi kwake na si kwa dini yake.chuki zako kwa waislamu zisikupunguzie uwezo wako wa kufikiri.
 
Ili kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
Mwisho wao umefika warudi tuu Oman
Bakhresa ni myemen.
 
Najaribu kufikiria for ten years kama mchezo ulikuwa huu jamaa kavuna kiasi gani, Jk naye bila aibu akaenda kufungua ile studio ya azam pale tabata kumbe ni jasho letu.........mbwa kweli hawa watu.
Mawazo yangu; Inawezekana pesa inatoka kabisa ofisini kuwa ni ya kodi, ila hapo katikati kunakua na wajuaji wengi, so mzee wa watu akifika ofisini anakuta mambo yote yako sawa na anapitia msikitini kuswali kabla hajarudi home kiroho safi. So inawezekana watendaji wake ndio wamepiga hiyo hela.
 
Najaribu kufikiria for ten years kama mchezo ulikuwa huu jamaa kavuna kiasi gani, Jk naye bila aibu akaenda kufungua ile studio ya azam pale tabata kumbe ni jasho letu.........mbwa kweli hawa watu.
Hivi unajua kilichoandikwa na TRA kuhusu Bakhressa? Wapi Bakhressa kakwepa kodi?
 
Lakini kwa niwajuavyo wafanyabiashara wakubwa ni kwamba inawezekana kuna mtu tu kaamua kumchoma kwa maslahi yake, tukisema tumulikane kiivo hakuna atakaesalia salama, cha msingi ni kurudisha misingi bora ya utawala, tusidhalilishane. Tukiangalia pesa zilizopotea basi tuanze kuangali tokea 2005, from hapo sasa tuwatafute wote waliiibia nchii hii.. Mtashangaa habaki mtu.
 
Back
Top Bottom