Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

GSM/home shopping centre...mkwepaji mkuu wa kodi nchi hii...akaunti zake zote zipo Amana Bank, pamoja na wafanyakazi wao... Ibada gani hapo inayofanyika zaidi ya kutumia muavuli wa dini kuibia Taifa, na kudhulumu wananchi wa kipato cha chini, wanaolipishwa kodi inderect...

Hata hao Maafisa benki wa AMANA, wanazo taarifa za huyu gwiji wa ukwapuaji wa mali za Tanzania kwa kutokulipa kodi!

Sio yeye tu, wapo wengi, na wengine leo wameshitakiwa, wote hao wana akount Amana... Hakuna jambo baya kutumia mwavuliwa wa dini kurubuni watu!

Wapi ulisikia MKOMBOZI benk inaendeshwa kwa misingi ya dini ya Kikristo? Ipo kama benki ya CRDB, NMB, DTB n.k...ni benk za kibiashara zinafahamika...

Watch out jombaa.. Usimnyooshe mwenzi kidole kimoja, wakati vingine vinakutizima wewe!

.......... naona povu linakutoooka ! Hivi mtu akitoka kuzini na akaingia Kanisani kushiriki, Baba Askofu atajua !??
Katika Bank ya Amana hakuna kitengo cha mahojiano ya kuuliza pesa umepata wapi ..... unaweka pesa kwao ukiwa ni muumin au si muumin lakini wao Bank yao wanaiendesha kwa misingi ya Itikadi ya Kiislaam (ambayo ni Ibada). Wanafuata masharti, taratibu na Kanuni kupitia muongozo wa Mwenyezi Mungu (Qur'an).
Hao wanao kwapuliwa kodi (wasimamizi) umewauliza kama walishikiwa bunduki au wamefanya kwa hiyari yao !?
Ukiwa wewe ni Mwanaume, lakini ukaamua kwa makusudi kabisa kuikana haki yako ya maumbile na ukahiari kuolewa na Mwanaume mwenzio, sisi tukusaidiaje !!?? 😛oa Ndakilawe
 
Last edited by a moderator:
Unaongea nonsense.

Yaani unaamini kichwani kwako bakhresa alikuwa hajui hili?

Acha kukurupuka! Nilichofanya ni kuonesha kuwa yote yanawezekana ndo maana nikasema SI AJABU, sijasema HAKIKA yeye hajui kinachoendelea,

Au unaugomvi na SSB mkuu?
 
.......... naona povu linakutoooka ! Hivi mtu akitoka kuzini na akaingia Kanisani kushiriki, Baba Askofu atajua !??
Katika Bank ya Amana hakuna kitengo cha mahojiano ya kuuliza pesa umepata wapi ..... unaweka pesa kwao ukiwa ni muumin au si muumin lakini wao Bank yao wanaiendesha kwa misingi ya Itikadi ya Kiislaam (ambayo ni Ibada). Wanafuata masharti, taratibu na Kanuni kupitia muongozo wa Mwenyezi Mungu (Qur'an).
Hao wanao kwapuliwa kodi (wasimamizi) umewauliza kama walishikiwa bunduki au wamefanya kwa hiyari yao !?
Ukiwa wewe ni Mwanaume, lakini ukaamua kwa makusudi kabisa kuikana haki yako ya maumbile na ukahiari kuolewa na Mwanaume mwenzio, sisi tukusaidiaje !!?? 😛oa Ndakilawe
Tatizo lenu nyie sio waelewa.....kalale....hakuna cha ibada wala kupiga push up..wote majizi
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu nyie sio waelewa.....kalale....hakuna cha ibada wala kupiga push up..wote majizi

Sisi tunaelewa, ndio maana tumekataa Mungu hawezi kuuliwa mwanae msalabani ! na wizi tumefundishwa na Kilaini Ndakilawe 😛oa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom