Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

One sided story !!
keith

SS Bakhressam analipa kodi ila TRA wanachakachuwa mfumo......
 
Last edited by a moderator:
Ili kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
Mwisho wao umefika warudi tuu Oman

Na wewe urudi kwenu Rome, au...?
 
tujiulize kidogo bakhresa anafanya kazi bandari?hawa tra malofa kweli walete data zinazoonyesha kiasi alichokwepa kihalali kabisa sio upuuzi huu

elewa: ssb and co. wanamiliki bandari kavu branded 'azam ICD'. siku hizi mizigo inafanyiwa clearence ICD na sio bandarini ili kuongeza ufanisi. kwa hiyo makontena yalitoka bandarini bila kuwa kwenye system, yakaenda azam ICD. kwenye ICD kuna maafisa wa TRA, wangetakiwa kuhakikisha kodi imelipwa na kutoa 'release order', kisha ICD wahakikishe release order na kuruhusu mzigo (ujue pia ICD na TRA wanatumia system moja, TANCIS). kilichofanyika ni kwamba hayo makontena yalitoka manually bandarini kwenda ICD, na hapo pia yakatoka manually kwa kuwa hayakuingizwa kwenye TANCIS. kosa walilolifanya azam ICD ni kuruhusu mzigo kutoka bila kuwa na release order, kwa hiyo haukulipiwa kodi. masharti wanayowekewa ICD ni pamoja na kuisaidia serikali kukusanya kodi. wangekuwa wameonewa wangeenda mahakamani na wasingelipa bilioni 2 mpaka sasa.
 
Hivi unajua kilichoandikwa na TRA kuhusu Bakhressa? Wapi Bakhressa kakwepa kodi?

mijitu inaropoka tu, na chuki zimewajaa. hata hawaelewi kilichoandikwa!
 
tujiulize kidogo bakhresa anafanya kazi bandari?hawa tra malofa kweli walete data zinazoonyesha kiasi alichokwepa kihalali kabisa sio upuuzi huu

....ndg taratibu wewe subiri tu majipu yatumbuliwe, ndio dawa yake
 
Lakini kwa niwajuavyo wafanyabiashara wakubwa ni kwamba inawezekana kuna mtu tu kaamua kumchoma kwa maslahi yake, tukisema tumulikane kiivo hakuna atakaesalia salama, cha msingi ni kurudisha misingi bora ya utawala, tusidhalilishane. Tukiangalia pesa zilizopotea basi tuanze kuangali tokea 2005, from hapo sasa tuwatafute wote waliiibia nchii hii.. Mtashangaa habaki mtu.

Hayo yote ni blah blah na hatuwezi kuanza kuongelea jambo la kudhania, kilichopo mbele yetu kuna ushahidi kwamba Azam hawajalipa kodi wameandikiwa Barua na wao wamekiri na walienda kulipa watapigiwa hesabu watalipa deni maisha yataendela sisi tunachotaka ni fedha zetu TU, hayo mengine kajadilini vijiweni!
 
Lakini kwa niwajuavyo wafanyabiashara wakubwa ni kwamba inawezekana kuna mtu tu kaamua kumchoma kwa maslahi yake, tukisema tumulikane kiivo hakuna atakaesalia salama, cha msingi ni kurudisha misingi bora ya utawala, tusidhalilishane. Tukiangalia pesa zilizopotea basi tuanze kuangali tokea 2005, from hapo sasa tuwatafute wote waliiibia nchii hii.. Mtashangaa habaki mtu.

Watabaki wafanyakazi waajiriwa wanaolipa kodi(PAYE) kamili na halali tena kuliko mfanyabiashara mwenye the same income.
 
mpaka sasa amelipa bilioni 2, hukumsikia Bade juzi!? na anapanga kulipa bilioni 12 na fine juu. kosa walilofanya ni kuruhusu mzigo kutoka bila ya kuwa na release order, wametoa kwa vimemo. jamaa hajakwepa kodi, ila ameruhusu watu wengine kukwepa kodi, ieleweke hivyo! mpaka sasa meneja wake anaisaidia polisi!

Mkuu kwa sehemu kubwa wanaomiliki hizi ICD's huzitumia kuhifadhi mizigo ya kwao wenyewe, hivyo kama wameruhusu mzigo kutoka wamekwepa kodi kwa kushirikiana na maafisa wa TRA wanaosimamia eneo husika. Ndio maana wanahaha kulipa kodi walizokwepa
 
ICD zote huwa na officer wa TRA anayeruhusu mzigo kutoka,mmiliki haruhusu mzigo kutoka.Hapa sioni kosa la Bakhresa labda kama kuna ajenda nyingine.
Kina John Paulo huwa hawakwepi kodi?
Hapo mwisho naona unataka kubadilisha mada kutoka ya ukwepaji kodi kwenda kuwa ya kidini, ni shida kwa kweli tukiwa na mawazo kama yako.
 
Raisi Magufuli fanya kazi unaungwa mkono na vijana wote wa kitanzania.tumechoka kuomba misaada
 
Mie nasubiri jipu la mabehewa ya Treni ya tume ya Richmond na nyumba za serikali ya mtumbuaji.
Hayo majipu yapo pabaya sana. Ngumu kuyatumbua.
 
Untouchable!?? they back dated the letter trying to save their asses frm mr president.
 
Najaribu kufikiria for ten years kama mchezo ulikuwa huu jamaa kavuna kiasi gani, Jk naye bila aibu akaenda kufungua ile studio ya azam pale tabata kumbe ni jasho letu.........mbwa kweli hawa watu.
Mungu mkubwa naona watanzania tumeanza kuongea lugha moja, hapo zamani wapinzani tukiongea haya tulikuwa tukiitwa wenye wivu.
 
Yule muhindi wa ununuz wa zabibu nina hasira nae. Hivi lile sio jipu
 
Hizi ni propaganda za kiccm baada ya kumuona baharesa kaengemea na kusaidia mrengo fulani ila kila kitu kinajulikana na wanaokwepa kodi pia wanajulikana.
 
Back
Top Bottom