Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

sio kwamba amekwepa kodi. hayo mkontena yamepita bandari yake bila kulipiwa kodi. maafisa wa TRA hapo kwake ndo wamecheza mchezo. yeye amesimamishwa kupokea mizigo kwa kuwa hakuisaidia serikali kukusanya kodi hapo bandari kavu kwake kama masharti yanavyoelekeza. hapo bakhresa hausiki, ila watendaji wa TRA na wale aliowaamini kuendesha ICD yake! inaonekana hayo makontena yalitoka bila ya kuwa na 'release order' kitu ambacho wangetakiwa kushtuka na kuripoti mapema ila hawakufanya hivyo na ndio maana wanaadhibiwa!
Sasa wewe umepost nini?
 
Mkuu sidhani kama bakhresa baba anafanya hui utumbo, ila kwa wanae vijana ni possible, maana hao ndio kawaachia wanakimbizana
Well said, mzee wa watu sidhani anaweza kujingiza kwenye michongo ya namna hiyo - lakini uwezi kujua wakina DOGO wanajihusisha na mambo gani.
 
KOSA LA WALIMWENGU HUWA MBAHUKUMU MTU KWA KUSIKIA STORY BILA USHAHIDI NA SIKU MKIPATA USHAHIDI HUWA NI TOO LATE..

Mnangeni sana mzee bakhresa lakini ukweli msioujua ndio unaowafanya mtoe kauli chafu mithili ya kinyesi!
-"hata wayahudi walimhukumu MASIHI kwa habari za kusadikika ila walipougundua ukweli ikawa too late....
.
.
.
.
MZEE BAKHRESA NAAMINI NI MTU SAFI SANA KWA ULIPAJI KODI NCHINI KWA KUTUMIA "MFUMO WA KAMPUNI NDOGONDOGO ALIZO NAZO NA SI as "GENERAL COMPANY"...

"NINAHOFU ANAWEZA KUHAMISHA BIASHARA ZAKE TUKAKOSA HATA YALE MABILIONI AMBAYO HUWA ANAYALIPA..maana hili jambo lilipaswa kufanyika kimya kimya na kwa weledi kwa kumuita na kumweleza kiunda ili kumpa TIME LIMIT ya ulipaji wa deni kama kweli BANDARI YAKE ILI SABABISHA WENGINE WASILIPE KODI.

**Hata marekani haya yapo ila huwa yana malizwa kiutalaam ba maofisa husika na siyo kama sisi hapa ,JAMBO DOGO UNAITA HADI WAANDISHI WA HABARI NA KULISAMBAZA KWA UMMA ILI KUJIOATIA UMAARUFU WA KIJINGA WA KISIASA!

-ALIPASWA KUPEWA HESHIMA YAKE HUYU MR.BAKHRESA"

Kesi y ukwepaji kodi unaijua vizuri?wanaweza kuwekwa ndani na kodi wakalipa, hata kutaifisha ikiwezekana ni maamuzi ya raisi
 
What if Bakhresa akiamua kulipa deni lote la kodi halafu afunge biashara zake zote bongo na kwenda zake Dubai kula bata? Just thinking 
Mkuu SS Bakhressa ni CLEAN !! usijali kbs hata asiende DUBAI.. hapa jirani zetu (RWN,MZB,UG,DRC,MLW,nk) watamwangukia na kumkaribisha....... Huyu mtu is BLESSED !! kumbuka sakata la ngano miaka ile...!!
beth jun255 meezy service
 
Last edited by a moderator:
ICD zote huwa na officer wa TRA anayeruhusu mzigo kutoka,mmiliki haruhusu mzigo kutoka.Hapa sioni kosa la Bakhresa labda kama kuna ajenda nyingine.
Kina John Paulo huwa hawakwepi kodi?
wamulike nawenyewe wakamatwe, mbona fikra zako ndogo mkuu!, hapa kazi tu!
 
Km mtu jambo hulijui jaribu kuuliza kwa taarifa yenu bakhresa hahusiki na huo ukwepaji wa kodi ...walio husika na ukwepaji wa kodi ni walioagiza mizigo na ma agent wa forodha yeye hapo kahusishwa sababu mzigo umetoka kwenye icd yake

Poa Rajabu tumekusoma.
 
Kwa huu upuuzi unaoendelea nchini sioni sababu ya waziri yyte wa serikali ya kikwete kurudi kundini!! watumishi wa umma wengi wao wanajihusisha na wizi au ubadhirifu mwingi tu,kila mmoja kwa nafasi yake anakamua,iko sababu ya kuwabadili wote ikibidi,
 
ivi bakhresa ela zake anapeleka wap? kuna mtu yoyote mtaan kwao kuna mtu anafanya kazi kwa bakhresa alafu ana maisha mazuri? mbona wafanyakaz wanaofanya kwa bakhresa mtaan ni choka mbaya? ushaona mfanyakaz wa bakhresa ana gari, nyumba nzuri nk...... alafu nackia kukwepa kodi sio kwa makontenan tu hata mishahara wengi analipa kwa bahasha dirishan haina kodi wa nssf iyooooo alafu kila ijumaa eti watu wanapanga folen kupewa misaada ya buku tano tano anajifanya mshika dini pumbav sana!!!!
 
Ni kweli
 
Acha ushamba we nae! Sa udin hapo uko wapi? Nyie waislam ni mafala sana yaan mtu wenu akikosea asiwajibishwe kisa dini?

kwani ulisikia kuna Padri amewajibishwa hata wale waliokuwa kwenye skandali ya mafisadi ya Escrow ??
 
ivi bakhresa ela zake anapeleka wap? kuna mtu yoyote mtaan kwao kuna mtu anafanya kazi kwa bakhresa alafu ana maisha mazuri? mbona wafanyakaz wanaofanya kwa bakhresa mtaan ni choka mbaya? ushaona mfanyakaz wa bakhresa ana gari, nyumba nzuri nk...... alafu nackia kukwepa kodi sio kwa makontenan tu hata mishahara wengi analipa kwa bahasha dirishan haina kodi wa nssf iyooooo alafu kila ijumaa eti watu wanapanga folen kupewa misaada ya buku tano tano anajifanya mshika dini pumbav sana!!!!
Maisha mazuri kwako ni mtu kugawa bia bar ndiyo na kuwa na gari kubwa ndiyo unamuona ana maisha mazuri.
 
Jifunze kidogo,hapo ndio utafanya magufuli achukiwe na waislam.mkwepa kodi ahukumiwe kwa kukwepa kodi kwake na si kwa dini yake.chuki zako kwa waislamu zisikupunguzie uwezo wako wa kufikiri.

Mimi mkristo naunga mkono hoja,kuna mijitu myepesi kuangalia dini,ni mizuzu
 
Watu wengine bongo zimejaa funza. Mjadala majambazi yanayokwepa kodi,wao wanaugeuza kuwa udini. Hizi dini za wakoloni zimetufanya matahiri. Jambazi hana dini.
 
Watu bwana, wanatetea mtu kwa sababu ya udini tu. Kama kakwepa kodi, basi kakwepa kodi. Dini yake inaingiaje hapa? Kila mtu abebe mzigo wake. Ikiwa anataka kufanya biashara bila kutozwa kodi, basi ahamie wasikotoza kodi.
 
Utajir wa Huyu jamaa ni wa kukwepa Kodi ,,, Mali zake Zichunguzwe
 
Ili kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
Mwisho wao umefika warudi tuu Oman
Captain nchi mnaanza kuigawa kwa udini Bakharesa so mtanzania yule sasa Oman akafanye nn kwani bakharesa pekeyake ndio halipi kodi tuache fitna na majungu na udini sasa tuamue tu tunarudi kulee kwenye ujamaa wa kuvaa viatu vya taili ya gari
 
"wagonga vichwa sakafuni" ?????"wagonga vichwa sakafuni"

unamaamisha nini?? kama ninachowaza ndicho unachowaza katika maandishi haya basi nakuombea kwa Mungu akusamehe
 
Back
Top Bottom