Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Piga kazi Magufuri usione uraisi umeupata kwa kupewa na Jakaya,uraisi umeupata mwenyewe kwa nguvu za mungu. Chaguo lake lilikuwa Maembe.
 
What if Bakhresa akiamua kulipa deni lote la kodi halafu afunge biashara zake zote bongo na kwenda zake Dubai kula bata? Just thinking 💭
 
Acha ushamba we nae! Sa udin hapo uko wapi? Nyie waislam ni mafala sana yaan mtu wenu akikosea asiwajibishwe kisa dini?

Yaani haya majitu majinga sana. Wanafikri ni serikali ya matezi hii. Kila jambo yanaingiza udini tu hadi kero.
 
usiwe kichwa cha panzi, demand is the mother of all inventions..! Akiondoka ni anawaachia wengine nafasi ya kujitanua hata kwa Pesa za mkopo kwani hataondoka na soko..! Infact yeye huwa anawahujumu upcoming companies kwa kuuza vitu vyake kwa bei ya hasara ili competitors wake washindwe sokoni na kufa kibudu! Mshenzi Sana, na kwakuwa kapitisha makontena 54 bila kuyalipia kodi, huyu babu ni kibaka kama vibaka wengine Wa mitaani, HAPA KAZI TU..!

Mkuu umeniwah..uyoo jamaa cjui vp yaaaani zaidi ya mabillion ya pesa yamepotea anasema tumshukuru eti...ayoo mabillion yangenunua madawa kiasi gani au jamaa hajui kodi inasaidia nn
 
Ili kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
Mwisho wao umefika warudi tuu Oman

anakuja kwa wapiga magoti subiri tu
 
tuchangie hoja wandgu tusitukanane watanzania ste ni kitu kimoja bila ya kujali dini,kabila wala itikadi za vyama
 
Mawazo yangu; Inawezekana pesa inatoka kabisa ofisini kuwa ni ya kodi, ila hapo katikati kunakua na wajuaji wengi, so mzee wa watu akifika ofisini anakuta mambo yote yako sawa na anapitia msikitini kuswali kabla hajarudi home kiroho safi. So inawezekana watendaji wake ndio wamepiga hiyo hela.
Anawajibika directly kwa matendo ya wale aliowapa dhamana ya kusimamia biashara sake, kwani so amewaajiri yeye kwa vigezo anavyovijua yeye na wala hakuomba ushauri kwa serikali. Hivyo hawezi kukwepa matokeo ya kutowajibika kwake ipasavyo kuhakikisha tunapata kodi yetu, hilo la kuswali serikali hailitambui, HAPA KAZI TU!
 
KOSA LA WALIMWENGU HUWA MBAHUKUMU MTU KWA KUSIKIA STORY BILA USHAHIDI NA SIKU MKIPATA USHAHIDI HUWA NI TOO LATE..

Mnangeni sana mzee bakhresa lakini ukweli msioujua ndio unaowafanya mtoe kauli chafu mithili ya kinyesi!
-"hata wayahudi walimhukumu MASIHI kwa habari za kusadikika ila walipougundua ukweli ikawa too late....
.
.
.
.
MZEE BAKHRESA NAAMINI NI MTU SAFI SANA KWA ULIPAJI KODI NCHINI KWA KUTUMIA "MFUMO WA KAMPUNI NDOGONDOGO ALIZO NAZO NA SI as "GENERAL COMPANY"...


"NINAHOFU ANAWEZA KUHAMISHA BIASHARA ZAKE TUKAKOSA HATA YALE MABILIONI AMBAYO HUWA ANAYALIPA..maana hili jambo lilipaswa kufanyika kimya kimya na kwa weledi kwa kumuita na kumweleza kiunda ili kumpa TIME LIMIT ya ulipaji wa deni kama kweli BANDARI YAKE ILI SABABISHA WENGINE WASILIPE KODI.

**Hata marekani haya yapo ila huwa yana malizwa kiutalaam ba maofisa husika na siyo kama sisi hapa ,JAMBO DOGO UNAITA HADI WAANDISHI WA HABARI NA KULISAMBAZA KWA UMMA ILI KUJIOATIA UMAARUFU WA KIJINGA WA KISIASA!

-ALIPASWA KUPEWA HESHIMA YAKE HUYU MR.BAKHRESA"

kwanini akwepe kulipa kodi kama mstarabuu ,alaa lazima atangazwe watanzania.
 
iko hivi: TRA wanaruhusu mzigo kutoka kwa 'release order'. mwenye mzigo akishapata release order anaenda upande wa ICD kuendelea na procedures. kwa kesi hii hakukuwa na release order, makontena yalitoka manually kuanzia bandarini mpaka ICD. kosa walilofanya ICD ni kuruhusu mzigo kutoka bila release order. katika masharti wanyopewa ICD ni pamoja na kuisaidia serikali kukusanya kodi. katika ICD yoyoote, getini lazima pawe na ofisa wa TRA, TPA, na ICD, na wakati mwingine walizi! na ndio maana mpaka sasa amelipa bilioni 2 kama alivyosema Bade juzi.

Kwani ni mizigo yake au ya wateja
 
Kama na jamaa huyu ambaye nilikuwa namchukulia kama Mzalendo wa kweli, kumbe naye anajihusisha na racket ya ukwepaji kodi basi Taifa letu ni shamba la bibi. Swali ni je, hivi yeye anajua michoro hii au ni wafanyakazi wake bila ya yeye kujua?

Kama ni kweli, basi kuna haja ya Serikali kuchunguza kama malipo aliyo lipa Serikali kwa ajili ya manunuzi ya National Milling assets ni halali au alihuziwa kwa bei ya kutupa - wafanya Biashara wakubwa Tanzania wanatia shaka sana - wote wafuatiwe kwa karibu sana, yanayo gundulika hivi sasa ni a tip of an ICEBERG.

Mkuu sidhani kama bakhresa baba anafanya hui utumbo, ila kwa wanae vijana ni possible, maana hao ndio kawaachia wanakimbizana
 
sio kwamba amekwepa kodi. hayo mkontena yamepita bandari yake bila kulipiwa kodi. maafisa wa TRA hapo kwake ndo wamecheza mchezo. yeye amesimamishwa kupokea mizigo kwa kuwa hakuisaidia serikali kukusanya kodi hapo bandari kavu kwake kama masharti yanavyoelekeza. hapo bakhresa hausiki, ila watendaji wa TRA na wale aliowaamini kuendesha ICD yake! inaonekana hayo makontena yalitoka bila ya kuwa na 'release order' kitu ambacho wangetakiwa kushtuka na kuripoti mapema ila hawakufanya hivyo na ndio maana wanaadhibiwa!

Acha kutetea wizi, hayo ndio madili yao kwani nani hajui!
 
Km mtu jambo hulijui jaribu kuuliza kwa taarifa yenu bakhresa hahusiki na huo ukwepaji wa kodi ...walio husika na ukwepaji wa kodi ni walioagiza mizigo na ma agent wa forodha yeye hapo kahusishwa sababu mzigo umetoka kwenye icd yake
Mimi nafikili tuiachie Serikali itatupatia tamko rasimi. Haya mambo ya kujaribu kutetea tetea watu kwa kutumbukiza imani za kidini hazitatufikisha mbali - hivi barua hiyo Serikali ilimu address nani i.e Kampuni gani - kwa mawazo yenu mnafikiri wamekurupuka tu bila ya kuwa na an inside information au mnafikiri this is just an Isolated incident kwa kuwa muhusika ana jina KUBWA! Think twice.
 
Ili kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
Mwisho wao umefika warudi tuu Oman

Huna akili wewe!!! mijizi ya escrow inatoka wapi? Lowassa ,chenge,tibaijuka,mengi ,wanaswali msikiti gani? sumaye anaswali msikiti gani? tutolee wazimu wako hapa,watawajibishwa kama wakwepa kodi wengine sio kwa sababu wanatoka dini fulani nyau wewe!! idadi kuubwa ya walisimamishwa kuanzia muhimbili mpaka TRA ni wale wanaabudu sanamu mshenzi wewe,ukileta kashfa hata sisi tunazijua zaidi yako ,ita mods wanipe ban kwa sababu nimekutukana
 
Ili kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
Mwisho wao umefika warudi tuu Oman

Msitutoe kwenye mada kwa kuchomekea ujinga wenu ili kutugawa. Hapa agenda ni ukwepaji kodi awe Peter au Abdalah mwizi ni mwizi tu.
 
Back
Top Bottom