funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,400
- 31,909
Je hii ni dhana kuwa kuna baadhi ya watu ni untouchable katika ardhi ya Tanzania?
Je huu ni muendelezo wa ule msemo wa "huu ni upepo tu utapita"
Tuhuma zinazoenea dhidi ya mfanyabiaahara kinara Afrika na Tanzania za kukwepa kodi zilitakiwa kujibiwa haraka!
NAANDIKA NIKIWA MAPUNZIKONI KIJIJINI ZOMBO KWA TUPPA!