Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

MIMI NAULIZA,HAPO NYUMA KIDOGO i.e 2010-2015 kitu kinachoitwa serikali (Tuseme Raisi) kilikuwapo au hakikuwapo? Tafadhali sana usinishangae kwa kuuliza swali hili!
 
Hili sakata linaonyesha jinsi Bakhresa na wafanyabiashara wakubwa walivyoinyonya hii nchi.

Sasa piga mahesabu miaka kumi ya Kikwete Bakresa amedodge kodi kiasi gani. Ingekuwa nchi makini audit ingefanywa miaka kumi na angelazimishwa kulipa kodi yote yote hiyo. N hii kampuni isingepona. Ila sidhani kama haya yatatokea Tanzania.

Haya tunascratch surface tu. Hatujui undani halisi wa ufisadi huu
 
Najaribu kufikiria for ten years kama mchezo ulikuwa huu jamaa kavuna kiasi gani, Jk naye bila aibu akaenda kufungua ile studio ya azam pale tabata kumbe ni jasho letu.........mbwa kweli hawa watu.

sasa napata majibu kwanini firm zake in total hazipo kwenye top 3 ya firm zinazolipa kodi kubwa
 
Kwa hiyo unaifuata dunia inavyozunguka? wewe badala ya kusalia kwenye nyumba wewe unaizunguka? nimekuuliza nyumba ni nini hukujibu!, hayo unayoyasema are proved scientifically, prove ya kaaba kuwa haubudi iyo sanamu ya nyumba?

Snamu ni sanamu tu ! Muislaam haabudu kitu au mtu ! Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na hafanani na chochote.
Sema: Mwenyezi Mungu ni Mmoja, Yeye pakee ndiye anayekusudiwa kuombwa (Yeye haombi kokote). Hakuzaa wala Hakuzaliwa. Wala hafanani na chochote (kiwe kiko juu, ardhi au ndani ya maji)
Hivyo kile kibanda hakina kitu ! jzm-teak
 
Last edited by a moderator:
Snamu ni sanamu tu ! Muislaam haabudu kitu au mtu ! Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na hafanani na chochote.
Sema: Mwenyezi Mungu ni Mmoja, Yeye pakee ndiye anayekusudiwa kuombwa (Yeye haombi kokote). Hakuzaa wala Hakuzaliwa. Wala hafanani na chochote (kiwe kiko juu, ardhi au ndani ya maji)
Hivyo kile kibanda hakina kitu ! jzm-teak
Pia kibanda ni kibanda tu!, kwani mababu zetu si wakivijenga kwa ajili ya mizimu? tembelea vijijini, bado vibanda vipo mkuu!There must be something in!, unakizunguka!, unakisujudia, unafanya kitu kukielekea kama kuchinja!?, halafu unajifanya sio sanamu? nani alikwambia Mungu alizaa? kama unaamini hivyo basi mkuu!
yaani wewe ni wa ajabu! kile unakiita kibanda tu?
 
Last edited by a moderator:
‪#‎UkapimweAkili‬ kama bado unafikiri kua kuna tajiri ambaye ametajirika hapa duniani kutoka nje ya vyanzo hivi:-
1. Kukwepa kulipa kodi.
2. Kuwanyonya wafanyakazi wake kwa kuwalipa ujira na mishahara midogo wasiostahili kutokana na kazi kubwa wanayoifanya.
3. Bidhaa za magendo; vitu vinavyoingia na kutoka kwenye nchi anayoishi kinyume na sheria.
4. Biashara haramu; vitu visivyo na uhalali wa kisheria kutokana na madhara yake makubwa kwa jamii.
 
elewa: ssb and co. wanamiliki bandari kavu branded 'azam ICD'. siku hizi mizigo inafanyiwa clearence ICD na sio bandarini ili kuongeza ufanisi. kwa hiyo makontena yalitoka bandarini bila kuwa kwenye system, yakaenda azam ICD. kwenye ICD kuna maafisa wa TRA, wangetakiwa kuhakikisha kodi imelipwa na kutoa 'release order', kisha ICD wahakikishe release order na kuruhusu mzigo (ujue pia ICD na TRA wanatumia system moja, TANCIS). kilichofanyika ni kwamba hayo makontena yalitoka manually bandarini kwenda ICD, na hapo pia yakatoka manually kwa kuwa hayakuingizwa kwenye TANCIS. kosa walilolifanya azam ICD ni kuruhusu mzigo kutoka bila kuwa na release order, kwa hiyo haukulipiwa kodi. masharti wanayowekewa ICD ni pamoja na kuisaidia serikali kukusanya kodi. wangekuwa wameonewa wangeenda mahakamani na wasingelipa bilioni 2 mpaka sasa.

Inawezekana huo mzigo ulikuwa wake ndio maana umetoka kienyeji.
 
What if Bakhresa akiamua kulipa deni lote la kodi halafu afunge biashara zake zote bongo na kwenda zake Dubai kula bata? Just thinking 💭

Aende, sisi na kampuni zetu tutajazia ombwe aliloliacha.
 
DSC02879.jpg
 
Kwa mujibu wa taratibu hapo bakhresa hana kosa lolote kwenye ukwepaji kodi unless hayo makontena ni yake. Ila icd yake inaweza kuwa na kosa la kurusu mzigo kutoka bila utaratibu na kunyamazia kimya. Bakhresa ni mmoja wa wafanyabiashara wanaotoa kodi kubwa serikalini bila ujanja ujanja.

Usipotoshe UMMA kwa kuandika mambo usiyoyajua, haswa kwa ushabiki au mahaba uliyonayo kwa muhusika.
Tulia uchunguzi ukamilike utashangaa RIPOTI itakayotolewa na vyombo vya Dola kwa Serikali. SERIKALI HAIKURUPUKI.
 
Ni jambo la aibu na fedheha kubwa kuona tajiri mkubwa kama huyo nayeye anakwepa kulipa kodi!!,kweli TZA kisima cha mwendawazimu,watu wanajifanyia wanavyotaka hongera JPM kwa hatua ulioanzanayo BIG-UP sana Presdent wangu.
 
Dhambi mbaya sana, yaani mtu tajiri kama Bakhressa anakwepa kulipa kodi?

Hajakwepa kulipa kodi bali kafanikisha kupitisha makonteina kwenye ICD yake ya watu wengine bila kulipa kodi. Hizi ICD ni private hata wewe unaweza kuanzisha ya kwako wakawa wanapeleka makonteina hapo.
 
‪#‎UkapimweAkili‬ kama bado unafikiri kua kuna tajiri ambaye ametajirika hapa duniani kutoka nje ya vyanzo hivi:-
1. Kukwepa kulipa kodi.
2. Kuwanyonya wafanyakazi wake kwa kuwalipa ujira na mishahara midogo wasiostahili kutokana na kazi kubwa wanayoifanya.
3. Bidhaa za magendo; vitu vinavyoingia na kutoka kwenye nchi anayoishi kinyume na sheria.
4. Biashara haramu; vitu visivyo na uhalali wa kisheria kutokana na madhara yake makubwa kwa jamii.

Wapo wengi tu ambao hawana hulka za kiwiziwizi!, ni manager wa chelsea tu ndo mkwepa kodi, lakini matajiri wenye utajiri halali ni wengi tu!
 
sina sababu za kitaalamu zaidi, ila ninachojua hakukua na haja ya Tra na Bandari kuwa na systems tofauti.Bakhresa anakosa lazima ahakikishe mzigo unaotoka umefuata taratibu zote,wapigaji hutoa makontena usiku.maafisa wa Tra na Bandar walioko zamu wakiwa majumban.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom