Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

Kama akina Ngeleja walivyozipeleka za Escrow Kanisani na nyingine wakampa Baba Askofu Kilaini
Aisaee "Mungu Akubariki Bandiwe, kwa kumbamiza Wasibota huyu"
bukoba boy umeipata hapo juu all the time soma ukariri hiyo....
 
Last edited by a moderator:
Kukwepa kulipa kod halina uhusiano na dini kuna watu humu wameanza kuhusisha na mambo ta dini.hatufiki mbali.stop those mind blindness
 
Najaribu kufikiria for ten years kama mchezo ulikuwa huu jamaa kavuna kiasi gani, Jk naye bila aibu akaenda kufungua ile studio ya azam pale tabata kumbe ni jasho letu.........mbwa kweli hawa watu.

hivi kwani ICD ya baresa inaweka makontena yake tu??
hivi kama je hao wenye makontena yao ndo wanaojibebea kinyemela tumhukumu SSB?
 
Wale ni Makafiri kama Wakiristo tu ! Aga Khana hawana Msikiti bali wana Jamatini. Na hawaswali (kufanya ibada) hata swala moja. Kufunga pia hawafungi. Hivyo hawana tofauti na nyie waabudu sanamu. permanides


Mkuu yani ulivyokuwa na imani kali kale kamchezo ka kujilipua ukipewa bomu lazima ujilipue
 
Last edited by a moderator:
Hii ni ICD ni bandari kavu. Hii sio mizigo ya bakhressa. ICD ni bandari ya ziada ambazo ziliruhusiwa kupunguza msongo mano bandarini. Hawa wana charge kwa kila container linalo hifadhiwa hapo. Mizigo na container ni za watu binafsi.
Na Bakhressa ni mmoja ya wamiliki wa hizo ICD.
ICD hutoa ulinzi na hifadhi ya mizigo. Wenye ruhusa ya kutoa container nje ni TRA wenyewe ambao wana funguo za mageti yote. Na mzigo hautoki bila ya wao kutuhusu baada ya kulipia.
Hivyo hapo ICD deal zinapigwa wenye mzigo na TRA . Bakhressa hapati kitu hapo. Na kama wafanyakazi wamashiriki hilo jingine.
Kwa ufupi kupotea ma container from ICD Hayahusiani na bakhressa kukwepa kodi. Tatizo huko huko kwa Masamaki na wenzake.

Hawa ndugu zetu wa upande wa kushotoni wanaelewa basii ! Bakhresa hapa anafanya biashara ya kupangisha uwanja tu, na hayo makonteina yeye hatoi wala kuingiza na wala si yake. Hata pale Railway barabara ya Shauri moyo na Nyerere rd ipo moja ya magari ya watu wengine.
 
Mkuu yani ulivyokuwa na imani kali kale kamchezo ka kujilipua ukipewa bomu lazima ujilipue

Hakuna silaha nzuri kwa Kuwadhibiti Makafiri kama ya kujilipua. Maana wao wana madege mameli vifaru makombora mabomu na mbwembwe za kila aina. Mlipuaji mmoja tu anasimamisha nchi !
 
Mkuu yani ulivyokuwa na imani kali kale kamchezo ka kujilipua ukipewa bomu lazima ujilipue

Hakuna silaha nzuri kwa Kuwadhibiti Makafiri kama ya kujilipua. Maana wao wana madege mameli vifaru makombora mabomu na mbwembwe za kila aina. Mlipuaji mmoja tu anasimamisha nchi ! Mnyabwilo
 
Last edited by a moderator:
Ni shida ndugu yangu kuhangaika na Makafiri, chuki yao haielezeki humu !
Mantik na uhakika !! Huoni hata hao walioanza uvamizi wameanza na kwa kasi juu ya WaRasiliMali za Kiislam !!! na kuwatisha... kama vile kodi hawapokei, wakati idara na wizara zote zinaendeshwa kwa kodi za SSB!! He is CLEAN !!

Hawakuanza na akina Petro au Paulo !! kwa sbb wanawapa pace na uwanja wa kujitwahirisha na kujipanga!!!!
Kisima kambagasa beth Jigsaw sifongo
 
Last edited by a moderator:
Nashindwa kuzielewa baadhi ya akili za wenzetu katika uzi huu......hii issue ya barua ya TRA inahusiana vipi na dini ya kiislamu....

Mkuu hiyo inaonyesha nikwakiasi gani bongo za wengi zimejaa Giza Magufuli akaze mwendo Nchi itasogea sana....Jamaa wa CCM wanasema mpaka sasa wamejawa na woga hawajui nini anataka kufanya Magufuli....manake wanahofu huenda kesho akaagiza Matokeo ya znz yatangazwe honestly ni Pressure kila mahari
 
Usijali mkuu rais wetu mpendwa JPM yuko ktk harakati za kuwapora mali mapapa ili na sisi wadogo wadogo tupate visent kidogo hivyo soon tu na we utakua na sim yenye uwezo wa kufungua mafail kama hayo.

Nimecheka sana hiki ulichomwambia ndg yako BT ndio ukweli
 
Hizi ni propaganda za kiccm baada ya kumuona baharesa kaengemea na kusaidia mrengo fulani ila kila kitu kinajulikana na wanaokwepa kodi pia wanajulikana.

nakumbuka kipindi cha mkapa mzee azam alimwanga hela kwenye kampeni za cuf alipo ingia mkapa akamwagia unga wake baharini wote uliokuwa unasafirishwa kwenda nje
 
Mh Rais please deal na hawa wawekezaji taratibu, tunawahitaji wanatuhitaji pia. Sheria isimamiwe vzur, watumishi wazembe wawajibishwe sio yote yakufanya public mengine yatatishia uwekezaji mpya.
Sina maana wasilipe kodi, bali walipe kodi lakini pia heshima yao ilindwe.

Mugabe aliyafanya haya public, wananchi walimuita hero, lakini leo wanaisoma namba wao wenyewe. Hakuna muwekezaji anafikiria kuwekeza pamoja na sheria kulegezwa.

Mkuu wewe ni Mizengo pinda nini umekuja na ID hiyo humu JF ustaarabu wakati watu wakufa kwa kukosa madawa hosptalini....Halafu usifananishe na Mugabe..
 
Mimi nafanya kazi na Kampuni inayoingiza bidhaa nchi kutoka nchi jirani. Kati wa mwezi wa 8 na wa 9,TRA waliisajili kodi mpya inayoitwa Railway Dev Tax (kama sikosei ni 1.5% ya gross value) huwezi kuendelea na procedure nyinginezo kama hujalipa hiyo kodi. System ina reject transaction zote. Sasa hapo kwa mfano Bakhresa anaingiaje !? MKWEPA KODI

Kweli mkuu hiyo ngoma ni ya wao wenyewe tra
 
Last edited by a moderator:
sasa ile ni nyumba? unalizunguka? waweza zunguka nyumba unadai unasali? maana ya nyumba ni nini? kwani inatofauti gani na vijinyumba vya mizimu? swala lako la imani kuwa ni nyumba, amini hivyo!, lakini usijiaminishe kila unaloliamini unadhani kila mtu aamini unavyotaka mkuu!

Dunia yenyewe inazunguka, sasa sembuse Sisi kuzuunguka Al Kaaba !? Dunia inazunguka kutoka kushoto kwenda kulia, moyo wa mwanadamu upo kushoto na Sisi tunazunguka kutoka kushoto kwenda kulia. Kunaitwa kutufu.
Hata Galileo alipolliambia Kanisa na watu kwa Dunia ni mviringo na inazunguuka, wakaona ni mzushi.
jzm-teak wewe huna tofauti na hao !
 
Last edited by a moderator:
ICD zote huwa na officer wa TRA anayeruhusu mzigo kutoka,mmiliki haruhusu mzigo kutoka.Hapa sioni kosa la Bakhresa labda kama kuna ajenda nyingine.
Kina John Paulo huwa hawakwepi kodi?
Akili yako imeishia hapo kufikiria maana kama kakwepa kodi aachwe tu kisa anaitwa said salim? Na bado, naomba rais shughulika na watu kama hawa maana kila kuwaza kwao ni udini tu nakuona wengine kama wasiostahili kukaa kwenye nchi hii. Mmeozesha nchi na kuna thread humu inamtaja Dangote huoni aibu wewe?
 
Mantik na uhakika !! Huoni hata hao walioanza uvamizi wameanza na kwa kasi juu ya WaRasiliMali za Kiislam !!! na kuwatisha... kama vile kodi hawapokei, wakati idara na wizara zote zinaendeshwa kwa kodi za SSB!! He is CLEAN !!

Hawakuanza na akina Petro au Paulo !! kwa sbb wanawapa pace na uwanja wa kujitwahirisha na kujipanga!!!!
Kisima kambagasa beth Jigsaw sifongo

ati Vodacom anazidiwa ulipaji kodi na TiGo !........... mpaka ule mtindo wa kutoa vyeti kwa walipa kodi wakubwa wameupotezea !
 
Last edited by a moderator:
Hakuna silaha nzuri kwa Kuwadhibiti Makafiri kama ya kujilipua. Maana wao wana madege mameli vifaru makombora mabomu na mbwembwe za kila aina. Mlipuaji mmoja tu anasimamisha nchi !



Duh....
 
Hakuna silaha nzuri kwa Kuwadhibiti Makafiri kama ya kujilipua. Maana wao wana madege mameli vifaru makombora mabomu na mbwembwe za kila aina. Mlipuaji mmoja tu anasimamisha nchi !
mmmh !! tena wanapenda kulia lia weee mwezi mzima watalalamika kwenye media hadi huko UN !!!
Mnyabwilo usituchafulie uzi.... kama huna hoja siupotezee...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom