herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
sio kwamba amekwepa kodi. hayo mkontena yamepita bandari yake bila kulipiwa kodi. maafisa wa TRA hapo kwake ndo wamecheza mchezo. yeye amesimamishwa kupokea mizigo kwa kuwa hakuisaidia serikali kukusanya kodi hapo bandari kavu kwake kama masharti yanavyoelekeza. hapo bakhresa hausiki, ila watendaji wa TRA na wale aliowaamini kuendesha ICD yake! inaonekana hayo makontena yalitoka bila ya kuwa na 'release order' kitu ambacho wangetakiwa kushtuka na kuripoti mapema ila hawakufanya hivyo na ndio maana wanaadhibiwa!
Unajaribu kumtetea kwa sababu unamapenzi naye ata mie huyu ni moja ya wafanyabiashara wakubwa ambao ni wa admire,lakin mzee watendaji siku zote ndio huwa wanatumika kukwepesha kodi za hawa wafanyabiashara wakubwa,hatugemei mfanyabiashara mwenyewe..kwa lunga rahis,mtendaji akikosea mmiliki naye hukosea kama hilo kosa nijukumu la mtendaji wako kama mkataba wa kumuajili unaonesha hilo jukumu.
Tujifunze kupokea ukweli atakama una uma