GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
MTAZAMO Suala lipe muda Sina muda wa Porojo. Ndo maana nimekaa pembeni kusoma mihemko ya wanaFB waliotukimbiza humu. Hili nimelipenda kuweka in put yangu. Lipe muda utajua Porojo au Facts
Jibu hili hapa:
http://www.whitehouse.gov/news/releases/2005/07/images/20050713-3_071305kj-0183jpg-515h.html
It may not be the Air force one, but it doesn't look like a commercial airline to me. Lakini hawa wenzetu mapesa yao yanawaruhusu hata kuwa na ndege ya first lady na first daughters.
una akili ndogo sana!
Kwa hiyo unaifuata dunia inavyozunguka? wewe badala ya kusalia kwenye nyumba wewe unaizunguka? nimekuuliza nyumba ni nini hukujibu!, hayo unayoyasema are proved scientifically, prove ya kaaba kuwa haubudi iyo sanamu ya nyumba?Dunia yenyewe inazunguka, sasa sembuse Sisi kuzuunguka Al Kaaba !? Dunia inazunguka kutoka kushoto kwenda kulia, moyo wa mwanadamu upo kushoto na Sisi tunazunguka kutoka kushoto kwenda kulia. Kunaitwa kutufu.
Hata Galileo alipolliambia Kanisa na watu kwa Dunia ni mviringo na inazunguuka, wakaona ni mzushi.
jzm-teak wewe huna tofauti na hao !
Dhambi mbaya sana, yaani mtu tajiri kama Bakhressa anakwepa kulipa kodi?
Hii ni ICD ni bandari kavu. Hii sio mizigo ya bakhressa. ICD ni bandari ya ziada ambazo ziliruhusiwa kupunguza msongo mano bandarini. Hawa wana charge kwa kila container linalo hifadhiwa hapo. Mizigo na container ni za watu binafsi.
Na Bakhressa ni mmoja ya wamiliki wa hizo ICD.
ICD hutoa ulinzi na hifadhi ya mizigo. Wenye ruhusa ya kutoa container nje ni TRA wenyewe ambao wana funguo za mageti yote. Na mzigo hautoki bila ya wao kutuhusu baada ya kulipia.
Hivyo hapo ICD deal zinapigwa wenye mzigo na TRA . Bakhressa hapati kitu hapo. Na kama wafanyakazi wamashiriki hilo jingine.
Kwa ufupi kupotea ma container from ICD Hayahusiani na bakhressa kukwepa kodi. Tatizo huko huko kwa Masamaki na wenzake.
Huu mchezo wa kuingiza udini kwenye mada nyeti tuungane wanaJF kuutokomeza. wanoandika hivi wanafahamu jinsi mijadala ya udini inavyochokoza mihemko na hivyo kuaribu hoja nzima. Ni wakati wa kutowajibu au ku-quote comment zao.
Najaribu kufikiria for ten years kama mchezo ulikuwa huu jamaa kavuna kiasi gani, Jk naye bila aibu akaenda kufungua ile studio ya azam pale tabata kumbe ni jasho letu.........mbwa kweli hawa watu.
Operesheni ya kurudisha heshima ya nchi ndio hii.
iko hivi: TRA wanaruhusu mzigo kutoka kwa 'release order'. mwenye mzigo akishapata release order anaenda upande wa ICD kuendelea na procedures. kwa kesi hii hakukuwa na release order, makontena yalitoka manually kuanzia bandarini mpaka ICD. kosa walilofanya ICD ni kuruhusu mzigo kutoka bila release order. katika masharti wanyopewa ICD ni pamoja na kuisaidia serikali kukusanya kodi. katika ICD yoyoote, getini lazima pawe na ofisa wa TRA, TPA, na ICD, na wakati mwingine walizi! na ndio maana mpaka sasa amelipa bilioni 2 kama alivyosema Bade juzi.
mpaka sasa amelipa bilioni 2, hukumsikia Bade juzi!? na anapanga kulipa bilioni 12 na fine juu. kosa walilofanya ni kuruhusu mzigo kutoka bila ya kuwa na release order, wametoa kwa vimemo. jamaa hajakwepa kodi, ila ameruhusu watu wengine kukwepa kodi, ieleweke hivyo! mpaka sasa meneja wake anaisaidia polisi!
me ni mwana ccm lakini kwenye hili ningeomba jk nae achunguzwe please.na ndio maana alikua anataka kumweka membe madarakani ili waendeleze upuuzi wao,shukrani kwa lowasa kwa kutibua upuuzi wao waliotaka kuufanya.
ICD zote huwa na officer wa TRA anayeruhusu mzigo kutoka,mmiliki haruhusu mzigo kutoka.Hapa sioni kosa la Bakhresa labda kama kuna ajenda nyingine.
Kina John Paulo huwa hawakwepi kodi?
Dhambi mbaya sana, yaani mtu tajiri kama Bakhressa anakwepa kulipa kodi?