Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,506
- 7,472
kwa maneno haya "wagonga vichwa sakafuni ", wewe ni mtu hatari sana uliye na chuki na imani fulani.haiwezekani kosa la mmoja likawa la wote wa imani hiyo.
yaahdiykumllah
kwa maneno haya "wagonga vichwa sakafuni ", wewe ni mtu hatari sana uliye na chuki na imani fulani.haiwezekani kosa la mmoja likawa la wote wa imani hiyo.
.....acha chuki za kidini ....fikiri nje ya box.
Haaaahaaa tunaongelea nafaka wewe unaleta nyama ya nguruwe hapa.
ili kuwa ten good years ya kuneemesha wafanyabiashara "wagonga vichwa sakafuni" kwa jasho la watz masikini kabisa. Wakwepa kodi wakubwa wote ni "wagonga vichwa sakafuni"
mwisho wao umefika warudi tuu oman

sasa ile ni nyumba? unalizunguka? waweza zunguka nyumba unadai unasali? maana ya nyumba ni nini? kwani inatofauti gani na vijinyumba vya mizimu? swala lako la imani kuwa ni nyumba, amini hivyo!, lakini usijiaminishe kila unaloliamini unadhani kila mtu aamini unavyotaka mkuu!......... wacha nikusaidia Magalatia jzm-teak , Al Kaaba ni Nyumba ya kwanza ya Ibada iliyojengwa na Ibrahim na mwanae Ismail. Ndani ya Qur'an inaelezea vizuri mpaka Ibrahim anaomba duwa kuwa watu wote watakao amini wafanye hija hapo. Sasa ile nyumba imekuwa kama ishara ya kati (centre point) na waumini wote huelekeza uso wao hapo !
Kwa sanamu ni lile linaloning'inia katika panda mbili
Mungu uwalaani mafisadi na vizazi vyao. wameua watanzania wengi sana kwa ukosefu wa dawa na vipimo. simply kwa tamaa ya utajiri uliopitiliza.
Bakhresa analisha karibu robo ya afrika,Ana makampuni Kama mchanga lakini katika list ya walipa kodi hayupo,kazi ni kununua magari ya luxury tu,mtoto wake anatumia mil400 kujenga barabara kwenda nyumbani kwake,ananunua gari lenye thamani ya sh mil 500 kumbe wanatuibia pesa zetu hawalipi kodi,serikali inakosa mapato na kutubana sie walala hoi kwenye paye na VAT za kununua vibiriti ,mafuta ,unga etc Wakwepa kodi wote wazilipe na fidia Juu.
Mimi nimesoma kuwa ni kontena za kampuni ya Bakhresa,sasa unaposema mwenye mzigo ni yupi tena?kwani Bakhresa anachukua na mizigo ya watu wengine?naona unapindisha mada kimakusudi:angry::angry:
Huu mchezo wa kuingiza udini kwenye mada nyeti tuungane wanaJF kuutokomeza. wanoandika hivi wanafahamu jinsi mijadala ya udini inavyochokoza mihemko na hivyo kuaribu hoja nzima. Ni wakati wa kutowajibu au ku-quote comment zao.Hapo mwisho naona unataka kubadilisha mada kutoka ya ukwepaji kodi kwenda kuwa ya kidini, ni shida kwa kweli tukiwa na mawazo kama yako.
Angello Eee, Hukumu bado haijatoka... Usichukuwe uamuzi mkononi mwako!! Jee wajuwa utajiri ni mali ya nani?!!?Ndiyo maana wankuwa matajiri wa kupindukia kumbe wakwepa kodi wakubwa sheria ya mamlaka ya mapato nipo wazi anatakiwa afikisiwe kwa kukwepa kodi
LIKE manually maana vitufe vya LIKE vimeondolewaWajinga ni nyie nyote ambao badala ya kujenga hoja mnaleta udini kwa kudhani kuwa dini zenu ndiyo chanzo cha maarifa yote ya dunia hii. Hizo Kompyuta na simu zenu mnazotumia kuweka huo ujinga wenu wa udini hapa JF, nyingi zake zimetengenezwa na Makafri au Mabudha wasioamini katika huyo Yesu Kristo au Mtume Muhamad mnaowatukuza!! Acheni ujinga wenu!!
Dhambi mbaya sana, yaani mtu tajiri kama Bakhressa anakwepa kulipa kodi?
Mkuu, humu nani atakuelewa ?? lugha hiyo hawatoijua !!Hii ni ICD ni bandari kavu. Hii sio mizigo ya bakhressa. ICD ni bandari ya ziada ambazo ziliruhusiwa kupunguza msongo mano bandarini. Hawa wana charge kwa kila container linalo hifadhiwa hapo. Mizigo na container ni za watu binafsi.
Na Bakhressa ni mmoja ya wamiliki wa hizo ICD.
ICD hutoa ulinzi na hifadhi ya mizigo. Wenye ruhusa ya kutoa container nje ni TRA wenyewe ambao wana funguo za mageti yote. Na mzigo hautoki bila ya wao kutuhusu baada ya kulipia.
Hivyo hapo ICD deal zinapigwa wenye mzigo na TRA . Bakhressa hapati kitu hapo. Na kama wafanyakazi wamashiriki hilo jingine.
Kwa ufupi kupotea ma container from ICD Hayahusiani na bakhressa kukwepa kodi. Tatizo huko huko kwa Masamaki na wenzake.
Ndiyo sababu nasalia nyumbani kwangu. Uislamu umeletwa na waarabu tena makatili zaidi ya magaidi na ukristu umeletwa na wazungu wamisionari na propaganda za mtu akikupiga shavu la kushoto nalakulia mgeuzie!!, shenzytype.
Waambie bwana hawa vijana wa shule za kata tabu tupu,pia hata taratibu za importation hawazijuiHii ni ICD ni bandari kavu. Hii sio mizigo ya bakhressa. ICD ni bandari ya ziada ambazo ziliruhusiwa kupunguza msongo mano bandarini. Hawa wana charge kwa kila container linalo hifadhiwa hapo. Mizigo na container ni za watu binafsi.