Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Usituletee huko na udini wenu peleka msoga kama kodi halipi akalipe wanafiki wakubwa nyie kila siku mnajifanya mnasali kumbe ni wadhulumati wakubwa Mungu huwaumbua wanafiki na malipo ni hapa hapa duniani mbinguni hukumu.
Kuna wadhumaji wanaopita Kanisa !?? ........... Mizengo Pinda alipeleka mswada wa kufuta misamaha ya kodi, Makanisa yote yalihamia Dodoma kumshinikiza. Tena alipewa baraka zote na JK. Kikubwa Bakwata wao waliridhia. Leo Wagalatia mmesahau !