Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Humu JF kuna waliokuwa wakimsifia eti ni bilionea no. 1 hapa nchini kumbe kuna pesa zetu nyingi anaweka mifukoni bila ridhaa yetu kwa kukwepa kodi!
Kama Wagalatia wanavyo chota Hazina kupitia misamaha ya kodi na MoU